Yaani hapo umenena ndugu, kwanza yeye mwenyewe anajuta kuacha kugombea Ubunge, kwa sababu anazikosa posho. Hujachelewa mzee Slaa gombea tu 2015 ubunge maana uraisi huupati ng'oooo. Labda Zitto Kabwe sio wewe ambaye umejaa Ukatoliki na Uchaga na Ukanda. Tunataka aliyeshiba U-Tanzania.
Mwongo huyo, akawadanganye hukohuko kanisani alikokuwa akitumika, mzushi huyu siwezi kumuamini hata kidogo, tangu azushe issue ya kontena la kura, mfuko wa cement kuwa 5000 na mengine mengi simwamini huyu.
Mtajiju!!! Utawajua tu kazi kubeza kila kitu hata kama ni kizuri. Nyie mnaolipwa na Mbowe kuja kuiponda CCM hamna sera. Endeleeni na kazi yenu mwona kama inalipa!!!
Dua la kuku halimpati mwewe. Hivi mnafikiri ni rahisi ki hivyo. Oteni ndoto za mchana wa saa nane tu!! CCM GARI KUBWA. Ndio maana tunasema na nyie mnajua kuwa CCM Ni No 1.
Thanks and Regards,
Kada wa CCM.
Acheni Majungu, mwacheni apate Masters yake. Wa TZ hatuna mentality ya kujituma na kufanya kazi kwa bidii, sasa mtu akifanikiwa kimasomo katika mazingira ya kuwa na majukumu mengine halafu anasoma mnaanza kuuliza kilikoni. Fanyeni kazi, Unaweza ukawa busy na kazi na bado ukasoma tu.
Acheni Majungu, mwacheni apate Masters yake. Wa TZ hatuna mentality ya kujituma na kufanya kazi kwa bidii, sasa mtu akifanikiwa kimasomo katika mazingira ya kuwa na majukumu mengine halafu anasoma mnaanza kuuliza kilikoni. Fanyeni kazi, Unaeza ukawa busy na kazi na bado ukasoma tu.
Basi hata kuna askofu hapa?? Wote wanaganga njaa tu. Hamuoni wanavyowakaribisha wale wa Mndl kuchangisha fedha!! anatafuta tu namna ya kuzimishwa aache kusema hivyo kwa kupewa f.....e......d.......h.....a......, napita tu wala sichangii hii mada.
Acheni Uzushi!!! Sasa kama hakuvaa ndio nini? Mtu akiwa na mke wake wanafungishwa ndoa kanisani au mbele ya Shekh ni lazima ambusu mbele ya watu ndio mjue kuwa anampenda anayemwo???!! Asipombusu basi hampendi?? Huo ni ushamba sana wa baadhi ya watu.
Nina wasiwasi na uraia wako, Mtanzania halisi hawezi kuponda maamuzi ya Sitta kukataa kusaini mkataba kuhusu Ardhi, eti nilikuja duniani sina kitu na nitaondoka sina kitu, Kibwetere wewe.
Hongera JK na Sitta.
Ningeweza kuufundisha umma wote au kuuambia umma wote ni nini maana ya Audit, au hata kuelewesha Umma juu ya misamiati mitatu inayotumika wakati mkaguzi anatoa report ningefanya hivyo.
Kama unafuatilia CAG hakumsafisha Jairo bali Luhanjo, CAG alitoa Audit Opinion hii yenye BLUE hapa chini:
1...
Bwana eeeh!!! nimechoshwa kbs na hawa watu. Neither of them is good. wote washamba tu wanawaza kuiba fedha za walipa kodi. Hii nchi apewe Mnyika ndio anaweza na ana utaifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.