Search results

  1. muneera75

    Natafuta kibarua cha miezi mitatu tu

    Habari zenu, Jamani mi natafuta kibarua cha miezi michache miwili au mitatu tu. Nishamaliza field nimekaa tu home kurudi chuo ni mpaka mwazi wa tatu mwishoni. Sasahii hali ya kukaa nyumbani tu hufanyi chochote na maisha ni magumu sana. Nilikua naomba mwenye connection yoyote hata dukani naweza...
  2. muneera75

    Unatakiwa uwe na kiasi gani cha mtaji uweze kufuata bidhaa Uganda?

    Habari, Kwa sisi wenye ndoto za kujiajiri kila kukicha tunafikilia nini cha kufanya ili kujikwamua. Unatakiwa uwe na kiasi cha shillingi ngapi ili kuchukua bidhaa either nguo au viatu au mikoba nchini Uganda? (Ya mtumba) Au ni nchi gani za East Africa kuna unafuu wa kufuata bidhaa na ukapata...
  3. muneera75

    Biashara ya kufanya kutoka Malaysia

    Habari. Jamani nina rafiki yangu kapata bahati ya kwenda nchini malaysia anaomba ushauri aje kufanya biashara gani akirudi bongo hivi karibuni? Mwenye idea ya biashara yoyote inayolipa atuambie na pia mtaji inabidi iwe shilingingapi?
  4. muneera75

    Naomba ushauri jamani

    Thread
  5. muneera75

    Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

    Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi. wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya? Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na unajaribu kuiacha?
  6. muneera75

    Mavazi yanamtambulisha mtu?

    Kama ilivyo kawaida kwamba binadamu tupo tofauti socially, economically, physically, in religion na pia in cultural tupo tofauti. Kwa maana hiyo mionekano yetu inaweza ikasababisha mtu aijue tabia ya mtu fulani. Kwa experience yako ni mavazi gani au muonekano upi humfanya mtu azijue tabia za...
  7. muneera75

    Tujadili kuhusu maisha baada ya Chuo

    Watu wengi wanasema maisha baada ya chuo huwa ni magumu sana kwasababu ule mzunguko wa kupata pesa kama kipindi mtu yupo chuo huwa ni mgumu. Kwa experience yako unampa ushauri gani mtu ambae amemaliza chuo mwaka huu juzi juzi tu hapo afanye kitu gani ili kupambana na maisha ya kila siku? vile...
  8. muneera75

    Ma HR wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Kinondoni wanaringa sana mpaka wanakwaza

    Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta. Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera...
  9. muneera75

    Maisha ya kufake ni expensive. Achana nayo

    Hi As thread said maisha ambayo fake life is so expensive kama kuna mtu anayaishi aachane nayo. Mpaka nimekuja kusema hiki kitu it means nina experience kwamba nishamuona mtu ana struggle kuishi yale maisha ya masupa staa na rich kid (wakishua) akati maisha ake ni ya kawaida sio mabaya sana...
  10. muneera75

    Nishaurini kwenye hili, nataka nikate mawasiliano na marafiki zangu

    Habari Kama mnavyojua wasichana tunakuaga na marafiki wengi kipindi cha shule na sehemu nyingine mbali mbali. Kipindi niko o-level nlikua na marafiki ambao close kama wawili hivi sasa baada ya kumaliza form four wenzangu hawakuendelea na form six mmoja alitaka kuanza chuo na mwingine alikataa...
  11. muneera75

    Wanachuo waheshimiwe...

    Hivi kwanini wanachuo wengi wanawachukuliwa kama wadangaji au malaya? Hii sio sawa. Jamii inatakiwa ielimishwe sio kila mwanachuo ni malaya. Ni hali tu ya kuwa smart na mavazi tu nothing else.
  12. muneera75

    Mafunzo katika Halmashauri ya manispaa

    Nimepata nafasi ya kufanya field halmashauri ya manispaa ya ilala Kama una ushauri au chochote cha kuniambia maybe cha kuzingatia. Thanks in advance
  13. muneera75

    Natafuta sehemu ya kufanya Field Dar es Salaam

    Jamani naomba kujuzwa kuhusu sehemu za field hapa Dar es salaam. Ofisi mnazozijua mtu anaweza kupeleka barua ya field. Faculty ya HRM.
  14. muneera75

    Ofisi za kufanyia field mkoa wa Dar es Salaam

    Habari, Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye experience au hata ambaye hana experience lakini maybe alisikia sehemu kuhusu field mkoa wa Dar es Salaam. Mambo ninayohitaji kujua: 1: Ofisi zote ambazo mwanafunZi anaweza kufanya field. Private and public offices 2: Changamoto zinazotokea uko field 3...
  15. muneera75

    Naomba kujuzwa sehemu ya Kubadilisha Keyboard ya PC kwa Dar

    Jamani nlikua nauliza maeneo gani hapa Dar wanajihusisha na kubadilisha keyboard za PC aina ya HP. Na inakua sh. ngapi? Kwa yeyote anaejua aniambie na pia kama kuna chochote cha kuzungumza kuhusu kubadilisha keyboard maybe challenges zake mnieleze
  16. muneera75

    Uzi wa kuwapa Ushauri wanachuo wanaorudi kumaliza semister kwa miezi 3

    Habari. Uzi huu ni special kwa ajili ya kuwapa ushauri, ukumbusho, usia wadogo zenu wanaoenda vyuoni kumaliza semister kwa miezi 3na sio 4 tena. Kwa jinsi gani wajiweke vyuoni, mienendo yao ya kila siku inshort Kipi kiongezeke na kipi kipungue ili kufikia lengo. Wako mtiifu. Muneera✨
  17. muneera75

    Mzumbe ni Mzumbe tu

    Mi sijaona tofauti ya mzumbe Ufundishaji,quality,cheti,na mengineyo ni vike vile tu. Kampasi yoyote Morogoro,Mbeya na Dar es salaam. we unaonaje? Atakae tukana automatically atakua insane and lunatic.CHILL
  18. muneera75

    Mwenye kalio kubwa sura ya kawaida VS hana kalio kubwa (pasi) sura nzuri...kapuku afu anajua kazi kazi au tajiri ila hajui chochote?

    Boys .. Yupi we una mfeel sana just be honest Mwenye kalio kubwa sura mbaya au ya kawaida tu..au yule hana kalio (pasi)ila sura nzuri Girls Yupi we unampenda sana? Kapuku ila anajua kufanya mapenzi vizuri mpaka unachanganyikiwa? Au yule handsome,ana hela ila kufanya mapenzi kawaidaa yaan..yupi...
  19. muneera75

    Mpaka mchuzi wa pweza😂

    Hivi kwann wanaume wakishindwa kazi kazi kwa bed huwa wanaona aibu? Lemme put it clear unakuta mtu eti yupo na gf wake then jissing and cuddling mpaka amedinda then hawezi sex mpaka aangalie porno ndo anapanda midadi zaidi eti😂😂..inakuaje yan Ndo kuishiwa nguvu za kiume au
Back
Top Bottom