Search results

  1. A

    Nafasi ya kazi: Mhudumu wa ofisi

    Mhudumu wa ofisi anahitajika awe na elimu ya kiwango cha diploma katika fani yoyote. Kazi ni ya muda but with possibility of getting permanent employment in the future. Tuma CV kwa: atamuti@gmail.com
  2. A

    Model gani ya noah ni imara na madhubuti kwa rough road

    wakuu, habari zenu! Naomba kufahamishwa ni model gani ya gari aina ya Noah imara na madhubuti kwa 'rough road'. maana niko kwenye mchakato wa kununua. Michango yenu ni muhimu sana kwangu kufanya maamuzi sahihi. Natanguliza shukrani.
  3. A

    Assalaam aleykum wana jamii wote

    Assalaam aleykum wanajamii! Ndugu yenu ATA nimekaribia ndani ya nyumba baada ya kuingia kama mgeni kwa muda mrefu. I salute all jamii forum stake holders ( founders and members) for your contributions. sikuwa 'member' lakini jf kwa muda mrefu imekuwa ni chanzo muhimu cha habari, elimu na...
Back
Top Bottom