Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu.
Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na...
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma.
Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo...
Nikijitambua kama mzalendo kamili nchini sitasita kutoa maoni yangu kuntu hususani linapokuja swala la umeme kukatika nchi nzima kwa visingizio visivyo na mashiko kwa wanasayansi kama mimi.
Tanesko sio tu shirika kama yalivyo mashirika mengine ni shirika la kimkakati na la kiusalama.
Kukatika...
Zipo baadhi ya hospitali binafsi ambazo ziliwahi kubebwa sana na Serikali na hatimaye zikapata faida kubwa na kujiimarisha.
Zipo baadhi ya hospitali zilianza kama hospitali za kujitolea yaani Charitable hospitals lakini leo zinaingia kwenye mkumbo wa kishabiki.
NHIF amehusika kukuza hospitali...
Kwa maono yangu naona wanaoumia na kuumizwa ni watendaji wa Serikali pekee huku wanasiasa wafanya figisu wakiachwa wanapeta.
Ndugu Makonda unapoita katika ziara yako muhimu ya kichama hakikisha kuwa utumbuaji hauishii kwa watendaji wa Serikali pekee bali kamati nzima ya Siasa.
Iwapo kuna...
Huu ndio ukweli mtupu.
Huwezi kuibuka na hoja zako za maslahi yako halafu ukataka uungwe mkono.
Watu wanataka Elimu bora na shule zinajengwa.
Watu wanataka Zahanati nazo zinajengwa.
Ajira zimeanza kutolewa kwa kasi halafu wewe unaibuka na Maandamano ya kupigania ulaji wa uongozi na ruzuku...
Wasalaamu wanaJF.
Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take.
Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au uratibu na usimamizi wa chaguzi zinazohusi viongozi ngazi ya Serikali za mitaa ujikite kwenye kupoka na...
Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.
Japo naona na napata...
Wasalaamu wanaJF
Herini ya Krismasi na maandalizi ya funga mwaka 2023.
Leo tena ninarudi jamvini nikija na ushauri kuntu kwa wizara zote zinazohusika na afya pamoja na wadau wa sekta ya afya.
Utambulisho
Nirejee kwa kujitambulisha kuwa kwa miaka kadhaa kama raia, mwanaJF, mdau wa maswala ya...
Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos.
Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
Najinasibu kwa kuwa consistent on issues!
Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na kujitegemea katika maswala yahusuyo afya.
Mchakato huu ni mrefu sana na uligubikwa na vikwazo vingi...
Wasalaamu wadau wa JF,
Kama taifa zipo nyakati tutapaswa kuzipitia zipo nyakati ngumu tutapaswa kuzipitia. yapo ya kujitolea na wapo wa kujitolea kama wana Taifa ili tu Taifa lisonge mbele.
Ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo!
Cha muhimu na muhimu zaidi ni kuendelea kujitolea kwani tunayo...
Mnyonge mnyongeni ila sifa yake muachieni.
Sisi waswahilli tunatumia msemo huu kumsemea asiyependa kujikweza.
Kabla ya kuingia katika madaraka ya Urais mhe.Samia Suluhu Hassan amekuwa ni muumini wa kuigwa na kutajwa kama mfano kati ya Viongozi wachache nchini waliotoa kipaumbele kwa vitendo...
Nichukue fursa hii adhimu nikiungana na watanzania kwa mamilioni waliofurahishwa na uteuzi wa Jembe na kiboko ya wahuni ndg.Paul Makonda.
Hakuna atakayebisha kuwa Makonda ameonesha integrity ya hali ya juu kwani toka apumzishwe sikuwahi kumsikia akiropoka kwenye media yoyote wala kujibu matusi...
Mimi sikubaliani na wanasiasa wanaotaka kutuyumbisha kwa kutaka kutengeneza katiba mpya huu ni usanii, upuuzi na ufujaji wa mapato.
Tujikite kwenye katiba iliyopo tuboreshe maisha ya Watanzania.
Watanzania wanataka maji,elimu,afya na fedha mfukoni ...baasi haya mingine ni indoctrination ya...
Russia has successfully launched Luna 25, the country’s first lunar lander in 47 years.
The uncrewed spacecraft lifted off from the Vostochny Cosmodrome in Amur Oblast, Russia. Hitching a ride aboard a Soyuz-2 Fregat rocket, Luna 25 took flight at 8:10 a.m. local time Friday, or 7:10 p.m. ET...
Nimeshamsikia mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ndugu Kailima akitangaza uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani.
Chadema msijidai hamshiriki njooni uwanjani tutest mitambo.
Niger inageuka kuwa kete muhimu ya vita vya kiuchumi katikati ya mataifa nguli na yenye misuli duniani.
Viashiria ni kwamba sera za mfaransa Africa zimetikiswa ndani ya wiki hii ambapo Niger anaenda kumkataa mfaransa kama mshirika wa kihistoria kiuchumi.Jambo ambalo linaenda kutishia uchumi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.