Search results

  1. mwambojoke

    Nani anasimamia Yanga App? Tuanaibiwa

    Kwanza Kabisa mimi ni mshabiki wa Yanga, lakini kuna jambo moja linaweza kuonekana lipo vizuri lakini linakwaza. Nimeshalipia App ya Yanga Mara 3 lakin sipati access ya kusoma habari za yanga. Kwa maana ya kwamba ukilipia bado ukiingia kwenye app haitambui malipo yako na bado itakudai ulipie...
  2. mwambojoke

    Msaada. Police loss report, kupata kumbukumbu namba ya malipo

    Nimejaribu mara kadhaa kuomba loss report kwa ajili ya line ya simu lakin nikifika sehemu inayaotakiwa nipate kumbukumbu namba kwa ajili ya malipo namba hyo haiwekwi. Kama nilivoonesha kwa picha hapa chino.. Mwenye kujua kama kuna tatizo la kiufunid ama kuna mbinu. Sent from my VTR-L29 using...
  3. mwambojoke

    Samaki kibambala napata wapi. Nipo Dar Mwenge

    Jamani 'Jasiri aachi asili'; Nimejikuta nikikumbuka kwetu. Napata soko gani hii kitu?
  4. mwambojoke

    Naomba kuelekezwa namna ya kuchoma nyama kama toroka uje

    Nataka kuchoma nyama kwa ajili ya Familia lakin sijui pa kuanzia. Nadhan nikipata majibu ya maswali yangu ntajua cha kufanya. A). Sehemu gani ya nyama ya ng'ombe ni tamu kwa kuichoma? Ili nikienda buchani niagize hyo. B). Nitumie spice gani kwa ajili ya kulainisha nyama yangu? C) .Nitumie...
  5. mwambojoke

    Kwanini Azam hajawekeza kwa Boti za kwenda Tanga, Lindi na Mtwara

    Kwanini Azam hajawekeza kwa Boti za kwenda Tanga, Lindi na Mtwara.
  6. mwambojoke

    Utapeli mwingine wa Mjin City donation

    Wandugu naomb mjihadahri na hawa watu. Hivi ni kwanini wabongo hatujifunzi tu?? Jaribu kuingia kw website yao ,halafu pima kama kuna ukweli. Soma muongozo vizuri kabla ya kuchangia Mfumo ni wakuchangiana wenyewe na mzunguko wa pesa ni ndani ya siku 4. Baada ya mzunguko wa siku 4 utapokea faida...
  7. mwambojoke

    Nahitaji Screen Glass LCD Touch Samsung Galaxy A7 2017

    Please mwenye nacho ama anayejua sehemu naweza kupata Kioo full+ touch ya samsung Galaxy A7 2017.
  8. mwambojoke

    GASMASTER: Wasambazajii wa gesi ya Majumbani

    Wakuu, nahitaji kujua nawapato vipi hawa jamaa, nimepata taarifa kuwa ukihitaji gesi ya Kupikia wanakufikishia popote Dar es salaam. Kama kuna mtu ana contacts Plz anisaidie.
  9. mwambojoke

    Benki tatu hatarini kufungwa kutokana na mtikisiko wa uchumi

    Benki tatu hatarini kufungwa kutokana na mtikisiko wa uchumi -Benki ya wanawake 'TWB' -Ecobank Tanzania -Efatha Bank #MWANANCHI NEWSPAPER 4th May 2017 ======= Dar es Salaam. Hali ya mtikisiko wa uchumi uliozikumba taasisi nyingi, hasa za fedha sasa unazinyemelea benki tatu ambazo zinaweza...
  10. mwambojoke

    Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    USIEMPENDA KARUDI
  11. mwambojoke

    Tigo ofa 4GB @ Tsh.2000 kwa wiki inapatikanaje?

    K wa watumiaji wa Tigo. Hii ofa inapatikana kwa vigezo vip??maana nikiangalia kwangu haipo ila kwa simu ya jamaa yangu anapata hiv. Anayejua pliz
  12. mwambojoke

    Ukweli kuhusu degree ya miss Tanzania

    Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii Video ya Miss Tanzania. Kipindi ambapo anatafutwa miss kinondoni. Ni kweli alisema ana miaka 18 lakin hakusema kuwa ana degree. Zaid alichosema ni kuwa yeye ni Applicant wa IFM. Sasa sijajua hiz rumors zinatoka wapi. Please cheki hii video...
  13. mwambojoke

    Dear ladies bitter truth you must swallow

    1. Sex doesn't keep a man, if you like, turn 360% on bed, he will still dump you. Bleach until you become white, if he doesn't notice the qualities of a wife in you, he will leave you. 2. A man who win your love with cash may not stay forever. Real men doesn't settle down with fake women who...
  14. mwambojoke

    Samsung TV Inch 32 Flat screen (TZS 450,000)

    Imeshauzwa
  15. mwambojoke

    Gharama za meno bandia na bima ya afya- NHIF

    Naomba kuuliza wana jukwaa hili. Je, Bima ya Afya ina cover ukihitaji kubadili meno na kuweka ya bandia? Ama ni hospitali zipi na kwa gharama zipi naweza pata huduma hii kwa Dar es salaam?
  16. mwambojoke

    Gharama za MENO BANDIA na Bima ya AFYA- NHIF

    Naomba kuuliza wana jukwaa hilli. Je Bima ya Afya ina cover ukihitaji kubadili meno na kuweka ya bandia? Ama ni hospitali zipi na kwa gharama zipi naweza pata huduma hii kwa Dar es salaam?
  17. mwambojoke

    Mwenye Samsung Galaxy S3 aniuzie

    Nahitaji SAMSUNG Galaxy S3 . PM tafadhari tufanye biashara.
  18. mwambojoke

    Nahitaji fundi, Display na Touch Samsung Galaxy S3 vimeharibika

    Mtu yeyote anayejua kutengeneza Display ya Samsung Galaxy S3 anijulishe, au kuniuzia nikasake fundi mwenyewe.
Back
Top Bottom