Search results

  1. Kitope

    NAUZA SHAMBA LANGU MKURANGA

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu, kimfaacho mtu chake,. Shamba lina ukubwa wa eka 25, lipo mkuranga kilometer 10 kutoka barabara kuu ya Dar - Lindi. shamba bado virgin na mazao yaotao huko ni mengi ikiwemo mihogo, na mazao mengine ya mboga na matunda. Gari inafika shambani . kwa...
  2. Kitope

    Trip za mchanga zinahitajika (mwasonga kigamboni)

    kufyatulia tofali
  3. Kitope

    Trip za mchanga zinahitajika (mwasonga kigamboni)

    Habari za mshughuli wakuu, kwa kuwakilisha tu kama kuna mtu anashughulika na lorry za mchanga, kokoto na kadhalika maeneo ya mwasonga kigamboni aje hapa kuna kazi zinahitaji trip za mchanga (lorry aina ya kipisi) ndio priority. mwenye shughuli hii tafadhali tuwasiliane hapa ili apewe tenda. Site...
  4. Kitope

    Pata Mashine ya Tofali kwa bei nafuu

    mkuu embu twende pm unitumie picha na data zaidi ya hizo machine tofauti.
  5. Kitope

    Nahitaji tofali imara kwa bei maeneo ya kigamboni

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. tunahitaji matofali yenye ubora kwa bei nafuu. mwenye kushughulika na haya tafadhali tuambizane.
  6. Kitope

    Shamba la kukodi dsm

    Unataka shamba la ukubwa gani mkuu??
  7. Kitope

    House to let (Nyumba inakodishwa)

    A modern 4 bedrooms, familly bungalow is available for rent from 1st of May 2018. it includes 1 masterbedroom and 3 other rooms with built in closets. a huge dining room, sitting room and top floor balkon with a nice view and fresh air. space for upto 4 cars parking. the house has its own clean...
  8. Kitope

    Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    A modern 4 bedrooms, familly bungalow is available for rent from 1st of June 2018. it includes 1 masterbedroom and 3 other rooms with built in closets. a huge dining room, sitting room and top floor balkon with a nice view and fresh air. space for upto 4 cars parking. the house has its own clean...
  9. Kitope

    Kuhusu viwanja Mwasonga Kigamboni 2500/= Kwa Sqm

    km 20 kutoka ferry na 15 kutoka darajani
  10. Kitope

    Kuhusu viwanja Mwasonga Kigamboni 2500/= Kwa Sqm

    Angalia mkuu usije kupigwa mchanga wa macho . huku hamna kiwanja cha bei rahisi hivyo. Vilikuwepo vya 6000/= kwa sqm ila watu washabeba. sasa hivi bei ni elfu 10 hadi kumitano. na usikubali kuuziwa sehemu haina mipango miji yake na kuonyeshwa. Kama unataka viwanja Njoo ndugu tukuuzie ila bei sio...
  11. Kitope

    YAHUSU: Wale waishio Nnje ya mipaka ya Tanzania na Afrika ambao ni watanzania

    wazo lako zuri ila tengeneza strategy iliyosimama. kuwa na nyumba sio dhamana tosha kwa mtu mwenye pesa.
  12. Kitope

    INAUZWA Nunua Zege iliyo tayari Recon Tupo Kwa ajili yako!

    hii safi! embu tuwasiliane mkuu
  13. Kitope

    Mbolea ya kinyesi cha kuku - ipo inauzwa

    tuje kuchukua tu mkuu ama unauza ?? naona hakuna bei ,
  14. Kitope

    Chizi Msituni :-)

    hapana kaka sijapata , labda unipe za whatsapp
  15. Kitope

    Nyumba inauzwa Kigamboni kisota 3.5km kutoka Darajani.

    Jamani eeh!! tunapotaka kutengeza faida tufikirie na uchumi ulivyo wajameni Dah. napita tu.
  16. Kitope

    Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Hiyo ni gas tu imepungua kama friji inafanya kazi kawaida ila haigandishi ni gas tu akajaze mtungi kitu na boksi. hapo utakuwa umemsadia kiufundi na sio mengine =D =D
  17. Kitope

    Nauza nyumba ya (unfinished ghorofa moja) kwa bei ya kutupa

    huyu hapo chini sio wewe ?? nauliza tu ili nisikufuru kumbe kweli unauguliwa sasa zaidi ya mwaka :-) Nauza Nyumba yenye Ghorofa moja (Haijakamilika)
  18. Kitope

    Nauza nyumba ya (unfinished ghorofa moja) kwa bei ya kutupa

    Nauza Nyumba yenye Ghorofa moja (Haijakamilika)
  19. Kitope

    Nauza nyumba ya (unfinished ghorofa moja) kwa bei ya kutupa

    Nauza Nyumba yenye Ghorofa moja (Haijakamilika)
  20. Kitope

    Gharama za kuchimba kisima Dar

    ungefafanua ni maeneo gani mkuu ili kama ulipo mtu alichimbiwa maeneo hayo akushtue! gharama za kuchimba zinatofautiana sehemu na sehemu na pia kwa wataalamu wa kuchimba ukitaja ni maeneo gani unaweza kupata makadirio mpaka vipimo nya mita ngapi kwenda chini maeneo hayo! mimi nipo na mtu wangu...
Back
Top Bottom