Search results

  1. A

    FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]wameliaaaa Sana,[emoji881][emoji881][emoji881]7 ,[emoji1660]8
  2. A

    Utofauti wa mashabiki wa Simba na Yanga

    Mmmhh kumbe kusahau no ugonjwa hatari Sana kwa afya Bora ya aKiLi,Leo Hawa mashabiki wa uToPoLo ambao hawaishiwi viroja na vituko wamestaarabika,nasema hapana,nimashabiki wa timu gani pindi timu Yao ikipata suruhu kwenye mechi,wanakawaida ya kupita press ,na kusema wanaandamana kwenda kupelekA...
  3. A

    Baba wa Taifa na tatizo la Udini

    Udini ktk Taifa huru Tz,halikuja kwa bahati mbaya,Bali kulikuwA na mpango mkakati kabla ya Uhuru.Wewe jiulize imekuwaje huyu mtoto wa chifu wa wazanaki,kutaka kupewa na kuitwa MTAKATIFU na kanisa la Warumi,Kuna Mambo gani kawafanyia Warumi wa Tanganyika ,mpaka akapewa daraja la Mwenyeheri?
  4. A

    Maajabu ya Klabu ya Simba

    Pia Simba ndiyo klabu ya kwanza kuwa na CEO,kutoka Kusini mwa Afrika[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  5. A

    Usajili: Clatous Chama arejea Simba SC

    UtOPoLo dot com,wavivu wa kufikiri, wavivu wa kung'amua ukweli,wavivu wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati muhafaka, wamebaki kupiga blaablaaa mitandaoni.
  6. A

    Meneja Ahmed Ally afafanua Simba kufanya majaribio

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]wamesahau Juma Balinya,walimfanyia scauting na kwa mbwembwe nyingi akaja kutambulishwa kwenye tamasha Lao la KuBwA KuLiKo.Baada ya miezi isiyozidi mitatu.......
  7. A

    Meneja Ahmed Ally afafanua Simba kufanya majaribio

    Fei Toto alisajiliwa na Singida utd,hamkuwa na FaRaNgA za kumsajili Fri,Bali mfia timu yenu aliwapa,Ni wapi mlimfanyia scouting Fei, achana na blaablaaa.
  8. A

    Spika Ndugai, sasa utawakumbuka wapinzani ndani ya Bunge

    Mbona hakuwa pamoja na Assad,alipofichua upoteaji tillioni moja na nusu?au alikuwa anajipendekeza kwa Mwenda zake?
  9. A

    Kama si kubebwa Yanga hata nafasi ya 4 hawapati

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hata Show me the way alifanyiwa figisufigisu na refa,alipotaka kumtungua mnadaka mishale,msimu huu uToPoLo mnabebwa Sana.
  10. A

    Kama si kubebwa Yanga hata nafasi ya 4 hawapati

    Hivi zile kelele za Mashabiki wa UtOPoLo,kuwa marefa wote [emoji881], bodi ya ligi+Tff ni [emoji881][emoji881] damu,mbona hakuna kelele Wala malalamiko kulialia kutoka Utopolo. ? kulikoni?
  11. A

    Je, Simba SC inaweza kujenga uwanja kwa njia ya kuchangishana?

    Atafirisika !!! ni Kama yule mmiliki wa homu shopping sente alivyojitangaza kufirisika,na akaamua kutakatisha fedha kwa kuudhamini UtOPoLo.
  12. A

    Mabango ya GSM yaondolewa Uwanja wa Mkapa

    Matatizo ya jiesem Ni makubwa Sana,tangu pale alipowaibia Watz pesa Yao ya Kodi miaka ya nyuma,hivi Sasa anatakasisha pesa yake kupitia UtOPoLo.
  13. A

    Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

    Tatizo siyo kuvaa jezi yenye nembo ya ji es em,Bali tatizo kiwango Cha pesa ambacho [emoji881][emoji881][emoji881] anapata kwa kumtangaza ji es em, million 40/ kwa msimu mzima,[emoji881][emoji881][emoji881]wanagomea kiwango hicho Ni kidogo Sana kwa ukubwa wa [emoji881][emoji881][emoji881],mbali...
  14. A

    Simba gomeni kuvaa nembo yenye chapa ya GSM

    Hivi na wale wasiotaka kuvaa logo halisi ya mdhamini,wakaweka rangi wanayotaka wao,je wanauweza kuathirika na kushindwa kucheza gozi la ng'ombe,sababu tu wamevaa nembo na rangi halisi ya mdhamini?
  15. A

    Tume ya ushindani kuchunguza udhamini wa GSM ligi kuu

    Wadau wengi wa soka bongo,Wana Imani na kampuni za Azam media ni WaAdiLiFu na wakweli,siyo ile kampuni ya Ji_es_em hawana uhadilifu ktk soka letu la Bongo land.
  16. A

    Kuwe na waamuzi wa kigeni kwa mechi za watani wa Jadi

    Kanuni zaligi yetu hairusu,mechi za ligi kuu kuchezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi.Kama utakumbuka Kuna wakati MaNaRa alitaka mechi za deby ya Tz ichezeshwe na waamuzi kutoka nje,na aliambiwa kanuni haziruhusu,tuwe wapole wale Mbeleko fc,Walalamishi fc, hawaishiwi viroja kuelekea...
  17. A

    Othuman Kazi ni VAR ya Tanzania

    Kuna wananchi wa JaNgWani,ambao taifa lao halijapata Uhuru kutoka kwenye utumwa wa kifikra,na pia Kuna Wananchi wa jamuhuri ya muungano Tz,ambao UtOPoLo wapo Tz[emoji1241][emoji1241][emoji1][emoji1][emoji1]
  18. A

    TFF yazuia watu kuzungumzia Mkataba wake na GSM

    Kama huo mkataba unawahusu Tff na GsM, kwanini Sasa GSM wanajihita wadhamini wenza wa NBC PL?Kuna usiri gani mpaka wadau wasiujadili huo mkataba?au mkataba huo upo kwa ajili ya mAsLaHi binafsi ya gSm na siyo timu za premium ligi?
  19. A

    Siku hizi wanawake huchoka mapema sana wakati wa kufanya mapenzi

    Wanaojiuza wanataka kamoko, biashara imeisha hiyo,hataki kumchoshaa.
  20. A

    Siku hizi wanawake huchoka mapema sana wakati wa kufanya mapenzi

    Umewai kujiuliza kwanini wanawake wengi Wana ViTaMbi?Nini kinacha ngia kuwa katka Hali hiyo ya ViTaMbi? Mfumo wao wameubadilisha,siku hizi nao wanatumia mAtAnGo ili wajitosheleze kwenye sita kwa sita,pia madawa yauzazi wa mpango kwa asilimia kubwa umechangia ,kuwaondolea ashki za mapenzi.
Back
Top Bottom