Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Amosi Makalla anatajwa kuwa ni mkuu wa mkoa bora kwa mwaka 2016. Ikumbukwe kuwa mkoa wa Mbeya ni moja ya mikoa yenye upinzani wa kisiasa wa hali ya juu na jiji la Mbeya pia linaongozwa na upinzani.
Pamoja na kuwepo kwa hali hii amejitahidi sana kuwa neutral na...
Tumeshuhudia kudorora kwa shilingi Tanzania dhidi ya fedha za kigeni,moja ya sababu zinazo tolewa kuchangia kudorora huku ni pamoja na:
1. Nchi yetu kutegemea kuagiza bidhaa kutoka nje kuliko kuuza nje
2. Kutokuwepo kwa fedha za kigen za kutosha kwenye mzunguko
3. Baadhi ya wanasiasa kulaumiwa...
Hii ni kwa hisani ya blog ya habari247
Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi uliofanywa jana katika baadhi ya kata yameanza kutangazwa huku baadhi ya vigogo wakiangushwa vibaya.
Baadhi ya majimbo ya Mkoa wa Dar es...
Leo Lowasa chadema watamsafishaje endapo atamua kujiunga chadema. sasa naanza kuamini maneno ya kibajaji kwamba kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu au adui wa kudumu
Wakati wenzao wa chadema wakijenga chama vijijin wao wanapanga jinsi ya kunufaika na kubinga bingo tu,then wanataka usawa,wenzao wame invest sana,wasijilinganishe
Content ni nzur ila rekebisha title coz it us obvious chadema hawawez kushaur wananchi kuchagua ccm,hiyo sio habar,ingekuwa ni kinyume chake hapo ndipo ingekuwa habar.Jifunze kuandika title vizur za kuvutia,otherwise content iko vizur
Kumekuwa na taarifa mbalimbali za watangaza nia kuelekea uchaguz mkuu wa october,lakin nakuja taarifa zozote juu ya mke wa mtia nia husika.
Naomba tukumbushane kuwa mke wa mtia nia,endapo mumewe atakuwa rais ndiye atakaye kuwa first lady na atakuwa na influence kubwa kwa mumewe ambaye ni rais...
Mchujo unaanzia kamati ya maadili,ambapo watabaki wagombea kumi,ndipo wapelekwe kamati kuu ambapo watabakishwa watano,then halmashauri kuu watabakiza watatu ambao watapelekwa mkutano mkuu na kumpta mmoja.
Pia katka masuala ya kiuchaguzi si kwel kwamba kikao kimoja kinaweza kikabatilisha maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.