Search results

  1. milioni

    Madudu ya Chuo Kikuu Makumira

    Hamna hata mmoja aliyepangwa
  2. milioni

    Madudu ya Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kinatambulika ila wanachuo wamepewa BED na masomo mawili ya kufundishia wakati BED inatakiwa kuwa na somo moja la kufundishia.kama vp ingia kwenye web ya wizara hamna hata mwanachuo mmoja aliyepangwa kituo cha kazi.
  3. milioni

    Madudu ya Chuo Kikuu Makumira

    Wanafunzi Zaidi ya 400 waliomaliza stashahada ya Elimu mwaka 2011 hawajapangwa ktk vituo vya kazi na serikali kutokana na digrii inayotolewa hapa chuoni kutotambuliwa na TCU.
  4. milioni

    PICHA; tuite sitting allowance au sleeping allowance?

    Sleeping allowance
  5. milioni

    Mgomo wa Madaktari: Serikali Yasalimu Amri! Yaomba Mazungumzo Upya!

    Pinda umepinda then ukapindwa sasa subiri kupinduliwa.
  6. milioni

    Zitto karibu NCCR

    Hivi huyo zito ni nani?mchukueni mtuachie chama chetu.hatupo CDM kwa sababu zito yupo.la hasha.tupo kwa ajili ya kuleta mageuzi ya kweli ktk nchi yetu.kama bado NCCR mnafikiria kuhusu siasa za kuhama vyama sidhan kama mtakua mmekomaa kisiasa.ila sishangai sana kwan naona laana aliyoiacha...
  7. milioni

    Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

    Ngoma inogile.tuvute subira this morning tusikie ya ulimboka.jamaa noma kama ulimboka wa simba.
  8. milioni

    Madiwani CHADEMA, CCM wala njama kumpindua Meya Moshi

    Hawa mapapa wa ccm wanataka kutuharibia mji wetu.
  9. milioni

    Hali ya serikali ni tete? Mpaka sasa mishahara kitendawili

    Jk kwishnei.mwezi uliopita walimu wa halmashauri ya wilaya ya moshi vijijini walipata mishahara tarehe 10
  10. milioni

    Tcu mnalitambua hili?

    Mwanachuo anayesoma Bachelor of Arts with Education,mojor subject ni Computer science.kuna usawa hapo?HIKI NI CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA.
  11. milioni

    Ushahidi wa CHADEMA kusaidiwa na Ujerumani huu hapa na ule wa CCM hapa hapa!

    Haaaa!kwani wakifadhiliwa kipi cha ajabu.hivi mnadhan upinzan hapa tanzania bila hela inawezekana?
  12. milioni

    Vurugu: Polisi na wanachuo wa Tumaini Makumira

    Hali n mbaya hadi mda huu.polis wameingia ndani ya chuo kuendeleza ubabe wao na wanachuo wamekataa kwenda kulala kwn wanadai msiban watu hawalalagi huwa wanakesha.hasira za wanachuo n kuwa polis walichelewa kuja kuchukua maiti barabaran kwn kituo cha polis na chuo n kama km 4 tu.hata polis wa...
  13. milioni

    Kilichotokea Arusha katika picha

    Hi kali
Back
Top Bottom