Search results

  1. vanmedy

    Niuzie Galaxy s6

    Niko katika hitajio la simu ya samsung galaxy s6 (original+used). .. iliyo katika hali nzuri ya kimuonekano.. any color will do.. BUDGET: 600K LOCATION: Dsm n Dodoma.. Tafadhali nicheki inbox tuyajenge.
  2. vanmedy

    tamasha la dance miamia linatuletea makundi ya wezi msasani

    HILI SUALA LA MAKUNDI YENYE MFANANO WA PANYA ROAD YAPO KWELI DSM... ni muda huu majira ya saa 11 ya jioni nimeshuhudia kundi la vijana zaidi ya ishirini limepita mtaani kwetu msasani-namanga limevamia na kupiga na kuibia watu .. MTAANI KWEUPE.. kumekuwa na makundi ya vijana wanaogawana...
  3. vanmedy

    Nahitaji simu hizi, Huawei y300 na Tecno H6

    in urgent need mwenye kuuza simu hizo .. zilizo katika hali nzuri kimuonekano bila kuwa na ubovu . tafadhali tufanye biashara.. price iwe fair kidogo jameni
  4. vanmedy

    Niuzie Huawei y300

    Iam urgently looking for that gadget,iwe na hali nzuri kimuonekano mna isiwe mbovu tafadhali ikiwa inakubali line zote itakuwa poa zaidi.budget 80,000 cash in hand.
  5. vanmedy

    Nokia lumia 900 for sale

    Kuna hii lumia 900.. blue in color. In excellent condition.. comes with the charger.. Gonga hii link kupata specifications: Nokia Lumia 900 - Full phone specifications Price:440k NEGOTIABLE Buyers just contact the seller directly through..
  6. vanmedy

    jihadhari na vikundi vya jogging vya alfajiri (saa 11-12 asubuhi)

    Ndugu zangu, kuna hivi vikundi vya jogging vinavyoibuka kila uchao.Kiukweli hivi vikundi kiafya vina faida mno na mara nyingi vikundi hivi hukimbia siku za Jumapili. ILA SASA KUMEIBUKA WIMBI LA WEZI/VIBAKA NA WANYANG'ANYI KUPITIA MWAMVULI WA JOGGING "tena hawa utawaona hadi siku za kaz"...
  7. vanmedy

    Toyota platz inauzwa 6.5

    gari inauzwa.. MODEL- Toyota Platz 2003 MODEL NUMBER- NCP12 COLOUR- light green MILEAGE: 84534km CC: 1500 PLATE NO:CNS *BEI MIL6.5 .......those serious buyers mcheki muhusika kwa namba hii
  8. vanmedy

    ni vipi ntaupgrade firmware(gingerbread) to jelly bean

    jamani nna galaxy s2.... android version 2.3.6 nataka niipandishe kwenda jelly bean.... nimejaribu kies inaniletea tatizo la connection error.. 2* hii simu ina android market ...how can i get playstore instead... ~~~~~maana nimeshindwa kuipata instagram ......cc chief-mkwawa
  9. vanmedy

    natafuta galaxy s2 both ya gb16 na ya 32

    guys i'm in need of those galaxies... 1* nataka s2 yenye internal memory gb32 1*na yenye gb16 -------- ncheki pm tuongee biashara.. NB:mzigo uwe original n in mint condition...isiwe imeandikwa tu ''made by samsung'' ispecify nchi iliyotengenezwa... Ahsanteni
  10. vanmedy

    Natafuta samsung galaxy s2..both ya gb32 na ya 16

    guys i'm in need of those galaxies... 1* nataka s2 yenye internal memory gb32 1*na yenye gb16 -------- ncheki pm tuongee biashara.. NB:mzigo uwe original n in mint condition...isiwe imeandikwa tu ''made by samsung'' ispecify nchi iliyotengenezwa... Ahsanteni
  11. vanmedy

    Kwa mwenye waraka wa wafanyakazi kujichagulia chama cha wafanyakazi wautakao

    habari zenu wakuu... Nilikuwa naomba kwa mwenye nao au mwenye uwezekano wa kuupata,. "WARAKA UNAOMRUHUSU MTUMISHI WA UMMA KUJICHAGULIA CHAMA CHA WAFANYAKAZI AKITAKACHO"..kuna wadau tunataka kubadili chama cha wafanyakazi tumedaiwa waraka ''ofisi zetu hizi zenye viongozi primitive''.. Tafadhali...
  12. vanmedy

    Hii ndiyo sample ya wanafunzi tunaotaka wafaulu!!!... Huu mkoa (Singida)sijapata kuona

    MVULANA mmoja mwanafunzi wa shule ya Sekondari Chief Senge mkoani Singida anashikiliwa jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma ya kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minne. Mvulana huyo Ibrahim Saidi (17) anayesoma kidato cha tatu katika Sekondari hiyo anatuhumiwa kutenda unyama...
  13. vanmedy

    mwalimu(sekondari) wa kubadishana kituo cha kazi kuja Dodoma manispaa

    kama kuna mwalimu wa sekondari unataka kuja dodoma mjini tafadhali niPM, uwe unatoka Morogoro manispaa/mjini, Kibaha au Dar es salaam.. Especially those newly recruited
  14. vanmedy

    Majibu ya awali ya tume ya kuchunguza sababu za kufeli vijana wa form4 ( 2012)

    nimeicopy kutoka sehemu...... TUME YA MH. PINDA INATIA WASIWASI Jana Mwenyekiti wa Tume hiyo, Profesa Sifuni Mchome alidokeza baadhi ya sababu zilizotolewa kwa wingi na wadau wa elimu waliihojiwa mpaka sasa. Sababu hizo ni ukosefu wa walimu, upungufu wa vitabu na mazingira duni ya...
  15. vanmedy

    tatizo la kamera Nokia N8

    habari wakuu... Ebwana haka kajisimu kangu ilikuwa ghafla tu camera ya nyuma inagoma kugonga picha... "'ni kwamba ukiclick camera icon inafunguka na kubakisha rangi nyeusi tupu bila lens ya camera kuonekana''' nimegoogle nikagundua ni tatizo la hizi simu ila sijapata exact solution ya hili...
  16. vanmedy

    nataka kununua nokia n8

    habari wakuu,.. Mwenye nokia n8 iliyo in mint condition ''with no scratches on it's screen'',.. Nahitaji kununua hiyo simu jameni... *my budget is 250k.....PM me please
  17. vanmedy

    nataka ideos ya kununua

    habari wakuu,... natafuta ideos u8150 ya kununua,.. Kama kuna mdau anauza... Budget 100k.. Location (dar au mwanza)
Back
Top Bottom