Search results

  1. vanmedy

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Achukue huu ushauri hasa hapo kwenye kuimega safari vipande viwili, na kwa kituo atakachoamua kulala (nashauri dodoma/morogoro kokote ambapo ataliwahi giza kulingana na mwendo wake) ASUBUHI KABLA HAJAWASHA GARI KITU CHA KWANZA AKAGUE REJETA (COOLANT/AU KAMA MZEE WA MAJI) aangalie kama imepungua...
  2. vanmedy

    Kumbuka Yanga haikuomba huruma za TFF kuhairishwa michezo yake

    Kutoka mtaa wa twiga hadi uwanja wa taifa unatumia siku ngapi kufika!? Je patahitaji hata uzoee mazingira au hali ya hewa tofauti!? Ushabiki upofu
  3. vanmedy

    Msaada: Ukipewa Mkopo wa kusoma Diploma ukahitimu. Je, utapewa na mkopo wa kusoma Degree (Elimu ya Juu)?

    Usiongee usichokijua.. tena uache kupotosha... tupo tuliomaliza kulipa miaka ya nyuma huko na hata hiyo tuliyolipa tulishawekewa cha juu nje ya kiasi kilichokopeshwa na mwaka jana tukabandikwa madeni mapya makubwa ambayo hayana justification yenye logic yoyote.. KAMA HAUJAFIKWA USIPOTOSHE...
  4. vanmedy

    Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

    Bora huko, na akumbuke kuna possibility ya kuhama
  5. vanmedy

    Poleni sana jobless, ila na sisi ndugu zenu wa halmashauri hali ni mbaya

    Abadili aende huo uafisa usafiri bila kujiuliza mara mbili
  6. vanmedy

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    usimtie ndimu ana toyota allex ujue
  7. vanmedy

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    kabla ya kutoka omba dua... njiani usishindane na mtu... run at a controllable speed of about 80 hadi 100 panaporuhusu... usiovertake hovyo hasa kitonga, jipe vituo kadhaa vya kusimama kushuka kunyoosha mgongo.. usishindilie vyakula vizito vinatia uchovu na usingizi... beba kichupa chako cha...
  8. vanmedy

    Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    huko hutakuwa na matumizi makubwa ya fedha, ukiwa na nidhamu ya kuweka akiba na kujizuia anasa.. kwa mwezi hifadhi 370k.. ndani ya miezi 24 utakuwa na pesa kadhaa unazoweza kuamua kufanya biashara nyingine
  9. vanmedy

    Msaada kuhusu USB setting

    Nenda settings. Then about phone, katafute sehemu imeandikwa built in number, ibonyebonye mara kadhaa mfululizo itakuprompt kuwa uko seconds away kuwa developer, endelea kubonya itakwambia you are now a developer.. Rudi nyuma, utakuja kuona developer options,click then tafuta USB DEBUGGING...
  10. vanmedy

    Hongera Yanga: Msafara wa Rwanda, Simba mna la kujifunza

    Unawasifia hao jamaa walioshindwa kwenda kuujaza uwanja katika sikukuu yao, ambapo wangetunisha mapato ya klabu yao moja kwa moja na sasa wanapeleka pesa Rwanda na wakodisha magari!
  11. vanmedy

    Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao

    Mimi sina starlet ila it is very ironic huna hata hiyo starlet halafu unamdharau mwenye nayo... The most funny part is, vipi wewe unachukuliwa kwa heshima kwenye hiyo jamii inayomdharau mwenye starlet nawe hata hiyo huna... Wakati wewe usiye na gari unadefine kuwa na gari lengo ni kuvimba...
  12. vanmedy

    Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao

    Mwenye starlet hana hii adha, yeye angejipitia zake anacruise huku kaweka kishoka anapiga mluzi na akiwa na uhakika wa kutochomolewa wallet au simu mfukoni. BTW mtoa umesema bado hujafanikiwa kumiliki yako eenh!
  13. vanmedy

    Msaada, Carina TI inachelewa kuwaka, pia mlimani nikikanyaga mafuta kama ina mis

    Kagua spark plugs mzee kama bado ziko poa hakikisha unazikaza vizuri.. jitahidi pia zisiwe zile za kitonga sana
  14. vanmedy

    Hivi huwezi piga rangi gari bila kupiga puti?

    Litakuwa na mabaka kama gari la jeshi
  15. vanmedy

    Msaada wa chaguzi ipi ya gari ndogo ninunue?

    Premio, alex, allion, run x, belta, ist ya cc 1490... au jiongeze ingia kwenye rav 4
Back
Top Bottom