Search results

  1. Deogratias Mutungi

    Zanzibar, CCM vs ACT-Wazalendo kuelekea 2025

    Sera na mipango ya rais Mwinyi inavyoimaliza ACT- Wazalendo kuelekea 2025 Deogratias Mutungi Utawala bora, Uchumi imara, Demokrasia safi, nidhamu na maadili ya viongozi, Ufanisi na mweleko wa mafanikio ya serikali yoyote ile ulimwenguni upimwa kwa sera na mipango yake kimamlaka na ndani ya...
  2. Deogratias Mutungi

    USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
  3. Deogratias Mutungi

    Msitumie kivuli cha Rais kuficha udhaifu wenu, Bebeni msalaba wenyewe

    Salaam waungwana wa Jamii forum Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu...
  4. Deogratias Mutungi

    Bunge lisaidie taifa na minyororo ya mafisadi

    Salaam nyote Wana Jamii forums Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 4 April 2023, ni Bunge la bajeti mambo mengi yatajadiliwa zikiwemo ripoti 16 za kamati za Bunge, Aidha ripoti ya CAG itawasilishwa Bungeni na Kujadiliwa. Ombi langu kwenu wabunge tafadhari kwenye ripori...
  5. Deogratias Mutungi

    Ajali za barabarani ni matokeo ya nidhamu mbovu ya madereva

    Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote. Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa cha mwendawazimu, tumepoteza ndugu, Jamaa na marafiki kwa sababu ya ajali ambazo pengine...
  6. Deogratias Mutungi

    Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania

    Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania Deogratias Mutungi Hii ni tafakuri fupi inayomulika kipindi cha miaka 45 ya Chama cha mapinduzi CCM katika uongozi wa kisiasa ndani ya taifa letu katika nadharia ya siasa, itikadi sambamba na kusimamia na kuenzi falsafa ya...
  7. Deogratias Mutungi

    Wahafidhina wanavyoiweka kwenye wakati mgumu ccm 2025

    Historia inatuonyesha na kusomeka kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vikongwe hapa barani Afrika vilivyobaki madarakani hadi sasa baada ya wimbi la kudai uhuru wa bendera, uhuru wa watu na rasilimali za nchi kumalizika kwa ufanisi wa hali ya juu sana. Makala ya wiki hii...
  8. Deogratias Mutungi

    Siku100 Ikulu: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo

    #Siku 100 za Samia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo Deogratias Mutungi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatimiza siku mia moja hapo Juni, 26 tangu kuapishwa kwake tarehe 19 mwezi wa tatu, kufuatia kifo cha mtangulizi wake JPM, ndani ya siku hizi mia moja...
  9. Deogratias Mutungi

    Rais Samia ni Mtiifu wa Haki, Demokrasia na Mwanamapinduzi wa sera za uchumi wa watu

    Salaam Wana JF, Siku chache zijazo Rais Wetu Mpendwa Samia Suluhu Hassan atatimiza siku 100 madarakani, Kwa takribani siku 71 sasa, ambazo ameshika hatamu kama Rais wa nchi yetu tumeweza kuona mageuzi makubwa ya kimkakati, Kisera na kimfumo kutoka kwenye falsafa za uongozi wa mwendazake JPM...
  10. Deogratias Mutungi

    Kivuli cha falsafa za Hayati Magufuli ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia

    Kivuli cha falsafa za JPM, ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia Deogratias Mutungi Ukweli wenye mantiki ndani yake upo wazi kuwa kivuli cha falsafa za JPM ni fumbo linaloishi sasa na litakaloendelea kuishi ndani ya mawazo ya rais Samia Suluhu Hassan, dhana hii inajengwa kifikra...
  11. Deogratias Mutungi

    Ushujaa na ubora wa Rais Magufuli utang'ara zaidi baada ya kung'atuka madarakani 2025

    Salaam Wana JF Nianze andiko hili fupi la uchambuzi kwa kutoa hongera na shukrani kwa Rais Dkt. Pombe Magufuli kuendelea kuonyesha misimamo chanya dhidi ya maslahi ya Watanzania katika mambo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kifya licha ya uwepo wa mashambulizi makali kutoka miongoni mwa...
  12. Deogratias Mutungi

    Siku 💯 za uongozi wa Rais Mwinyi Zanzibar ni nyota njema kwa Wazanzibar

    Salaam JF, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi leo ametimiza siku 💯 tangu alipochaguliwa na Wazanzibar kuwa Rais wao, ukweli upo wazi kuwa Rais Mwinyi ameweza kufanya Mambo ya msingi na yenye tija kwa Wazanzibar na taifa lao kwa ujumla ndani ya kipindi hiki kifupi. Rais Mwinyi ameweza...
  13. Deogratias Mutungi

    Bunge si Jumba la Sanaa, ni mahali Patakatifu Kisiasa katika ukombozi wa mawazo ya mnyonge

    Salaam Wana JF, Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala. Hatahivyo Kwa...
  14. Deogratias Mutungi

    Rais Magufuli upo sahihi kwa 100% unapothubutu kuhoji ubora wa Chanjo ya Corona

    Salaam Wana JF. Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na kinachoendelea kwa sasa dhidi ya chanjo ya Covid 19, Rais wa Tanzania ameibua mjadala mpana ndani na nje ya...
  15. Deogratias Mutungi

    Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

    Salaam Wana JF, Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi juu ya hatua zinazochukuliwa dhidi ya Covid19, Ukweli ni kwamba Bwana Mbowe ameshindwa...
  16. Deogratias Mutungi

    Rais Biden, kwa Afrika anza na Rais Magufuli na Mwinyi wa Zanzibar

    Salaam JF, Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji...
  17. Deogratias Mutungi

    Rais Magufuli, Mwinyi na Maalim Wanasiasa bora wanaostahili tuzo ya heshima kwa ustawi wa amani ya Zanzibar

    Salaam JF. Nyota ya Matumaini ya kisiasa Zanzibar inazidi kung’ara na hivyo kuandika historia mpya kwa Wazanzibar wote katika ulingo wa siasa, Tarehe 14.01.2021, Rais Magufuli aliwakaribisha viongozi wakuu wa Zanzibar Kijijini kwake Chato Geita Tanzania, ujumbe mahsusi katika mazungumzo ya...
  18. Deogratias Mutungi

    Bwana Tundu Lissu, Hoja ya Chato na Maendeleo ya sasa inajibika Kimantiki

    Salaam Wana JF. Nimesoma na kuona andiko la Bwana Tundu AM Lissu kutoka Ubelgiji akijenga hoja juu ya maendeleo ya vitu na watu ndani ya eneo la Chato anapotoka rais wa sasa Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Sijaona mantiki ya Lissu kupotosha umma wa Watanzania dhidi...
  19. Deogratias Mutungi

    Tanzania tuitumie historia ya John Okello na Che Guevera kama alama ya Utu na Uzalendo kwa nchi yetu

    Salaam Wana JF, Leo ni tarehe 12, January siku ambayo tunakumbuka historia ya Mapinduzi Matukufu yaliyofanyika huko visiwani Zanzibar mwaka 1964, kuna historia ndefu Juu ya mapinduzi haya, Andiko hili fupi litajikita kuelezea moyo na utashi wa kizalendo kwa wanaharakati hawa wawili waliopigania...
  20. Deogratias Mutungi

    Barua" fupi" kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli

    Salaam Wana JF, Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku. Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
Back
Top Bottom