Search results

  1. Deogratias Mutungi

    Nani aliye Msafi ndani ya CCM??

    Ndugu Allen sipo kwenye koma na sijawai kuwa huko, Mungu epusha mbali, nipo vizuri, " Upigaji upo na upo kweli kweli" lkn sio Manifesto ya Chama, huo ni ugonjwa unaohitaji tiba, Japo zama zimebadilika kiuchumi na kisiasa, lkn bado fikra za kijamaa na Ukulima zinaishi miongoni mwa Watanzania.
  2. Deogratias Mutungi

    Nani aliye Msafi ndani ya CCM??

    Ndugu Allen unyangau na ulafi wa Mali za umma ni hulka ya mtu, inawezekana wahuni wanatumia nembo ya CCM kama kichaka cha kuficha maovu yao binafsi, Sidhani kama miiko, na miongozo ya CCM inahalalisha "Ufisadi na Uzandiki". CCM ni ya Wajamaa na Wakulima, endapo wapo wahuni ndani ya Chama ni...
  3. Deogratias Mutungi

    Nani aliye Msafi ndani ya CCM??

    Salaam ndugu, Ndani ya CCM wapo wasafi pengine kuliko unavyofikri, wenye tabia za uzandiki, ufisadi, umalaya na wizi ni matokeo ya malezi na makuzi yao, Mifumo na itikadi za CCM hazizalishi product ya "wanyanganyi na manyangau wa kuhujumu taifa hili" Taifa hili tunalo ombwe la uaminifu katika...
  4. Deogratias Mutungi

    Mvua zimekatika na maji hakuna. Waziri aweso unatukosea sana Wanadar es Salaam

    Mkuu inasemekana hata industry revolution ilianzia Africa huko Mali, lkn tafakari Mwafrika ana nini cha kujivunia Karne hii kiuchumi!
  5. Deogratias Mutungi

    Dkt. Slaa: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ni 'mjinga fulani'

    Josephine Mushumbusi ni mke halali wa ndoa wa Dr. W. Slaa.
  6. Deogratias Mutungi

    Nguvu inayotumika kupambanua ni ushahidi tosha kuwa Mkataba wa Bandari una walakini

    Haaaaa! Hizo ni assumption tu za kisiasa, Mama Anna ana hoja za kizalendo Wala sio maslahi Binafsi.
  7. Deogratias Mutungi

    Nguvu inayotumika kupambanua ni ushahidi tosha kuwa Mkataba wa Bandari una walakini

    Mkuu John Wahaya wanahusika vipi tena na mnyukano huu wa Mkataba dhidi ya DPW?
  8. Deogratias Mutungi

    Nitaenda Chato kuwashitaki Polepole, Kabudi na Bashiru; nitapitia Butiama kuwashitaki Butiku, Warioba na Prof. Shivji

    Salaam ndugu Ujamaa, "Umangungo ni nadharia tu usihofu" hoja ni amendment za vifungu gani zilifanyika baada ya Mjadala wa DPW bungeni, Je wangapi walijikita kujadili Mkataba na vifungu vyake pasee? Muda wa ukusanyaji wa maoni hata wiki ilifika? Tusipuuze kelele na kukebei wanao hoji, Wana kitu...
  9. Deogratias Mutungi

    Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    Ndugu yangu involved, umenilisha maneno, Binafsi sina chuki na DP World, nina Imani pia asilimia kubwa ya Watanzania hawana chuki na Mwarabu, hofu ya mantiki ni "Yatokanayo na Mkataba dhidi ya serikali na DPW" kudo's umenena vyema juu ya historia ya ujio wa dini, lkn tujiepushe na munkali wa...
  10. Deogratias Mutungi

    Kama kweli DP World ataifanya Bandari ichangie 67% ya Bajeti ya Nchi basi Tanganyika Tutakuwa kama Qatar!

    Utegemezi wa bajeti ni utumwa wa kifikra ndugu FaizaFoxy...., Wala si Jambo la kujisifu, nipe shule "Waarabu walifanya nini"?
  11. Deogratias Mutungi

    Kama kweli DP World ataifanya Bandari ichangie 67% ya Bajeti ya Nchi basi Tanganyika Tutakuwa kama Qatar!

    Ndugu FaizaFoxy, Karne hii hatuwezi kulaumu tena Mkoloni Wala mifumo yake, bali Umaskini wa mtu mweusi ni akili yake mwenyewe, Imagine taifa Dogo kama Denmark kutoa msaada kwa nchi kama DRC-Congo yenye Kila aina ya utajiri wa rasilimali, unafikri tatizo ni ukoloni?
  12. Deogratias Mutungi

    Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

    Salaam ndugu Paskali, Asante kwa muhtasari huu, Ubinafsishaji sio dhambi, bali ni kiini na kichocheo cha Uchumi wa taifa, tafsiri ovu ya Ubinafsishaji Kwa Africa ni mikataba ya "kikupe" unyonyaji, Kelele zinazoendelea mitaani sasa ni matokeo ya historia dhidi ya mikataba mibovu Kwa Africa, Je...
  13. Deogratias Mutungi

    Tatizo la Nchi yetu Wanahabari wote ni CCM na sasa sekta imetekwa na Waigizaji. Chadema anzisheni Media yenu mtufikie kiuhakika

    Salaam John, Dokezo; Si wanahabari wote ni Wana CCM, la hasha! ndani ya tasnia wapo wapinzani, Wana CCM na wasio na vyama, Salaam John, Dokezo; sio wanahabari wote ni Wana CCM, la hasha! ndani ya tasnia wapo wapinzani, Wana CCM na wasio na chama, hivo hitimisho la wote si sahihi, content...
  14. Deogratias Mutungi

    January Makamba alishiriki wizi wa Mitihani Galanos na kufutiwa matokeo

    Nyakati za utotoni au ujanani zimejaa mapito na madhira mengi sana, tukifukua makaburi ya enzi hizo, hakuna aliye salama, labda mwenye vinasaba na malaika.
  15. Deogratias Mutungi

    Lini Katiba ilianza kumtaka Rais aapishe Makatibu Muhtasi?

    Vema Mr. Dog 1, Rais hajawaapisha Ma PS, isipotoshwe, bali ameshuhudia "observer" wakila kiapo cha utumishi wao, nipo tayari kukosolewa, asante
  16. Deogratias Mutungi

    Lini Katiba ilianza kumtaka Rais aapishe Makatibu Muhtasi?

    M Mkuu USSR, naomba nitie neno; Makatibu Muhtasi Wana umoja wao maarufu kama TaPSea, Wana utaratibu wa kukutana Kila mwaka na uwezeshwa kifedha, Mwaka jana walikutana Morogoro, na mwaka huu wamekutana Zanzibar, na ombi lao waliomba Rais afunge semina Yao, na Kila mwisho wa semina Wana utaratibu...
  17. Deogratias Mutungi

    USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Sijatumwa, Bali nahiitaji tuwe sehemu ya mchakato huu kama wananchi "wanajukwaa" na si kuwaachia Wana siasa peke yao.
  18. Deogratias Mutungi

    USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
Back
Top Bottom