Search results

  1. M

    Kipima joto ITV leo

    CCM watakula jeuri yao, wanadhani watanzania ni walewale wa mwaka 1998
  2. M

    Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    Angalieni picha ya ukatili uliofanywa na polisi wakati wakiwatuliza wananchi waliovamia nyumba ya mfanya biashara mmoja juzi Iringa. Haki za binadamu sijui wako wapi?polisi-ukatili.wmv
  3. M

    Nguvu ya umma yamtisha Kikwete

    ****** anaenda iringa kuzindua mradi wa maji njombe,nasikia anakwenda mpaka ludewa.
  4. M

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    Hata nyerere na wafuasi wake walipokuwa wanadai uhuru wale waliokuwa wanakula chapati kwa wazungu waliwaona wanaharakati ni wajinga,ndivyo ilivyo kwa hawa vijana mnawaona wajinga lakini baadae wataitwa wateule wa ukombozi mpya wa tanzania.
  5. M

    CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

    Arusha ni benghazi ya tanzania ya kuiondoa ccm madarakani.
  6. M

    Serikali yashindwa kulipa wafanyakazi, yapunguza maslahi kimyakimya

    Tumethubutu,tumeweza,tunazidi kusonga mbele.
  7. M

    Ushahidi wa serikali yetu kufilisika huu hapa

    Kaka asante kwa data lakini tunaendelea kuishi na osia wa baba wa taifa.Serikali ya kihuni hata siku moja haiwezi kuwa makini
  8. M

    Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

    sasa kama wenye akili walikuwepo na hawakwenda kutetea ubora wa chuo chao sisi tutapima vipi ubora wa hicho chuo unachokisifia.mimi naona mkubali tu,ud limebaki jina tu,lakini kuhusu ubora wa taaluma,wanaohitimu hapo wanaishia na chawa kichwani.
  9. M

    Bomoabomoa Dodoma imenihuzunisha sana.

    Nimeumizwa na kitendo cha serikali kuwabomolea wananchi jumbazao huko dodoma eti kumpisha mwekezaji.Nimemsikia mama mmoja kwenye taarifa ya habari ya ITV akilia baada ya nyumba yake kuvunjwa huku akisema amani Tanzania haipo.Hii inamaana gani?
  10. M

    Kipi ni chuo bora hapa Tanzania?

    kwamtazamo wangu chuo bora hapa bongo hakuna.Chuo ambacho kinaweza kuwa bora angalau ni mzumbe, nasema hayo kwa kuangalia mashindano ya Zain Africa challenge Universities .Mzumbe angalau kilifurukuta, lakini udsm ni viroboto tu. habari ndi hiyo.
  11. M

    Lowassa anena, amponda Kikwete kimtindo...

    Lowassa kama angekuwa chama kingine cha siasa angetufaa, lakini kwa chama hichohicho kilichomtosa, hawezi kuwa kiongozi bora kwasababu ccm wameshaozea kula nyama za watu na yeye Lawassa atakuwa hivyohivyo, labda aanzishe chama chake.
  12. M

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Wanaovaa ni wale kiherehere ambao hawajui hata maana ya ccm
Back
Top Bottom