Search results

  1. Kuchwizzy

    USA yatoa maelfu ya mabomu yatakayotumika kufumua Rafah

    We mkenya ni Psychopath. Hujui maisha wanayoishi wapalestina ambao kosa lao ni kuzaliwa Palestina Udini ni janga kubwa kama ulivyo Ukimwi au mimba za utotoni
  2. Kuchwizzy

    Bandari na Mwendokasi wamepewa wawekezaji, nashauri TANESCO wapewe wawekezaji pia

    Vitu vingine vinachekesha sana, sasa Waarabu na Ufanisi wapi na wapi? Mnataka ufanisi? Walete Wajerumani au Wajapan.
  3. Kuchwizzy

    Mkuu wa FSB wa Urusi asema Marekani, Uingereza, Ukraine ndizo zilizohusika na shambulio la Moscow

    Kwa hali ya sasa ya mambo hata Trump hawezi, vyama viwili vya Marekani siku zote huwa vina agenda moja (Ruling elites ni wale wale) tofauti huwa ni strategies Trump na timu yake lengo lao lilikua ni kuweka urafiki na Russia, kutumia huo urafiki (fake) kuwatenganisha na China, ndio maana sera...
  4. Kuchwizzy

    NASA wajanja sana

    Umbo la dunia ni kitu unachoweza thibitisha wewe mwenyewe Ulisomeshwa ili iweje sasa.
  5. Kuchwizzy

    Mifumo ya TEHAMA ya serikali mfano Tamisemi, inaundwa na kina nani? Ni AIBU tupu.

    Hapo tayari unakua na access ya hio account, mwanafunzi mwenyewe hawezi tena kuipata So unaweza mchagulia course au tahasusi bila yeye kujua chochote, yeye hawezi tena kuipata
  6. Kuchwizzy

    Mifumo ya TEHAMA ya serikali mfano Tamisemi, inaundwa na kina nani? Ni AIBU tupu.

    Issue kama hizo zipo nyingi na wahusika hawaonekani kujali
  7. Kuchwizzy

    Mifumo ya TEHAMA ya serikali mfano Tamisemi, inaundwa na kina nani? Ni AIBU tupu.

    Hata nikifanya nitakwambia? Halafu issue niliyo point inawezwa fanywa na yoyote mpaka nimeandika hapa ni kitu ambacho nishafanya, mtu ambaye hausiki na account ya mwanafunzi anaweza pata access ya hio account yake kwa kuweka hizo details hapo ambazo ni rahisi kupatikana, mfano mwaka unaweza hata...
  8. Kuchwizzy

    Mifumo ya TEHAMA ya serikali mfano Tamisemi, inaundwa na kina nani? Ni AIBU tupu.

    Moja kati ya misingi mitatu ya usalama wa mifumo ya TEHAMA (System security) ni Confidentiality. Hakikisha zile taarifa nyeti zipo mikononi mwa watu walioidhinishwa (Authorized users) na si vinginevyo. Kwenye mfumo wa tamisemi unaoruhusu wanafunzi kubadili tahasusi zao, hivi ndio vigezo...
  9. Kuchwizzy

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Inasikitisha sana, wakati wenzetu wanasonga mbele sisi ndo tunakimbia mbio nyuma Kweli viongozi dhaifu ndo huwa wanatengeneza nyakati ngumu
  10. Kuchwizzy

    Nimegundua haya

    Simplest explanation is more likely to be true
  11. Kuchwizzy

    What is happening now in DRC

    DRC inabidi isukwe upya, moyo wangu upo kwa wakongomani watakaozidi kufa na kuteseka mda wote huo kwasababu inachukua vizazi na vizazi kujenga nchi hata karne kama hamna jitihada binafsi
  12. Kuchwizzy

    Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Hebu tushiriki mimi na wewe kwenye hili jaribio la kufikirika, Assume, umekaa tu nayako, halafu nikaja mimi, nikakwambia kuwa nimekuja na habari ya Mungu wa kweli anaitwa "Kekova" , nikasoma kitabu cha kwanza kwenye vitabu 12 alivyonipa Kekova kwenye mlima Kilimanjaro Aya inasema "Hapo mwanzo...
  13. Kuchwizzy

    Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Wenda hujaelewa hoja, Factor kubwa iliyofanya na inayofanya watu wawe waumini wa dini fulani ni Jiografia na sio critical analysis unayosema hapa Majority ya watoto tayari wanapokea dini za wazazi wao hata kabla hawajafikia umri wa kuchanganua mambo, mda gani wanafanya critical analysis ya dini...
  14. Kuchwizzy

    Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Lete ushahidi wa kihistoria kuwa Ibrahim ni "binadamu halisi" aliyewahi kuishi Lete ushahidi wa kihistoria na kijiografia kuwa "Gharika" iliwahi tokea, Nuhu alikua mtu halisi, na viumbe vyote duniani vilivyopo sasa vilitosha kwenye hio Safina ndogo kuliko boat za Azam Lete Ushahidi wa...
  15. Kuchwizzy

    Ukweli kuhusu kwanini unaamini dini unayoiamini

    Sababu ya mtu kuwa mkristo au muislamu ni sababu ile ile inayofanya mtu azungumze kiswahili au kifaransa Jiografia. 99.99% ya wakristo, ni wakristo kwasababu wamezaliwa na kulelewa kwenye familia za kikristo, wamekabidhiwa dini na kuambiwa huu ni ukweli, kisha nao wakaipokea kama ilivyo, ni...
  16. Kuchwizzy

    UKIMWI upo ndugu zangu

    Wazazi wake Iringa washapata taarifa? Ugonjwa hauna tiba mnaenda kupima ili iweje? Mfe kwa stress?
  17. Kuchwizzy

    M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Hakuna usawa cause wao wana unda high value products wakati sisi tumebaki na low value products Saa ni high end product ukilinganisha na karanga, haijalishi karanga ni muhimu kiasi gani kwenye mwili wako Kwenye hii dunia tunayoishi, kwenye hizi zama za Utandawazi na Ubepari, bila kufanya...
  18. Kuchwizzy

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuna watu hawaelewi, Ukraine ishapigwa, kushindwa vita kunajulikana mapema Hitler na majeshi yake walijua kabisa miaka 2 kabla kuwa tayari washashindwa Maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wanauliwa kila siku, issue sio tena silaha, issue ni man power, hakuna watu wa kufanya tena offensive Ukraine...
  19. Kuchwizzy

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unauliza kuhusu Ukraine? NATO wanampango wa kuingia rasmi baada ya kuona Ukraine inazidi kuteketeza wanajeshi Plus vikwazo vyao vyote ya uchumi, mabilioni ya dola kama mkopo / aid kwenda Ukraine, silaha, planning, intelligence ku fail Ku avoid hii aibu ya efforts za nchi takribani 30 kushindwa...
Back
Top Bottom