Ni takribani wiki sasa napitia hii changamoto ya kiafya.
Upande wa kushoto kifuani(Kwenye moyo) nahisi maumivu hasa baada ya kuvuta hewa.
Kuna dalili kama kichefuchefu na uchovu viliambatana
Hii unitokea hasa hasa wakati wa usiku. Mchana mara chache sana hasa nikiwa na njaa.
Kabla ya...
Ukoo wetu hauna dini moja. Kuna Wakristo na kuna Waislamu.
Kuna wengine hawana dini kabisa. Ila some tunachangia mababu. Na tunapendana.
Siwachukii Waislamu kwa kuwa mimi ni Mkristo. Siwachukii wakatoriki kwa kuwa mimi ni Mlutheri.
Kuna wanasiasa wenye nia ovu hasa hasa kutoka Chama cha...
Mkataba una mapungufu mengi sana. Serikali ikae nq wataalam wa mikataba ya uwekezaji wenye uzalendo wa juu. Wapitie vifungu tata...virekebishwe na uletwe tena bungeni kupitiwa na kupitishwa.
Si uungwana kuchanganya siasa na dini. Madhara yake ni makubwa sana.
Waprotestanti, Wakatoriki na...
Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.
Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.
Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.
Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!
Tanzania ni ya wote...
Binafsi huwa nashindwa kuwaelewa watu wenye nafasi zao kwenye jamii ya Watanzania. Hasa hasa wasanii, kwanini mnakubali kutumika kusahaulisha watu kufatilia suala la msingi la mikataba mibovu inayotufanya tuwe watumwa sisi na vizazi vyetu kwenye nchi yetu wenyewe.
Kwani nyie hamna Watoto au...
Nimeanza kazi mwaka 1960, niliajiliwa Bodyguard wa Governor nilikuwa nalipwa USD 2000.
Nilikuwa namzidi baba yangu mshahara. Alikuwa ananishangaa sana.
Ndugu zangu watanzania hasahasa Watanganyika wenzangu. Suala la bandari msilichukulie poa. Baada ya miaka 60 humu wote hatutakuwepo ila wanetu na wajukuu zetu watakuwepo.
Ebu fikiria wanetu waanze kuwa watumwa tena wa Warabu au wazungu, hvi watatuelewaje?
Hii issue sio ya chadema au ya Silaa...
Hatutaki mkataba wa DP world. Yunataka bandari zetu.
Nchi nzima inazungumzia mwanafunzi kupotea...kwani ni mara ya kwanza kwenye nchi hii?
Watanzania nawasanua amukeni. Daini bandari!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.