Search results

  1. S

    Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Ni ofisi ndogo ya CCM siyo Ikulu
  2. S

    William Ruto hana maadili msibani

    Kwani huo msiba wa Nani?
  3. S

    Mapinduzi kutoka Roman Catholic (RC) hadi Tanzanian Catholic (TC) kutokana na tamko la papa

    Kwa sababu Hao wanajitangaza? Usiwadanganye watu hata huko wako sengi sana
  4. S

    Musukuma adai yeye ni bilionea

    Asiwadharau wasomi,kwani hata yeye anawategemea wasomi,kama wote tungetegea na kuishia darasa la Saba? Hao madaktari wa kutibu watu wangetoka wapi wahandisi na wataalamu mbalimbali wangetoka wapi
  5. S

    Je, Yuda Alikufaje Na Alienda Mbinguni?

    Uko sahihi kabisaYuda hakujus SAA hii ya Yesu kusulibiwa ilishatimia, loss la Yuda siyo kumsaliti Yesu, Bali kosa lake kubwa ni kujinyonga, alikuwa na nafasi ya kutubu na kusamehewa kama akina Petro
  6. S

    Hivi hakuna njia nyingine tofauti na madhabahuni ya kutubu zambi zangu nzito kimya kimya.??

    Kutubu dhambi ni kufanya Toba, Mara nyingi Toba inafanyika Kwa watu wengi,hasa Kwa wakristo, ili watu wajue kwamba umeacha dhambi
  7. S

    Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

    Wewe shabiki wa Yanga au kolo,Acha kudanganya watu Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
  8. S

    Mchungaji Nurdin Abdallah afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa miaka 6

    Hivi mtu na akili yako mganga anakupa sharti ukambake mtoto wako,hivi yeye alishafanya hivyo,au akiambiwe afanye kitendo hicho Kwa mwanawe atafanya?
  9. S

    Hii ni 'Injili hiyo hiyo' ama ni Injili nyingine?

    Wewe unayeleta mzaha kwenye neno la Mungu,soma Mithali 1:26
  10. S

    Kutokana na changamoto ya Ushoga, nini kipo kipo nyuma ya pazia Dunia?

    Hii ni kuonyesha namna gani dunia yetu ipo ukingoni kabisa,wenye hekima wote wanajua muda uliobaki ni mdogo Sana,hatuna miaka mingi kabla muhukumu ulimwengu huu ambaye ni YESU Kristo mwenyewe kuonekana katika mawingu,kama vile watu wa Galilaya walivyoambia Mndo1:9_10, huyu YESU mnayemuona...
  11. S

    Kauli zilizokufurahisha ukiwa JKT

    We're kuruta uliyevaa greenest ya kijani kuja hapa
  12. S

    Tumechezwa shere! Ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta ni changa la macho

    Du hayo makolokolo yooote kwanini yasiondolewe?
  13. S

    Mbona watu hawapotei siku hizi?

    Hebu tumuache John Pombe Magufuli apumzike, yako mengi mazuri aliyoifanyia watanzania,mnyonge mnyongeni haki yake mpatien Magufuli watanzania wanyonge tunakukumbuka
  14. S

    Mtume Mwamposa atambulishwa bungeni, Bunge zima lamshangilia

    Hili bunge la ajabu, mbona hata ole Sabaya walimshangulia Sana na baadaye kidogo kesi ya uhuhunu
  15. S

    Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF

    Mbona imeshaanza kitambo tu
Back
Top Bottom