Search results

  1. mnyalilungulu

    Shirika la Fedha Duniani (IMF) laahidi kuipatia Tanzania fedha itakayoihitaji

    Mkurugenzi Mkazi wa IMF Tanzania, Jens Reinke akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi leo katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkazi wa IMF nchini Tanzania, Jens Reinke ameyasema hayo wakati alipokutana na kufanya...
  2. mnyalilungulu

    Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Japan imeongeza siku za hali ya hatari mpaka May 31 raia wake wameambiwa wakae tayari kuanza kuishi maisha na CoronaVirus. Waziri Mkuu Shinzo Abe anasema,"Nchi nzima ijitayarishe kuishi na Corona au maisha na CoronaVirus, hali ikiendelea hivi hatuta weza kuendesha maisha yetu na uchumi...
  3. mnyalilungulu

    Hivi ikitokea CCM kwa hila wakanunua wapinzani wote nini kitatokea?

    UPINZANI wenyewe hawajielewi wamevurugana kwenye vyama vyao ndo maana wana hama sina hakika kama CCM ndo huwanunua
  4. mnyalilungulu

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi mwaka huu utakuwa mgumu kwa CCM

    mwaka huu CCM wanaterezea ganda la ndizi
  5. mnyalilungulu

    Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

    Kawe Alumni, Yah lazima tuheshimiane wakati wa ukoloni ulisha pita
  6. mnyalilungulu

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    StingRay, Maranyingi Taarifa zake kua na chembe chembe za ukweli,waangaliwe watu hao
  7. mnyalilungulu

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    dah ni pigo kubwa sana la CHADEMA ikiwa ni siku chache tu baada ya MWAMBE na SUMAYE kuhamia CCM haiya kazi ndo kwa kwanza imeanza ikiwa ni dakika ya tatu ya mchezo mpaka tukafike 45 sijui itakuaje
  8. mnyalilungulu

    Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

    kwani marekani ni nani? kwamba kila atakachosema tufuate walishatutawala wakati wa ukoloni inatosha
  9. mnyalilungulu

    Shame on United States of America

    huko umeenda mbali sana mzee baba ni juzi tu walipo muua kiongozi wa kijeshi huko Irani
  10. mnyalilungulu

    Kadinali Pengo Uliaibisha Kanisa Kuhusu Makonda

    kadinali yupo sahihi kwasababu makonda yupo sahihi na hakuna baya alilolifanya na hata kanisa halipo radhi kuachia upuuzi kama uhuu wa kina pompeo
  11. mnyalilungulu

    Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

    siyo kwamba imeshindwa kukusanya na kupata pesa hizi, mambo ni mengi na tunaishi kwa priorities yote yanaweza kuwa ni matatizo na changamoto tunaangalia nini kianze
  12. mnyalilungulu

    Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

    endeleeni kujidanga tukutane oktoba kwenye kapo la kupigia kura ndo utajua kama anakubalika au hakubaliki
  13. mnyalilungulu

    Magufuli Pumzika, yatosha sasa!

    hawezi kupumzika saiv bado mapema sana na nchi bado haijanyooka vizuri tunamuhitaji sana
  14. mnyalilungulu

    CUF-chama cha wananchi Tumebaini mpango wa CCM kuwarubuni madiwani wetu saba 7 Jijini TANGA

    na nyie si muwarubuni wakwao au hamjui kuwa siasa ni mchezo mchafu pambaneni syo mnakuja kulia lia tu huku
  15. mnyalilungulu

    2020 vijana kaeni chonjo Diamond anatumika kuwalaghai muendelee kukandamizwa

    acha wivu dogo mtu anapofanya jambo jema kwanini asipongezwe
  16. mnyalilungulu

    Membe alisahau nini Serikalini?

    hana lolote ni uchu tu wa madaraka
Back
Top Bottom