Search results

  1. komrade

    DR Congo hali ilikuwa tete sana, tangu mimi nizaliwe sijawahi kuona matendo kama yale ambayo tulikuwa tunafanyiwa sisi

    Poleni. Lakini hawa Wakongo wanaokimbilia TZ ni wakimbizi wa mchongo kutokea ng'ambo ya ziwa Tanganyika. Makundi ya waasi yapo Kivu. Kama kweli wanatokea huko, kwa nini wasikimbilie Uganda, S.Sudan, Rwanda, Burundi ambapo ni karibu, au kubaki DRC maeneo yasiyo na vita. Matazamio yenu ni...
  2. komrade

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aendesha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kidigitali

    Mkuu, uko sawa. Ila ulichosahau ni kwamba, CDM waliona na zamu ya K³T kutawala nchi. Hapo unamkuta Mr.0. Naomba uweke sawa kumb² zako. MUNGU IBARIKI TZ
  3. komrade

    Hivi kuna kampuni iliyomakini inayoweza kusitisha shughuli zake kwa zaidi ya wiki mbili kwa ajili ya sikukuu?

    Wahenga walisema "UKISHANGAA YA MUSA, UTAONA YA FIRAUNI". Kwani hujawahi kuona wafanyabiashara wanafunga migahawa (hoteli) wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani? Hizo wiki 2 za sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya mbona chache sana
  4. komrade

    Je, tuanzishe JF University (JFU)? Itakuwa the largest, the biggest & the richest reference library in Tanzania. Je, Max awe VC Wetu?

    Wazo zuri. Tatizo JF kuna kila aina ya tusi, kashfa, majigambo, ujuaji, n.k., n.k... Napendekeza huyo Mkuu wa Chuo awe mbobevu kwa nyanja hizo Nafikiri JFU itakuwa Chuo Kikuu cha ajabu kuwahi kutokea duniani. 'NAWAZA KWA SAUTI TU'
  5. komrade

    Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    RIP kwa wote waliopoteza maisha. Tunawapa pole waliopoteza wapendwa wao. Majeruhi, tunawatakia afya njema na kuendelea kulijenga Taifa. Ila, tungesikia mengi endapo hii ajali ingekuwa ni kwa zile 'Mbawa za Kilimanjaro'. IMEISHA HIYO
  6. komrade

    Putin ni shahidi, Mtume na Nabii wa Zama zetu. Namuunga Mkono

    Mkuu, naunga hoja. Japo inasikitisha, kwakuwa hakuna sababu yoyoye inayo halalisha vifo, majeruhi, ukimbizi na mtafaruku unaosababisha watu kukimbia makazi yao. WAUNGWANA WANASEMA, UKITAKA KUTAWALA JAMII YOYOTE, HAKIKISHA JAMII HUSIKA INASAHAU/INAPOTEZA ASILI YAKE, KUTOJALI MILA, TAMADUNI...
  7. komrade

    Haya Jamani James Watson kakinukisha kuhusu akili ya Mwafrika!

    Kwanza nakushauri:- *Google kujua kuna aina ngapi za IQ. *IQ zipi zinazomhusu mhusika (mweusi/mweupe) na kumfanya kuwa mahiri katika mazingira anayoishi. *Huyo mbaguzi unayemhusudu, unadhani analenga aina gani ya IQ amedhamiria kuitumia katika kumdhalilisha mtu mweusi. *Hiyo IQ iliyotumia...
  8. komrade

    Mbaroni kwa kumpiga risasi ya paja mtu aliyetaka kumshambulia kwa shoka

    Kosa la mlinzi James Mtongori (28) linalo sababisha kushikiliwa na Polisi ni kumpiga risasi pajani kijana Kulwa Sylvester (26) bila ushahidi. James alitakiwa asubiri kupigwa shoka na Kulwa ili ushahidi ukamilike. Jeshi la Polisi tunawatakia kazi njema, ili HAKI ikapatikane MAHAKAMANI
  9. komrade

    Nikipata pesa sijengi msikiti/kanisa kwanza kwa sababu hizi

    Kwanza upate pesa ndio uje hapa kutueleza umefanya nini
  10. komrade

    Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

    USA inaongoza kuwa nchi ambayo sio maeneo ya vita lakini ni rahisi kuuawa kwa risasi. Mtu mweusi kwa USA ni wa kutiliwa mashaka. Kuhojiwa au kukamatwa na Polisi ni wakati wowote, ukileta ubishi risasi inakuhusu. Kama unaipenda USA ni wewe, sio kila mtu
  11. komrade

    Msaada: Nini Matumizi ya Hii Button

    Sawa. Je! ni haki kwa dereva kutoa lugha chafu na matusi kwa abiria? Je! abiria wakibonyeza hiyo 'button' (kwa bahati mbaya) inayomnyegelesha dereva, ina maana hakuna safari inayoendelea kwakuwa Dereva kachukia? Kwa hayo mabasi yako uliyotaja (Dar-Moro-Dar) kama wahudumu wana tabia hiyo, ni...
  12. komrade

    Mbingu zote zitafunguka Russia

    Kinachoendelea ni NATO/EU na Washirika kupambana na Urusi katika ardhi ya Ukraine. Akinamama, Watoto na Wazee waliokutwa katikati ya uwanja wa vita, pamoja na madhara wanayokumbana nayo, wanatumiwa kama ushahidi wa mabaya ya Urusi duniani (Russophobia). Ni aibu kwa dunia ya sasa tunayotarajia...
  13. komrade

    Mjane wa Dkt. Reginald Mengi (Jacqueline Ntuyabaliwe) apata ushindi rufaa ya mirathi

    Ukiona hivyo, lazima kuna mahali kosa lilifanyika. Nimeikumbuka NBC iliyouzwa kwa Makaburu baada ya kuvunjwa na kuanzishwa NMB. BAD DEBTS zilizofutwa kwa wadaiwa, inakwenda kuwa BAD WEALTH kwa wanufaika. YANAZUNGUMZIKA. WAKAE WAKUBALIANE. Vinginevyo, Mali zinavyopatikana ndivyo zinavyotoweka.
  14. komrade

    Fans wa Man Utd, Tujifariji maumivu kwa kukumbushana "glory days"

    Sir Ferguson alijua wachezaji wake umri umekwenda. Kulinda heshima, akang'atuka. Ni vema MU ijivue gamba kama joka ili irudishe heshima. Vinginevyo kuchukua vijeba kama C.R. inabidi kuvumilia kipondo. HAKUNA NAMNA
  15. komrade

    Tanzania ina hospital na vituo vingapi mahususi kushughulikia afya ya akili?

    Mkuu, ni kweli. Hii hoja ni muhimu. Hasa humu JF wamejaa tele, kwao matusi ni ya kufikia. Tusubiri majibu ya Waungwana
  16. komrade

    Msaada: Nini Matumizi ya Hii Button

    Poleni. Huyo dereva ni mshamba. Nawashauri mbonyeze hizo button mara kwa mara ili azoee, hasira na matusi yataisha. Safari itaendelea vizuri tu na vicheko. HII NDIYO BONGO
  17. komrade

    Je, IGP Sirro amepandishwa cheo? Naona nyota moja imeongezeka begani

    Cheo kikipanda begani kinanoga. IGP Sirro ameamua kujikumbusha enzi zake za A/Insp
  18. komrade

    Nimegonga gari ya kuazima, nimepata hasara ya Sh. Milioni Moja

    Ni kweli. Hawa wenye leseni za udereva bila kuwa na magari, ni wasumbufu kuazima magari ya watu, kwakuwa mlisoma pamoja, ni ndugu nk. Wakati mwingine hawana sababu yoyote kuazima gari zaidi ya utapeli, kusafisha majina na kusumbua mabinti wa watu mitaani. MUNGU ANAWAONA
  19. komrade

    Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

    Kongole mkuu. Ukisha tambulika kuwa umehudhuria kikao, una wasiwasi gani tena....hizo agenda, mada, hoja, maswali&majibu, mitazamo, maoni, mapendekezo ni taarabu tu,,,PIGA USINGIZI KWA KWENDA MBELE MPAKA WAKUAMSHE WENYEWE
Back
Top Bottom