Search results

  1. Wax wings

    Nini sababu ya Polisi kujihusisha na vitendo vya wizi?

    Serikali yetu kwa sasa imewapa uhuru sana kitengo cha usalama mpaka imefikia wakati wanavuka mipaka na kushirikiana na wezi au na watu wengine watenda maovu. Polisi kama tunavyoelewa ni kulinda raia na mali zao lkn leo imegeuka imekuwa kuonea raia na kunyang'anya mali zao. Imagine Polisi...
  2. Wax wings

    Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

    Wewe unaongea vityu usivyovijua tyulia kbsa
  3. Wax wings

    Rais Samia Suluhu ateua Wabunge wapya watatu na kuteua Baraza la Mawaziri

    Kabsa yaani me naona tatzo sio paymaster tatzo ni uongozi alionao uongozi ukiwa mzr piah yeye anakuwa vzr kwa hiyo usimhukum aliechini wakt wa juu umemwacha
  4. Wax wings

    Uviko-19: Vifo mfululizo vya wazee wetu siku za karibuni, chanjo haisaidii?

    Serikali ya kiwaki tyu wanatyuletea hbr za kimamton
  5. Wax wings

    Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

    Wanakuza mambo waonekane wamefnya kazi kubwa
  6. Wax wings

    Nina mtaji wa milioni 2, naomba ushauri wa biashara ya kufanya

    Asanteh nimesoma na nimeelewa ila me huku mgeni nanlipo ni bunju dry cleaner siwezi maaana sina kaz nyingne hiyo ndio natarajia iwe kazi yangu.
  7. Wax wings

    Nina mtaji wa milioni 2, naomba ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini wanajamvi wenzangu, Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia ushauri juu ya baishara halali yenye manufaa ya kimaemdeleo ya maisha. Nipo Dar mtaji wangu ni million mbili pia sina...
  8. Wax wings

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Ulishaiyona lkn hyo supercomputer nikama computer nyingine sema unauwezo mara mia ya computer za kawaida Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  9. Wax wings

    Gesi ya matumizi ya majumbani yapanda bei

    Hamna kawaida tyu mbn mikoani hiyo bei niyasiku zote kumbe dar walikuwa na maisha mepesi hivyo
  10. Wax wings

    Muumini anaswa na CCTV akiiba sadaka Kanisani

    Anarudisha faida yake huyo Wenda hawakumuelimisha nni maana ya kanisa Wenda alijua ni mikoba anaweka akiba mwanzoni mwamwaka anachua vyake ,alafu kanisa linashitaki badala ya kumwombea maana na hilo ni pepo
  11. Wax wings

    Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto wa miaka 12

    Daaah sijui wanaume tyunashida gani wapo wengine wa kununua lakn hadi tyukabake
  12. Wax wings

    600 years of Chinese bloodline in Lamu

    Tanzania yetu wameendekeza saana umbea kuliko vityu vya mhumu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Wax wings

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Hauwezi labda urudi shule utafte D ya math's na physc Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom