Habari waungwana!!!
Mie ni mwanafunzi wa mwaka wa pili semister ya pili RUCO, Faculty BA(EDUCATION) mpaka sasa sijapata mkopo wa semister za mwaka wa pili ikiwa taratibu zote nimekamilisha, Je nifanyeje na Bodi nilishakwenda mara kibao na kuambiwa niko kwenye system lakini mpaka sasa hamna...
Habari wJF,
Naomba kujuwa jamani huyo jamaa mwenye hii user name (KING KONG III) ana share/hisa yoyote kwenye hii jamii forum?
Maana kila nikifunguwa thread yoyote ile lazima nikute yeye ndiye mchangiaji wa kwanza au wa pili kwenye thread.
Naomba kujuwa jamaa ana hisa asilimia ngapi? Au ni mimi...
Bwana Yesu Asifiwe wapendwa.
Juzi kati mimi na jamaa yangu (bwana harusi mtarajiwa) tulienda mkoa fulani kwa wazazi wa mke wake mtarajiwa kwa ajili ya kujitambulisha pamoja na kupangiwa mahari, Baada ya utambulisho ilibaki kazi ya mshenga na wakwe kupangiana mahari.
Mshenga alipewa barua...
See the day coming, Jesus will bring hunger, not lack of food or thirst for water, but a famine of hearing the words of God, Hours comes God will remove word that men shall be sought at all costs and longed to hear but it will be too late. time is now, beloved, come to Jesus he is the only...
Huyo bado ni mmewe kwa maelezo yako inaonyesha bado ndoa yenu haijavunjika.
Hata hiyo nyumba unayoisema si umepewa na wakwe zako? Kiukweli au kisheria bado we ni mke wa mtu na hutakaa ukaolewa tena ila kama we ni mzaramu sitashangaa.
Tambua kuna ndoa za aina nne zinazotambuliwa kisheria...
Hakuna asiyejua nini maana ya mapenzi, kila mmoja wenu hapa nadhani hili swala analijua vizuri ingawa kwa mitazamo tofauti.
Sasa basi hivi majuzi nilitokea kukutana na madada wawili kwa nyakati tofauti, katika kutaka kuwajua vizuri nikaja kugundua kwamba mmoja ni Bamedi anafanya kazi baa fulani...
Mimi ni around 23-26years old, hivyo basi katika kukuwa kwangu sijawahi kutumia kilevi chochote mpaka sasa, ila katika maisha yangu niliwahi kuwa na ndoto ya kuja kuvitumia hivyo vitu, Sasa naona huu ndo muda wa kuanza kuvitumia, Nafanya hivyo kupunguza msongo wa mawazo niliyonayo kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.