Search results

  1. P

    Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa

    We jamaa sishangai kwanini una tuhuma ya kuwa shoga Sasa unawapangia watu maamuzi yao? Si mlisema upinzani unachelewesha maendeleo? Acheni unafiki
  2. P

    Waraka wa Diwani mstaafu wa CHADEMA kwa Tundu Lissu

    Your mother is exceptional moron!
  3. P

    Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

    Ngoja bhasi nishone vazi la suti
  4. P

    Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

    Inamaana Udom inawalimu wachache kwenye tasnia ya sheria kuliko Tudarco? Na ukaribu wa Law school, unachangia materials, je materials za law school zinatumika na undergraduate?
  5. P

    Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

    Ahsante Mkuu Malyenge Je, ni sababu gani niende UDOM na sio TUdarco?
  6. P

    Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

    Ahsante mkuu!. Ni mtu wa nne hapa kunishauri UDOM, Ngoja nisikie na wengine.
  7. P

    Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

    Ahsante mkuu! Nimeuliza rankings za chuo zina manufaa yapi kwa graduate?
  8. P

    Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

    Ahsante mkuu! Kama hutojali, Ranking za vyuo zina manufaa gani kwa graduate?
  9. P

    Ni ipi bora kati ya LLB ya UDOM na ya TUDARCo?

    Wakuu habari zenu! Sina nia ya kutambishiana wala kuleta majivuni, HAPANA! Ningependa kufahamu kwa uzoefu wenu hususani mambo ya fani ya sheria. Je, ikatokea umepata LLB kwenye Chuo cha UDOM na Tumaini(Dar), Ungeenda wapi? Na ni sababu gani ungeangalia kufanya maamuzi? Natumai mtanipa ujuzi...
  10. P

    University Admission Results 2020

    Jamani kurequest confirmation code kwa UDOM mbona haiji kwenye email? Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom