Search results

  1. Mr.mzumbe

    Nani anafadhili tamasha la Kizimkazi? Malengo yake ni yapi?

    Kiukweli kwa kule zanzibar kuna matamasha ya kiutamaduni maarafu na yote ni matamasha yapo east coast, huko east cost ndio unapata kizimkazi,makunduchi,paje,michamvi,jambiani n.k. Kati ya hizi pwani za east coast, tamasha maarufu zaidi ni tamasha la makunduchi( nafikiri wenyewe wanaita tamasha...
  2. Mr.mzumbe

    Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

    Kwahiyo were ulitaka gharama za Maisha zipande na 23% hasiongezewe??
  3. Mr.mzumbe

    Dodoma: Spika wa Bunge, Dkt Tulia ashinda mbio za mita 100 zilizowashirikisha viongozi Wanawake

    Ndugu yangu GENTAMYCINE wewe unakuwa kama mgeni wa wanasiasa. Wanasiasa hawaoni shida wengine wote kujichelewesha ili kiongozi ashinde na kupata ujiko [emoji3][emoji3],mbaya zaidi mwanasiasa mwenyewe wa ccm. Mimi bado siamini kama matokeo hayakuwa ya mchongo.
  4. Mr.mzumbe

    Nimchokoze Mohamed Said juu ya historia ya Denis Phombeah; ni vipi alishiriki katika uhuru wa Tanganyika?

    Habari wako ndugu yangu Mohamed Said, Naomba unifahamishe, huu ukumbi wa Atnautoglo upo wapi huu kwasasa ? Au ndio atnautoglo uliopo karibu na hospital ya mnazi mmoja?
  5. Mr.mzumbe

    Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

    Cha kuongeza,huyu bwana ni mzanzibar.
  6. Mr.mzumbe

    Kumbe shida kubwa kwa WanaCHADEMA ilikuwa ni kulamba asali na wala sio maslahi mapana ya umma. Shida kubwa ilikuwa mpate mlo wala sio kutetea wananchi

    Kipindi chadema wanahamasisha watu waandamane, wadai katiba mpya,wadai uchaguzi kudhurumiwa wewe ulikuwa wapi? Ulishawai hata siku moja kuwa nao pamoja?? Wote mulikuwa munamshabia JMP na chama chake! Sheria mbovu zinapitishwa na matamko kutolewa wote mulikuwa mupo pamoja na watawala kipindi...
  7. Mr.mzumbe

    Serikali ipige marufuku series za kihistoria za Kituruki

    Sasa mzee umesemq vizuri kabisa historia ya uturuki,sasa inashida gani mtanzania kuona?? Nachokiona mimi ni ukristo wako unakusumbua tu,huna cha zaidi chochote kile. Hizi filamu za mapanga za hapa nchini zimeanza kuoneshwa miaka mingi sana kwa mfano za kikorea na za kichina kwa television za...
  8. Mr.mzumbe

    Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Taarifa ya ikulu ipo sawa kwa upande wangu ila uelewa wa watu wengi umekuwa tofauti kidogo kwenye hii issue ya ongezeko la mshahara. Taarifa inasema wazi kabisa,ongeza la 23.3% kwa watu wa kima cha chini,na wengine wameongezezwa pia ila hawajasema wazi wazi wameongezewa kwa asilimia ngapi...
  9. Mr.mzumbe

    Chuo ninachosoma nahisi naibiwa ada kwa vitu ninavyosoma

    Pole sana ndugu Sah_zeer96, Kwanza hujatuambia kwasasa degree yako unasoma chuo gani. Twende kwenye mada yako,kitu ambacho unachokiona sasa, hiko ni kitu ambacho kipo kwa vyuo vyote vya bongo. Waliosoma vyuo vyetu vya hapa TZ zaidi ya asilimia 80 wamewai kuona au kuhisi hali kama yako...
  10. Mr.mzumbe

    Sikuwa najua Rais wa Jamhuri ya Muungano ana ofisi Zanzibar

    Tunguu ni kweli ipo ofisi ya Raisi, ila ni Raisi wa Zanzibar ndio anatumia hiyo. Nafikiri muheshimiwa amefanya share tu.
  11. Mr.mzumbe

    Ujerumani kuanza mgao wa mafuta

    Kinachotokea ni sawa na wewe unanunua unga kwa mangi kilo 1 kwa 1,000 then unagombana na Mangi halafu unaenda kununua duka la mbali kabisa kwa kilo 1 ileile kwa 5,000. Sasa hapo nani anapata hasara kati ya Mangi na wewe??.
  12. Mr.mzumbe

    Rais Biden: Nato itajibu Mapigo endapo Russia itatumia Silaha za Kemikali

    Maneno uliyoandika wewe ndio propaganda zinatumiwa na pro usa..hivyo unajua vita vya iraq USA PLUS NATO walitumia muda gani kumaliza hii vita? Unafahamu kwamba kilomita za mraba za iraq ni 438K na UKRAINE 630K? hivyo unafahamu kama ukraine compared iraq, ukraine ipo advanced kijeshi na hata...
  13. Mr.mzumbe

    Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 08/2022

    Mpaka sasa kwenye hii kesi serikali hawana chochote cha kuthibitisha kama Mh.Mbowe na wenzio wamefanya haya makosa. Ninachokiona hapo,hii kesi wameamua ichukue muda mrefu kwa maslahi yao binafsi kama vile washtakiwa wakae ndani muda mrefu au upande wa utetezi waendelee kupiga pesa ya posho...
  14. Mr.mzumbe

    Kwanini Makanali, Mameja, na Makepteni ndiyo hupindua nchi siyo Mabrigedia?

    Sababu kubwa maaskari wa vyeo vya juu wanaishi kama wafalme, mara nyingi serikali iliyokuwepo madarakani wanawakumbatia i.e. nyumba bure,gari bure, elimu watoto bure na hata wakistaafu bonus zinaendelea kutiririka tu,kwa mazingira hayo wao wanaogopa zaidi mabadiriko au hawana mpango wa...
  15. Mr.mzumbe

    Mali yapendekeza Uchaguzi kucheleweshwa kwa miaka mitano

    Jeshi lishaonja utamu wa madaraka,hapo kutoka tena ni kazi kubwa sana.
  16. Mr.mzumbe

    VIRUS ATTACK ".MOIA FILE EXTENSION" HOW TO DECRYPT INCRYPTED FILES?!

    Mkuu pole sana kwa majanga uliyopata. Hii kitu hata mimi ilishawai nitokea,mpaka sasa mwaka 1 umepita angalau extension yangu ilikuwa ni tofauti na hii yako. Kazi yangu ilikuwa ni IT sehemu fulani hivi, sasa hapo kuna shared documents nyingi zinatoka sehemu moja,siku 1 majaa walinikamata kama...
  17. Mr.mzumbe

    Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

    Kipindi Msukuma mwenzenu Magufuli anatukana kila kabila akipita njiani wewe ulikuwa wapi?
  18. Mr.mzumbe

    Kocha wa Simba, Didier Gomes inawezekana kutokuwa sehemu ya benchi la Ufundi katika mechi za CAF

    Kwani wewe unajua ilo tangazo lamitoka lini au mwaka gani?? Inawezekana sheria ilitungwa hata miaka mi3 nyuma ila utekelezaji unatakiwa kuanza msimu huu. Kama mikia wenyewe hawajisomei sheria mpya zinapotungwa,unataka CAF wawasaidie nini hapo.
Back
Top Bottom