Search results

  1. F

    Ridhiwan Kikwete atahutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika Jimbo la Chwaka wilaya ya kati Unguja

    Katiba inasemaje kuhusu mkutano wa hadhara? je mtu yeyote anaweza kuitisha? kwani yy ni nani hadi aitishe mkutano wa hadhara
  2. F

    HESABU ngumu sana Kwa Wanasiasa

    Suluhu hapa ni moja tu Vunja Zanzibar jenga Jamhuri ya muungano. Hawataki vunja Muungano kila nchi isepe kivyake tuanze moja.
  3. F

    Naibu Waziri: Nimewahi kuwaombea radhi baadhi ya wabunge waliokamatwa na madini viwanja vya ndege

    Eti hawa ndio tuliowapa dhamana ya kulinda rasilimali za nchi. ww kiongozi unamkamata mwizi unamwachia unarudi tena kutamba kwa walio kupa dhamana hiyo. shame
  4. F

    Uhaini wa Mtwara ulipangwa

    Mahali popote penye WATAWALA patakuwa shwari tu kama WATAWALIWA watakubali kutawaliwa. Ikitokea wakapinga kutawaliwa basi wataitwa kila aina ya majina kama WAHAINI, WANAHARAKATI, WASIOPENDA AMANI etc. Hizi mnaziita fujo lakini ni harakati za kupinga kutawaliwa. Wananchi wanahitaji kuongozwa sio...
  5. F

    Unafiki wa Wabunge wa Tanzania: Kwanini hawalipi kodi?

    umenipa kitu kipya sikuwa najua kama wabunge hawalipi kodi ili hali Rais na Jaji Mkuu wanalipa. Hili tulibebee Bango ndo maana wengi wao ni bomu.
  6. F

    Bungeni: Wabunge wapinga kanuni mpya za 'kuwaziba midomo'

    Mimi sioni hata haja ya wabunge wa upinzani kuwepo bungeni kwani Bunge la huyu mama ni kama Kikao cha chama kujadili sera za chama ilimradi tu linaitwa bunge. Bunge gani linashindwa kutekeleza wajibu wake kwa wananchi. Watoto wanafail, kila kitu kinapanda maisha magumu rushwa inaongezeka eti...
  7. F

    Utabiri: Kilichotokea kwa Uhuru Kenyatta kitatokea kwa Edward Lowassa

    Nahisi Ngoma itakuwa ngumu kama 2015 atasimama Lowasa VS Dr. Salaa. Maoni yangu ni kwamba tunahitaji Rais mwenye maamuzi kututoa hapa tulipo
  8. F

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    siamini kwamba hukushiriki. Watu watakao vuruga amani TZ Mwigulu ni no.1 cause unasiasa za chuki na visasi
  9. F

    CHADEMA Kuna Kirusi! Je, Unajua kirusi hiki ni Nani?! Na The Motive Behind?

    Unamaanisha Mgombea Binafsi wa urais 2015 ambaye campain zake zitaratibiwa na upande wa pili. kweli siasa mchezo mchafu unakula na kupuliza
  10. F

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Thatha, ulichokiandika hiki ndio msingi wenyewe wa sera hii " Kutakuwa na serikali kuu ambayo itakuwa na wajibu wa kushughulikia masuala ya kitaifa ikiwa ni pamoja na ulinzi na usalama sambamba na ushirikiano wa kimataifa. Aidha, kutakuwa na serikali za majimbo ambazo zitakuwa na jukumu la...
  11. F

    Kikwete: Uvumilivu sasa basi...

    Rais anawalaumu wanasiasa ! Kila sehemu ni kulaumu tu. Acha lawama fanya kazi wewe ndo umeshika mpini. Kwani Rais sio mwanasiasa mbona ni wale wale kundi moja.
  12. F

    Swali la Ugomvi: Kwanini unaikataa CCM?

    Vizuri chama kina ujanja, wanachama wake ni wajanja, Nchi ni ya ujanja ujanja tu. Hebu jaribu kufikiri nje ya CCM USILIMIT Fikra zako au unafaidika na kuwepo hapo
  13. F

    Swali la Ugomvi: Kwanini unaikataa CCM?

    Ukweli ni kwamba hiki ni chama cha wapiga dili. Nchi haiwezi kuendelea kwa kuungaunga na kutoa data za uongo. Hapa walipotufikisha panatosha tunahitaji mawazo chanya yenye kufikiri nje ya ilani ya chama. Tunahitaji kiongozi mwenye nia ya dhati ya kututoa hapa tulipo. Huyu huwezi kumpata ndani ya...
  14. F

    Swali la Ugomvi: Kwanini unaikataa CCM?

    Ahsante mzee mwanakijiji kwa swali hili zuri. CCM imepoteza mwelekeo haina vision leo hii Tanzania hatujui tunaelekea wapi na tutafika lini na tutafikaje hii yote ni sababu ya CCM. Wangekuwa na nia ya kweli ya kulinda na kusimamia rasillimali ya Nchi positively hiyo miaka 50 tungekuwa mbali...
  15. F

    Kusiwe na Sare za Vyama vya Siasa

    Nahisi itabidi Mode aanzishe jukwaa la "TANZANIA TUITAKAYO". Haya ndio mambo muhimu ya kujadili hapa jamvini sio kutumika tu kisiasa. Si kwamba watanzania wote ni wanasiasa
  16. F

    Kusiwe na Sare za Vyama vya Siasa

    Hii ni bonge la wazo. Tujenge Tanzania sio vyama. kwa wenzetu Taifa kwanza vyama baadae. Tanzania ni chama kwanza Taifa baadae. wasi wasi wangu sijui kama CCM watakubali kwani kwao huu ndio mtaji.
  17. F

    Nape: Watanzania wana Imani isiyo terereka na ilani ya Kijani

    kauli mbiu yetu kila ccm akipita tunaimba "wezi hao"x10. Munawaibia watu halafu mnajifanya mnapendwa.
  18. F

    Lowassa azungumzia afya yake, Rushwa katika Chaguzi za CCM...

    Hivi tunahitaji mtu ambaye hatoi au kupokea rushwa ili aje akemee rushwa ndani ya Nchi. yupo kweli sina uhakika. Rushwa Tanzania ni mfumo ambao uko ndani ya CCM na ili kuudhoofisha ni kujitoa CCM au Kuiondoa CCM madarakani. Hakuna mwanaccm ambaye anaweza kukemea rushwa akiwa ndani ya CCM huo ni...
  19. F

    Magufuli na Lowassa nani zaidi? Mpeni nchi mchapa kazi sio jina!

    Yani hiki kitu mi ndo ananiuzi huyu jamaa. Huwa na mkubali lakini inapofikia kusifia ombaomba ananiuzi kweli. Wanashindwa kujenga nchi yako kwa rasilimali ulizonazo unakalia kuomba omba tu halafu unajisifia
  20. F

    Nape vs Mnyika Jimbo la Ubungo

    Nape ukimvua nguo ya CCM ukamvalisha ya CCJ au Chadema ukumpa jimbo agombee atapoteza kwa sababu hakubaliki kihivyo kama yeye anavyohisi. kinachombeba Nape ni CCM nje ya hapo hana chake. Mnyika anajiuza hategemei chama kupata jimbo. Siku Nape akigombea halafu wakazuia wizi wa kura hakika Nape...
Back
Top Bottom