Search results

  1. J

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Are you serious? Mimi nina miaka 33 unataka nianze kukimbizana na mzee mwenzangu? Dating pool yangu ipo age-limited to 20 ~ 24 and she must be in college. Hao wanawake wakubwa wana emotional buggage plus insecurities after a series of years being pumped and dumped.
  2. J

    Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Hahahaa ukisimama nshale ukichuchuma nshale
  3. J

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Umesoma vizuri alichoandika? Mwanamke mwenye miaka 21 ni mtoto? Watu waliozaliwa mwaka 2000 mpaka 2005 ndani ya hii cohort mdogo zaidi yupo chuo kikuu mwaka wa kwanza na mkubwa ana miaka zaidi ya mitatu toka amalize chuo kikuu.
  4. J

    Je, si kosa kudate na mwanafunzi Afrika Kusini?

    Hahaa Ashampoo burning mbona hujafafanua kwa kina?
  5. J

    Je, si kosa kudate na mwanafunzi Afrika Kusini?

    Umri chini ya miaka 16 Afrika Kusini huyo ni mtoto. Hapo mchungaji amelikoroga.
  6. J

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Hivi vyakula nilivyovitaja hapo hata mgonjwa wa kisukari anakula bila tatizo.
  7. J

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Jombaa, utamuuzia nani Sirloin Steak au fish filet papillote au Salmon Salad Tshs. 32,000? Hivyo nenda migahawa mikubwa kama epidor au Karambezi au Level 8. Huku mtaani tuna-roll na rice beans or sardines or meats, that's it.
  8. J

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Unafikiri kwa nini kuna taarifa imevuja pesa za mishahara timu in-struggle kulipa? M-bet Tanzania unakifiri anatoa Tshs. 4B kwa kweli? Kwa nini timu imtegemee mwekezaji mpaka ktk mishahara? Baada ya kuingia Sportspesa pesa za mishahara zilitoka ktk mapato yao hawa watu wengine kama Mo & GSM...
  9. J

    Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Saidi Ntibazonkiza amecheza ligi ya Uholanzi (Eredivisie) kwa misimu minne yaani 2006 -2009 akiwa na Nijmegen Eendracht Combinatie (NEC), Pia amewahi kucheza ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) na timu ya Caen msimu mmoja 2015/16 kabla ya hapo alikuwa ligi kuu ya Uturuki (Super Lig) msimu wa 2014/15...
  10. J

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Huyo Try Again ni mbuzi wa kafara tu. Tatizo halisi la Simba ni Mo Dewji anajenga structure ya timu inayomtegea 100%. Alifanya kosa kubwa sana kuvunja mkataba wa Sportpesa. Simba & Yanga toka walipoanza kudhaminiwa na Sportpesa kipindi kile sehemu kubwa ya mishahara ya timu ilitoka huko kwa...
  11. J

    Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe na ukubwa gani standard?

    Unafanana na mshua mmoja rafiki yangu sana. Nyumba yake master bedroom ni sawa sawa na nyumba yangu nzima huko kuna kila kitu walk-in closet 12 ft by 12 ft bathroom 15 ft by 15 ft with double vanities, walk-in shower & toilet thrones plus single huge Jacuzzi. Binafsi nyumba yangu kwa standard...
  12. J

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Huyo mama aliletwa na Mo Simba, kabla ya hapo alikuwa personal assistant wa Mo na baadae CEO wa Mo Foundation. Utendaji wake ni mzuri ila unachangiwa na backup kubwa aliyoitoa Mo kipindi yupo ila Try Again amefanya kazi kwa kumbembeleza sana Mo kutoa fungu toka walipojitoa mkataba wa Sportpesa...
  13. J

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Ukiwa na mke pamoja na watoto ni hatari sana kujenga maeneo ya watu waliokuzidi kipato sana. Lifestyle creep inaweza kukupata kuanzia shule za watoto utalipa $1000/monthly international schools pia kutakuwa na influence mbalimbali za kimaisha ili uendane nao. Ushauri wangu hapo uza haraka sana...
  14. J

    Hiki ndio kikosi bora cha Ronaldo Nazario De Lima, kawataja Messi na Ronaldo

    Kiuhalisia hiyo sio timu yenye uwiano mzuri kiuchezaji. Nani anakaba hapo eneo la katikati ya uwanja?
  15. J

    Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe na ukubwa gani standard?

    Duh! Una mini lounge chumbani kwako nini? Chumba chako kinalingana na ukubwa wa lounge plus open kitchen area ya nyumba yangu, niweka upana wa futi 21 (6.3m) kwa urefu wa futi 28 (8.4m). Vyumba viwili vya kulala vyote kwangu vinafanana ukubwa wa futi 14 (4.2m) kwa futi 14 (4.2m) plus walk-in...
  16. J

    Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

    Kitu ulichoandika hapa unaonekana una umri mdogo sana yaani chini ya miaka 25. Jukumu la msingi la Baba ktk familia ni kuhakikisha familia iko salama na kupata mahitaji yote msingi ndani uwezo wake. Ukiwa mwanaume (Baba) siku zote jambo la msingi kwetu ni kuheshimika tu sio kupendwa. Watoto...
  17. J

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Nimepima muda sio mrefu nilipoingia kuoga bafuni uzito wangu ni 65 kg, kimo ni 1.78 m (5' 9") na body mass index (BMI) ni 20.5.
  18. J

    Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

    Mtoa mada hilo mbona swali jepesi sana. Unaogopa nn kusema ukweli? Hata ukiwa na kazi yenye kipato kikubwa hakikisha hutoi nje ya kusudio lako. Na endapo ukiwa na shughuli yenye kipato kidogo hutapigwa vizinga vya hovyo hovyo.
Back
Top Bottom