Search results

  1. Barraza

    Utamtambuaje msichana anayekupenda ila anashindwa kukwambia?

    Maliza kwanza shule kijana, mapenzi yapo tu usiyaharikie..
  2. Barraza

    INAUZWA Guta Wanhoo linauzwa

    WANHOO 250. Liko Mbezi DSM. Lina Lock Diff option, Liko kwenye hali nzuri sana. Starter, honi, taa n.k; vyote vinafanya kazi. Linaweza kubeba mpaka 1.5Ton. Linatumika kubeba mizigo midogo ya ofisi. Halikai kijiweni. Limetunzwa vizuri sana. Halihitaji marekebisho yeyote. Tairi zote mpya. Vibali...
  3. Barraza

    Baby swimming Pools available

    150,000
  4. Barraza

    Baby swimming Pools available

    Linafaa Boss. Kwa watoto wadogo ni zuri sana kwenye kujifunzia kuogelea...
  5. Barraza

    Baby swimming Pools available

    Bei ni laki moja na Hamsini elfu tu. Hiyo electric pump kazi yake ni kujaza hewa kwenye pool.
  6. Barraza

    Baby swimming Pools available

    [emoji621]Tsh. 150,000[emoji621] Zina ukubwa wa 180x140x60Cm... Wanaweza kuingia watoto mpaka watatu kwa wakati mmoja. Zipo za Kijani na Bluu Unapatiwa na electric pump bure. Free Delivery ndani ya Dar... 0767 382 415
  7. Barraza

    Hii ndiyo orodha ya Wabunge ( CCM & Upinzani ) watakaorudi Bungeni 2020

    Kwa uchache huo hawatatosha hata kuunda Baraza la Mawaziri.. Kama ni hivyo itatubidi kuazima Wabunge wa nchi jirani. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Barraza

    Automatic Eggs Incubators

    90-97%
  9. Barraza

    Automatic Eggs Incubators

    Nitakuunganisha na suppliers wa mayai iwapo ukihitaji. Karibu.
  10. Barraza

    Automatic Eggs Incubators

    Full automatic Eggs Incubators zimewasili. Mayai 48 - Tsh. 380,000 Mayai 59 - Tsh. 420,000 Mayai 96 - Tsh. 500,000 Mayai 98 - Tsh. 530,000 Mayai 200 - Tsh. 980,000 Warranty mwaka mmoja. Zinatumia umeme wa Tanesco & Solar. Tupo Mbezi Luis - Dsm. 0767 382 415/ 0688 382 415 Karibuni.
  11. Barraza

    Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

    Kwa 220,000 tutakupatia Impact wrench ya aidha AC au DC (chaguo lako). Karibu.
  12. Barraza

    Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

    Zimebaki Pc 3 tu tumepunguza bei mpaka Tsh. 300,000 (Promotional sale) Kwa kila moja.
  13. Barraza

    Digital Jeki za Gari na Wheel Spana

    Electric Car Jack & Impact wrench.. Ni mahsusi kwa ajili ya kunyanyua gari (Jeki) na kufungulia Tairi za magari (Wheel spana). Ila hizi hutumii nguvu bali umeme wa Gari. Unachofanya ni kuunganisha tu na kubofya rimoti. Wengi wamezipenda maana hutumii nguvu wala kuchafuka wakati ukibadilisha...
  14. Barraza

    Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

    Ina extension cable, tairi zote zinafikika aidha kutokea kwenye Betri ama ile Sehemu ya kuwashia Sigara (kiberiti) ndani ya gari...
  15. Barraza

    Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

    VonHaus Ni Germany product assembled in China. Karibu
  16. Barraza

    Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

    VonHaus Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered) Bei ni Tsh. 300,000 Warranty: 1 Year Zinatumia Umeme wa Gari (DC). Kwenye Box kuna Jeki ya Kunyanyulia Gari pamoja na Mashine ya kufungulia Tairi (Impact Wrench). Jeki inanyanyua Uzito 0Kg - 2000Kg, i.e Magari Aina ya Pick up, Station...
  17. Barraza

    Naomba kufahamishwa Gynecologist mzuri Dar es Salaam

    Naunga mkono hoja. Dr. Hilda anapatikana TMJ na RABININSIA ya Tegeta.
  18. Barraza

    Natafuta eneo Kibaha

    Gharama ya kuuza. Ni eneo tambarare lina miti kadhaa ya mikorosho
Back
Top Bottom