Search results

  1. jkipaji

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Walikua wanalindwa na Dola,bila Dola hawana jeuri hiyo!!
  2. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Tapeli lako limekwisha,za mwizi ni 40 na zimetimia tayari, mwendo wa kuelekea gerezani amesha uanzaa kule police, akitoka police jalada lake linakwenda kwa DPP, DPP nae atalisogeza mahakamani, Mahakama nayo itawapelekea Magereza ili Tapeli lako lihifadhiwe huko! Na huo ndiyo mnyororo wa haki...
  3. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Hivi wwe na DPP nani anajua sheria zaidi, makosa yote ya kijinai yanapelekwa mahakamani na office ya Taifa ya mashitaka, na taratibu zote za.kisheria wanazijua usijali, wwe tafuta nukta ya kumtetea Tapeli wako mahakamani!!
  4. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Jamaa akili zake sijui zikoje, kwa hiyo anataka Waziri amwage ushahidi wake wote kwenye mtandao, mtuhumiwa kesha kamatwa na mchakato wa kumpeleka Mahakamani ndiyo unaanzia police, au hata hili dogo tu halijui pia!?
  5. jkipaji

    Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    Mapenzi yakiisha huwa yanabaki mazowea, hakuna penzi la kudumu!!
  6. jkipaji

    Ni sahihi kuendelea kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Mtoto ndiyo siyo wake,ila Mke ni wake, labda.afukuze mtoto abaki na mke wake!!?
  7. jkipaji

    Waziri wa Ardhi hana imani na mahakama; wizara yake inawezaje kutoa hati, ikatuhumu, ikaweka wafu ndani, then ikahukumu?

    Matapeli wa viwanja safari hii mmepigwa na kitu kizito, mlizowea kucheza na Mahakama, kuzarau hadi Hukumu za Mahakama mnazichana mbele ya Majaji, safari hii ni tit for tat!!
  8. jkipaji

    Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

    Hadithi kaitoa kutoka tamthilia ya Jua Kali,huyo atakua ndiyo Maria!!
  9. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Hadi ukiona kachukuliwa na police kwa order ya Waziri wa Aridhi, basi ujuwe Jinai tayari ishafanyika, sasa taratibu za haki jinai lazima zifuatwe ili kila mtu apate haki yake anayo stahili!!
  10. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Tena wanajifanyaga wako very kind kwa society inayo wazunguka, msome sasa nyuma ya pazia machafu yake utakimbia,lazima uwe na jicho la tatu kuona machafu yao!!
  11. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Hivi Majaji wa Rufaa na Mahakama Kuu si wanalipwa vizuri tu ili wasipate vishawishi kwenye kusimamia haki!? Mi nitamshangaa sana mtu wa aina hiyo kama kweli bado anapokea rushwa, inamaana hana kinai, tamaa ni kitu kibaya sana!!
  12. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Msamehe bure, castr hawajui vizuri matapeli wa Aridhi, labda kwa sababu hayajamkuta,au kumkuta mtu wake wa karibu, labda angeelewa somo la utapeli wa kugushi nyaraka unavyo wa tajirisha Matapeli!!
  13. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Na Jamaa lazima atapatikana na hatia tu kama uchunguzi wa police utanyooka vizuri!!
  14. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Ruge alikua na talanta ya kuibuwa vipaji kwa baadhi ya watu wasio viona vipaji vyao!!
  15. jkipaji

    Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Si ndiyo maana Msama tapeli la Aridhi limekabiziwa kwa police ili mchakato wa kisheria uanze!!? Au unazani Police wao hawako kisheria!!?
  16. jkipaji

    Busara kidogo inahitajika katika hili

    Ungekua na Kaka yako, yeye angewaza tofauti kabisa na wwe kuhusu Baba yake Mzazi! Wwe uko to emotional!!
  17. jkipaji

    USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

    Je umesikiliza.pia hoja za sperms doner au umehukumu kwa kusikiliza pande moja!!
  18. jkipaji

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Sasa chukua na watoto wake uliozaa nae ukawapime DNA ili sasa uchunguzi ukamilike rasmi, baada ya majibu ya DNA ndiyo utamjua mke wako vizuri!!
  19. jkipaji

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Tusubiri Rais Ruto atangaze rasmi, maana kuna wengine pia wamo wamepona!!
  20. jkipaji

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Matajiri wengi wa Africa wengi utajiri wao ni wakimagumashi ndiyo maana ukiwataka lazima uwanase, na ukiwachimba kidogo lazima wakwite majina kama vile Dikteta! And sa on!!
Back
Top Bottom