Search results

  1. Nyaubikra

    Uhusiano unao nichanganya kati ya mafua na kuziba kwa masikio

    Wakuu poleni na swaumu (kwaresima na mfungo wa ramadhani). Tangu nikiwa mdogo napata hiyo shida ya kuziba kwa masikio pindi ninapo fanya usafi wa kutoa bugudha ya mafua. Kwa anaye jua huu uhusiano kwamba unapo penga hizi mucus za pua tufanyeje ili masikio yasilete tabu mana hapa sikio moja...
  2. Nyaubikra

    Wale team kataa ndoa sio wanaume tu hadi wanawake pia wapo

    Hiko kipande cha video hapo juu nimekitoa huko twitter. Sasa huyu binti akutane na mjumbe wa JF huku ambaye hataki ndoa sijui itakuaje hilo penzi(mahusiano). Tukae mbali na mafeminist wakuu.
  3. Nyaubikra

    Msaada wa camera bag

    Hiyo picha inajieleza wakuu Ninatafuta hako kabag original ya hiyo camera ndogo ya canon ixus kama kilivyo mana nimejaribu kuulizia mjini mana niko mkoani watu wa huko wanasema ni model ya zamani kupata original bag ni ngumu. Kama mwenye nacho pm yangu iko wazi. NB:Najua kuna mbadala wa hvyo...
  4. Nyaubikra

    Maendeleo ya nchi yanabebwa na nini?

    Habari za jumapili Wana jf[emoji3590] Kuna post humu nyingi zikisema vitu vikiimarishwa Kama barabara, madaraja na miundombinu maendeleo ya nchi yatakuwepo Wengine maisha ni magumu ya watu hivyo maendeleo hayawezi kuwapo Kama watu wanasababisha uhalifu ili wapate pesa. Swali ni [emoji117]...
  5. Nyaubikra

    Msaada wa sumu ya paka

    Habarini na mihangaiko wakuu Mimi Kama member wa humu sio mjuzi Sana na mzoefu wa kutumia JF app lakini katika kupitapita siku moja sijui ni category ipi nikakuta wanazungumzia kuhusu kuhusu sumu ya kuwauwa Hawa wanyama aina ya paka 🐈 Mana kwa sumu za panya imeshindkana kabisa Naomben msaada...
  6. Nyaubikra

    Naomba ushauri kuhusu ugonjwa uitwao Gastroesophageal Reflux Disease (GERD)

    Msaada wakuu kuhusu huu ugonjwa wa Gastroesophageal Reflux Disease (GERD) Napokea na ushauri pia Mana kwa historia fupi ni kuwa nilienda hospital nikaambiwa nina gastritis nimepitia mtandaoni nikakutana na hiko kitu hapo juu mwenye ujuzi na kunishauri Mana symptoms zake naona kama Corona fulani...
  7. Nyaubikra

    Msaada: Tofauti ya Ms Publisher na Ms PowerPoint

    Habarini wakuu.. Kwa anayejua utofauti angalau tano za Ms Publisher na Ms PowerPoint Msaada jamani kwa sababu hyo Ms Publisher ina kazi nyingi sana hadi za Ms PowerPoint Ntashukuru ukinisaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nyaubikra

    kuhusu mapacha

    habarini wakuu Jana katika maongezi na jirani yangu wa kike amabaye ni pacha na hajaolewa bado akanambia "kikawaida endapo pacha mmoja akiwahi kuolewa hasa wale wadogo lazima na huyu mkubwa alale na huyo shemeji yake kwa mtindo wa threesome ili huyu mkubwa aridhie hiyo ndoa " Nakuja kwenu...
  9. Nyaubikra

    Neno "karma" wakuu kwa anaye jua maana yake

    kama title inavyosema apo juu wakuu nimekua nikilisikia hili neno ila sijapata maana yake kamil neno "karma" wakuu kwa anaye jua maana yake na isitoshe kuna watu wana litumia sana humu naamin ntapata msaada kwa kina cc.nyau mwenye bikra
  10. Nyaubikra

    Hodi humu JF

    new member wakuu kwenye Jf ushirikiano unahitajika wana ndugu ahsante
Back
Top Bottom