Search results

  1. Corticopontine

    Muswada huu ukipita na kuwa Sheria Magufuli Day itakuwa Machi 29 kila mwaka na itakuwa siku ya mapumziko

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
  2. Corticopontine

    Rais Samia sasa unaona umuhimu wa kuwa na marafiki wakweli kama Rais Magufuli

    Rais wangu Samia rudi kwenye misingi uliyoianzisha wewe na rafiki yako Magufuli, huyu ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote ulionao. Kubali kukosana na wachache kwa manufaa ya wengi
  3. Corticopontine

    Waliompenda Rais Samia toka zamani wengi wao walikuwa wanaitwa Sukuma Gang, wafuasi wa mwendazake walitaka asifike alikofika leo

    Rais Samia tuliokupenda tulikuambia ukweli kuwa njia uliyoanza nayo haikuwa sahihi ulianza kabisa kwa kutoboa matundu ya kukusanyia pesa ili hali ukijua kuwa kuwalegezea matajiri lazima masikini ateseke. Mimi nilitumia principle ya physics inaitwa principle of conservation of energy which...
  4. Corticopontine

    Ninakusudia kuishitaki CHADEMA kwa udhalilishaji wa kijinsia

    Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi CHADEMA ya udhalilishaji wa kijinsia. Kingine nimewaagiza waangalie ni kosa gani kisheria wanalotenda kwa kuwaita Hawa wanawake Covid-19. Nimetafuta pia wachunguzi huru kutoka...
  5. Corticopontine

    Kubana kwa matumizi kungeanza na Rais mwenyewe. Haiwezekani yeye asafiri na wengine wasisafiri. Aongoze kwa vitendo, si double standard

    Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara hasara ni nyingi kuliko faida Just imagine Rais ana mabalozi ana mawaziri wa wizara husika yeye...
  6. Corticopontine

    Magufuli hakuwaogopa Mafisadi alikuwa hawakenulii Meno alikuwa jasiri mithili ya simba, kiongozi Jasiri aliyepinga Rushwa waziwazi

    Mafisadi kwa JPM Walitulizwa wakatulia wahuni na wajanja wajanja walinyoosha mikono waliteseka na walinyanyasika na sababu kubwa ni wizi wao Magufuli aliogopeka kwa majizi na maharamia ya nchi hii kuanzia kwa wenye vyeti feki mpaka Mafisadi wakubwa Wazalendo msihofu majizi na mafisadi...
  7. Corticopontine

    Nchi inapitia wakati mgumu kuwahi kutokea. Gunia la mahindi limefika Tsh 180,000

    Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
  8. Corticopontine

    Mbowe alipanga kuonana na Rais Samia 12 Juni, naona kamtelekeza Mbowe kiaina

    Mbowe alitarajia kuonana na Samia June 12 na siku hiyo hiyo Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe walijua watakuwa Omani na siku hiyo hiyo Mbowe kaahidiwa aende Ikulu. Mbowe, Rais Samia anajua wewe ni muigizaji kwa hiyo na yeye atakuigizia tu hvy hvy kuja maridhiano yaishe ni July 2025. Kwa...
  9. Corticopontine

    Wakati wa Magufuli utiaji saini mikataba mikubwa kama LNG, kungekuwa na wawakilishi wa makundi yote

    Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk. Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi.
  10. Corticopontine

    Rais Samia anaongozwa na Magufuli anakusanya kodi kutekeleza Maono ya Magufuli, wanaobwabwaja wana akili ndogo sana

    Rais wa Tanzania anatekeleza miradi iliyoachwa na Magufuli kwa mfano kila mradi anaouzindua kwa Sasa ni mradi ulioachwa na Magufuli Fedha nyingi zinazokusanywa kwa Sasa zinaenda kuendeleza miradi mipya iliyoanzishwa na Magufuli na Rais Samia Hana mradi wowote mpya aliouanzisha bali anatekeleza...
  11. Corticopontine

    Wananchi wakataa kunyoosha mikono kwenye mkutano wa Nape kupinga kauli za kichonganishi za Nape dhidi ya Magufuli, watu wamemchoka ajitafakari

    Nimemuelewa Nape Moses Nnauye. Nilivyomuelewa mimi silazimishi mwingine kumuelewa. Kila mtu abaki na uelewa wake. Katika clip inayotembea mitandaoni, NAPE NNAUYE amenukuliwa akisema yafuatayo. "Kama kuna watu wamefurahi, mimi mmojawapo, bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi, basi...
  12. Corticopontine

    CCM si wafalme, CCM ya akina NAPE ilichukiwa sana na wananchi watu walichaniwa nguo hadharani huyu Nape ni failed leader hana jipya

    CCM ya Nape ilikataliwa na wananchi wananchi walitengeneza uasi mkubwa ndani ya nchi yao walichukizwa sana na uonevu wa wa viongozi Hali hii imejirudia watu wananyanyasika watu wanateseka machinga wako kwenye Hali ngumu mfumko mkubwa wa bei kuwahi kutokea Tanzania hii Hali inatisha Sana...
  13. Corticopontine

    Nape ajitafakari kama kuna haja ya kuendelea kuwa waziri, kwenda Chato na kwenda kanda ya ziwa

    Nape ajitafakari Sasa naona anachofanya kimevuka msitari mwekundu kinaondoa kuvumiliana kama Taifa anaachwa aropoke atakavyo kifo cha Magufuli kina utata mwingi Sana na mashaka yanaongezeka pale watu walio na mipini wanapoamua kuleta kejeli na dharau kwa mwenyekiti wao msitaafu wa chama dharau...
  14. Corticopontine

    Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn...
  15. Corticopontine

    Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki, wazembe, mafisadi na wabadhilifu wa mali za Umma

    Hayati Dr. Magufuli alikuwa kiongozi bora wa karne ya 21 alikuwa simba wa vita alikuwa hana mzaha na watu wazembe, mafisadi, wezi na wabadhirifu wa mali za umma. Dr. Magufuli Historia yake ilianzia pale alipoanza kazi ya uwaziri hakuwa mtu mzembe alifanya kazi kwa bidii kubwa sana hakupumzika...
  16. Corticopontine

    Kama Zitto Kabwe unaweza kununuliwa ukipewa nchi si utatupiga mnada?

    Bwana Zitto anasema Magufuli hakuwa mkweli na aliendesha miradi mikubwa kwa fedha za mikopo. Kauli ya bwana Zitto ni muendelezo wa baadhi ya wanasiasa nchini kwetu kushindana na Maiti ya hayati Dr. Magufuli ingawa ukweli unaonekana wazi kuwa Maiti ya shujaa wetu ina nguvu kuliko watu hao walio...
  17. Corticopontine

    Askofu Dkt. Alex Malasusa alimpenda sana Rais Magufuli

    Malasusa: Magufuli alikuwa kiongozi, si mwanasiasa Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Alex Malasusa amesema kuwa uongozi wa Hayati Dkt. John Magufuli ulikuwa wa pekee kwani ulikuwa tofauti na viongozi wengi wa Afrika. Akihubiri...
  18. Corticopontine

    Sabaya ole Lengai dawa ya Mafisadi, karibu tuwatibu wagonjwa wenye ugonjwa wa ufisadi, wizi na wauza madawa ya kulevya

    Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
  19. Corticopontine

    Rais aambiwe ukweli kuwa si vyema kutulinganisha sisi na Marekani

    Mwambieni Colorado kima cha chini cha mshahara ni 15.87$ kwa saa Inamaanisha kwa 8hrs mtu wa chini analipwa 126.96$ kwa Mwezi mtu wa Washington dc analipwa 3,808.8$ ambayo ni sawa na 8,851,484..tsh, Majimbo yanayolipa pesa ndogo kabisa yapo 20 na kwa saa wanalipa 7.25$ kwa 8hrs ni 58$ mara mwezi...
  20. Corticopontine

    Mwambieni Rais Samia Suluhu Hassan

    Katika muendelezo wa Samia kushindwa kuiongoza nchi yetu kwa uwezo wake akina zitto wanamshauri kuwa ili afanikiwe ni kuhakikisha legacy ya Magufuli inafutika kabisa. Na kwa akili yake anadhani hilo linawezekana! Its never kuifuta image ya Magufuli Tanzania madam president wanakudanganya...
Back
Top Bottom