Search results

  1. netein

    TFF yakanusha uzushi unaoenea kuhusu kauli ya msitutishe!

    Point ya msingi wapenda soka, tunataka tujue huyu Kibu Denisi kama hakuwa Raia wa nchi hii pendwa, Mbeya city na Taifa Stars alikuwa anacheza kama mchezaji wa kigen! Na Simba walimsajili kama mchezaji wa ndan au wa kigeni! Na Uhamiaji, Sheria za kupewa Uraia zilizingatiwa na ni kweli ni rahisi...
  2. netein

    Kaze arudi Yanga haraka iwezekanavyo!

    Kuna tetesi nimesikia huyu mtaalam viongozi wa Yanga wanataka kumrudisha kama kocha msaidizi. Naunga mkono hili sababu moja kuu Kaze anajua lugha nyingi kifaransa, kiingereza, kiswahili, Kirundi, kijeruman nk. Hii itawasaidia hata wachezaji wetu wa kibongo kwenye mawasiliano na kuimarisha...
  3. netein

    Wachezaji 5 muhimu wa Yanga!

    Tetesi, baadhi ya wachezaji 5 muhimu wa Yanga, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda, Sappong, Yacouba na yule mrundi aliyezingua jana, wapo mbioni kuikacha Yanga kutokana na madai wanayoidai klabu hiyo.
  4. netein

    VAR yaibukia Kenya kwenye ndondo!

    TFF na bodi ya ligi nadhan ni wakati sahihi wa kwenda Kenya na kujifunza ili hii tekinolojia ije iwekezwe kwenye ligi yetu.
  5. netein

    Hii ingeweka kwenye timu zetu za kibongo, ingependeza sana!

    Ukicheza kiurojourojo tunakufyeka mshahara!
  6. netein

    Viongozi wa Yanga acheni kucheza na roho za wachezaji wenu

    Mmewasafirisha wachezaji safari ndefu mkijua basi bovu, gari limepata pancha mara mbili, kwanini hambadilishi tairi kama zimechoka!
  7. netein

    East Africa Radio ndiyo radio yenye wachambuzi na watangazaji bora wa michezo Tanzania.

    Kampista, Tiganana, Ibra...hii timu hatari.....salute kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. netein

    Solar systems original kutoka ujerumani

    Kwa mahitaji ya accessories za solar kama water pumps, solar heaters, street lights, outdoor lights, garden lights na items zote za solar orijino kutoka ujerumani pamoja na ufundi wasiliana nasi NETEIN GERMANY SOLAR SOLUTION... Email neteinsolarsolution@hotmail.com...mobile 0754485617...0718916971
Back
Top Bottom