Search results

  1. Ncha Kali

    Kwanini tasnia ya ushereheshaji imehodhiwa na wachekeshaji?

    Hili swali nimeulizwa na huyu mtoto wangu mdogo! Kila mcheshi anadhani anaweza kuwa MC na wengi wamevamia huko, cha ajabu ni wachache sana kati yao wenye angalau. Japo lengo lao kujipatia chochote kitu ila wengi wao ni hovyo kabisa, sherehe sio jukwaa la vichekesho. Washereheshaji mahiri wala...
  2. Ncha Kali

    Kuitana 'babe' kwenye mahusiano ni utoto na mwanzo wa kukosa kuheshimika, hasa kwa mwanamme

    Imagine mwanamme unaitwa babe sijui baby, yaani mtoto? Hii sio kweli. Kwa mwanamke ni sawa, sababu hata kwa kiswahili tunawaita watoto yaani 'totoz' au 'bebez'.... kwa mwanamme ina maana gani? Kama ni kwa mahaba, basi iishie siku za mwanzo tu za uchumba ile kudanganyia.... ukishanasa haina...
  3. Ncha Kali

    Katika Dunia yenye takribani watu Bilioni 8 leo, zaidi ya watu Bilioni 110 wamewahi kuishi na kufa

    Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa wakati wake alikuwa na umuhimu wake. Hivyo nafasi ya wewe kuishi leo isikufanye ufikiri kuwa ni ya...
  4. Ncha Kali

    Kwenye maisha jifunze sana kuongea ili kuleta suluhisho na sio kujitetea au kutaka ushindi

    Kuna mtu ananielewa? Ni kawaida kwa asili ya binadamu kutaka kuwa na hulka ya utimilifu na kutamani mazuri pekee. Ndiyo maana katika maongezi yetu mara nyingi ni ligi na ushindani, hatuongei ili kusuluhisha bali tunajitetea kwa kuhakikisha tupo sahihi. Matokeo yake ni vigumu mno kumaliza...
  5. Ncha Kali

    Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

    Kingekuwa kinatolewa baada ya miaka mitatu ya ndoa, ungekifuatilia?
  6. Ncha Kali

    Wanawake wanapenda kuwaita watoto wao 'Prince and Princess', ila hawataki kuwapa baba zao hadhi ya King!

    Habari ndo hiyo! Hadhi ya Princess na Prince inatumika kirahisi sana kuita watoto wao, ila ile 'treatment' ya kifalme kwa baba wa watoto hao ni nadra au haipo. Je, wanawake hawajui maana ya hadhi hiyo au ni mwendelezo ule ule wa ubaguzi tu?
  7. Ncha Kali

    Hebu 'singo mama' saidieni wake zetu kupata wasaidizi wa kazi za nyumbani.

    Ni kwamba wasioolewa tu ndo wana muda wa kutosha kujipatia wasaidizi wa kazi za ndani wenye hadhi? Yaani unakuta wanaendana, wengine hadi wanavaliana nguo. Msaidizi mrembo, msafi na mchangamfu kiasi kwamba hata ukifika yuko mwenyewe unakuwa na amani kwa bashasha. Hizi sampuli wanazojipatia...
  8. Ncha Kali

    Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au hata mechi pendwa za soka..... ukibadili channeli watoto hao wanakukimbia sebuleni unabaki mwenyewe...
  9. Ncha Kali

    Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  10. Ncha Kali

    Mtazamo wa jamii kuhusu ushoga kunaupigia chapuo pengine bila kujua

    Mabibi na Mabwana! Siku za nyuma kidogo, kulikuwa na wimbi la kuona kila mtu mwenye mafanikio ni Freemason. Hii ilienda kisha ikapotea, sina uhakika ilipotelea wapi ila siku hizi sio habari tena. Sijui ndo agenda ilishatimilika au ilishakufa! Kwa sasa upepo umegeuka kwa kasi ya kimbunga, kila...
  11. Ncha Kali

    Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo. Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho. Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama...
  12. Ncha Kali

    AMAPIANO imeleta mapinduzi ya burudani.

    Ndiyooo! Siku hizi angalau wasanii wetu wanaimba vitu vya kuburudisha sio zile kila siku kulialia mapenzi. Ila hizi style za uchezaji kwetu watu wazima zinaweza kukutia wazimu, juzi nimecheza bafuni nimeyarudi sana.[emoji3][emoji3] Maisha ni haya haya bhana.
  13. Ncha Kali

    Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga, ila 'hujivunga' kwanza wakutanapo na mpenzi mpya

    Ndiyooo, ni UKWELI. Unapokutana naye kwa mara ya kwanza huzificha, ila akikuzoea au ukimuuliza kama hapendi au lah atakujibu kama upendavyo. Utasikia ukiniletea nitavaa, au nitavaa kwa ajili yako na blah blah kama hizo. Magwiji ni wale utake usitake utakutana nazo tu, kula chuma hicho.
  14. Ncha Kali

    Ogopa sana Mwanamke ambaye 'hazina' yake kuu ni maumbile yake

    Ogopa sana! Iwe ni sura, rangi, shepu sijui nywele, dimpozi, mwanya, kimo na vitu kama hivyo. Hivi vitu wanawake wajinga huwaambii kitu, akishajipata kuwa na kiungo mojawapo ya hapo juu anahisi ashayapatia maisha. Mwanamke anapaswa kujua thamani yake mbali na maumbile, hizi huwa ni kwa msimu...
  15. Ncha Kali

    Darasa la Saba 'B' ukiyapatia maisha, basi na usisomeshe watoto.

    Ndugu zangu.! Hivi mnawaelewa hawa watu? Kumekuwa na kasumba ya hawa wanaojiita La Saba 'B' kutwa kuwananga wasomi' hasa pale inapotokea wameyapatia maisha. Hii inaenda mbali na kuonesha jamii kana kwamba elimu sio kitu. Cha ajabu watu hao hao wanasomesha watoto wao shule za gharama huku...
  16. Ncha Kali

    Maji ya DASANI hayawekwi pH kwenye LEBO?

    Huku ni Jua Kali. Katika heka heka za kukata kiu nikajipatia chupa ya maji tajwa, Brandi ya DASANI. Imekuwa kawaida kuzingatia pH kama kizio cha kupimia, ikiwa maji yana alkali au tindikali kulingana na uwiano wa madini na chumvi mbalimbali kwenye hayo yanayoitwa Maji Safi. La haulah! Sijaona...
  17. Ncha Kali

    Usioane na Mtu kisa tu Mnapendana

    Niseme nisiseme? Tega sikio. Upendo sio kigezo pekee kwenye ndoa, upendo hautakuwepo kati yenu kwa nyakati zote. Mnahitaji sababu zingine muhimu za kuishi kwenye ndoa. Sababu hizo ni pamoja na umoja na ushirikiano katika kujenga familia yenu. Ndoa sio sehemu ya starehe wala kupumzika...
  18. Ncha Kali

    Kama ulikuwa hujui

    NGOJA NIKUKUMBUSHE KIDOGO 1. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 40, waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu, ni wakati huu majigambo ya certificates, diploma, degree, masters, PhD, hupotea kabisa. Ni katika umri huu, inawezekana mwenye elimu ndogo, akatengeneza pesa...
  19. Ncha Kali

    Watoto wa "Single mama" jifunzeni kwa Diamond Platinumz kuishi na baba zenu wa kambo

    Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa kambo. Na hii ndiyo furaha na tulizo la mama’ke. Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu...
  20. Ncha Kali

    Kwa dunia ya leo na ijayo, malezi ya babu na bibi hayana tija kwa future ya mtoto

    Ni ukweli usiosemwa! Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia. Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
Back
Top Bottom