Search results

  1. E medics

    Fungus ambao wananisumbua mwaka wa pili sasa, nimemaliza hela nyingi na nimetumia dawa nyingi sana ila sijapona

    mkuu hii hali kuna ndugu yangu anayo na mdogo ake aliendaga kumsalimia akambukizwa...
  2. E medics

    Tukio la kushangaza la kikombe

    sasa uchawi wako unatuletea??πŸ˜‚
  3. E medics

    Tukio la kushangaza la kikombe

    He jion? dada wa kazi? ameshalala? unapika mwenyew? upo single? uyo dada anafanya kazi gani?? unganisha izo keypoint utapata jibu vimetokaje
  4. E medics

    Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

    @Dudujeupe 🀣🀣🀣🀣 jina lako lina uhusiano gan na weweπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚
  5. E medics

    Gigy Money kafanya nini huko kwenye ziara ya Tumewasha na Tigo?

    kiuhalisia hiyo vazi ndio halina shida sana ila shida inakuja kwenye hizo bolded area kwenye matiti na hiyo hapo chini.kitendo cha hayo maeneo kukozwa kinafanya mtazamaji wa azingatie/aone kirahisi..
  6. E medics

    Natafuta nafasi ya kazi as Pharmacist asistant

    daah nmepata sema ya Pharmacy, ila hii ya tmda n kubwa zaid ingekua nzur zaid
  7. E medics

    Hatimaye mdogo wenu nakaribia kumiliki gari ya ndoto yangu

    πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… serekali iendelee tu kukataza yale majani
  8. E medics

    Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

    mi naona asilimia sometimes hai apply kote mfano ukisema 40% (40/100) wameambukizwa alfu vipimo vijavyo ikatokea wale 60 ambao walikua safe wakapimwa 50 majibu yanakuja 0% (0/50) πŸ˜‚πŸ˜‚ sjui imeeleweka vizur ninachotaka kumaanisha..
  9. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    mkuu Kigoma... ni kama vile una posho maana sio kwa kumtetea huko, af pia sio kwasababu wewe unamkubali sana basi ndio queen kama unavosema...
  10. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    ata sijaelewa kitu mara 1M views mara audio mara rayvan na nandy mar ruge, mara kukaa uchi, mara vanessa mdee, wai inshot ni kutoa maoni/mawazo yako ila umehusisha vitu vingi ata havikua na ulazima...
  11. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    iv kijana unapata wapi nguvu ya kuongea vituko vya namna hii et zuchu ni queen wetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜… em ni log out kbsa maana hizi ni kauli nlitegemea ntazionaga tu Facebook πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  12. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    sasa wew Kigoma... unataka kila mtu aer kama ww ...πŸ˜‚πŸ˜‚
  13. E medics

    JamiiForums Usiku wa manane

    ase mimi tiba yangi mi music kuna playlist zangu nikiskiziza ndan ya dk 15 npo fofofo pia kuna zile za sauti naziokotaga uko YouTube mfn sailut za mvua,magari,upepo sema zile mpka uzi link na feeling zako au moment flan ivo ulizokua kipnd cha mvua au kpnd upo road mida ya usiku yan zinakuaga...
  14. E medics

    Nyimbo nilizozisikiliza mara nyingi 2020πŸ™„

    ase tume match apo kwa jeje (kila kitu ,,: video n beat only) na Kehlani Goodlife!!
  15. E medics

    Zuchu uwezo anao mkubwa habebwi na lebo

    amn kitu masta ,amini ukifnya kazi bila stress na kwa utulivu inakua nzuri zaidi, simaanisha hao wengne awafany kwa utulivu... ata kwenye mpira angalia timu iliyoko kwenye management nzuri( yenye fweza zake) lazim in perfom vizuri mfano mwingine angalia tu ata msimu uliopita Simba na Yanga...
  16. E medics

    Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

    umeonaeee... izi ndo zile ww unatarajia kufikia sehemu fulan kumbe mwenzako yeye ndo anaanzia mi naona zuchu amn kitu maana awa wasanii wanaoanza day one YouTube tayari ipo kwenye trend n kutokana na kuwa na watu wakubwa , maana ata tifah kwenye mitandao ni maarufu kuliko nandy ila kiuhalisia...
  17. E medics

    Fahamu jinsi ya kuondoa Factory reset protection (FRP) kwenye Simu yako

    shukrani mkuu mim nina tazizo sjui kma unaweza kunisaidia namna yoyote ata ushauri, mimi kuna siku nlipata ofa ya gb za kutosha ilikua gb 50 , nkasema leo ngoja nijribu ku-root simu yangu basi nkasoma tutorial zote nikafownload na app na rom zote zilizokua zinahitajika basi nkaanza mambo...
Back
Top Bottom