Search results

  1. D

    Mipango ya 2015 Timu ya Lowassa yateua msemaji!

    Hata nafasi ya waziri mkuu tayari inamwenyewe mmbakaji mkuu mr jok
  2. D

    CHADEMA,naomba niwaulize?

    ccm haina tofauti na mwanamke mpumbavu ambaye anaivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe, maana hata kufa kwa ccm kunatokana na ccm yenyewe.
  3. D

    Wakili Kimomogoro amuelimisha Nape

    kwa upeo wangu nafahamu kuwa hakuna jambo jema kama kutunza kumbukumbu hasa zile ambazo baadae zinaweza kukusaidiakatika kuleta uhakika wa hoja au jambo lolote linalohitaji uthibitisho, kubaki na na kadi kama kuwa kumbukumbu sio maana yake kuwa mwanachama hai, wangapi wana kadi za tanu na a.s.p...
  4. D

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    umesahau kidogo hata huu ufisadi na wizi wa wana c c m umechochewa na chadema au vipi? Mtasingizia mambo mengi mwaka huu na bado mtakoma tu muda si mrefu mtajijua
  5. D

    Arusha yazizima baada ya Mbowe kuhutubia

    we acha ubwege, kwani fuso la chadema limepaki wapi? angani au nje? na hapo nje ni wapi kama sio ofisi ya kata ya chadema? pia haijalishi kama juu ya fuso au jukwaani issue ni mkutano ambao ulifanyika daraja2 na mbowe alihutubia.
  6. D

    Kikwete, akutukanaye hakuchagulii tusi!

    huyu jamaa kila anapokwenda anazawadiwa jezi kwani wanamuonaje? Au amekaa kimichezo zaidi kuliko ki uongozi? Au ni msanii msanii hivi?
  7. D

    Sauti Huru: Kundi la Mbowe Lapanga Kummaliza Dr.Slaa

    msipate shida wandugu hili gazeti ni la huyu jamaa kawogho albert mpambe na mtu apendae kujikombo na kujipendekeza kwa watu nilishawahi hapo siku za nyuma kutoa historia yake akiwa chuo cha sanaa bagamoyo, huyu namuonea huruma angekua mombasa! sijui kingemtokea nini kwa tabia yake ya kupenda vya...
  8. D

    Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

    kwani kwako wewe umri wa mtu unapimwa kwa uchakavu wa sura yake au idadi ya miaka yake aliyoishi? Kama vipi tunaweza kumuongezea umri mzee pinda kulingana na muonekano wa sura yake je tutakua tumepatia?
  9. D

    Mbio za uongozi CCM: Sumaye amuengua Nagu, Mama Salma Hana mpinzani Lindi, UWT Dar moto......

    usafi na uchafu na udhaifu wa salma niulizeni mimi niliekaa nae pale mnarani kwa babu kushoto(marehemu moledina) na pia nikasoma nae liseco kisha nachingwea ttc namjua hasa! Hawezi kukosa mpinzani lakini loo!! Kweli pesa zinavunja milima.
  10. D

    Kwanini JK aliungwa mkono sana 2005 na kuchukiwa 2010?

    kwa msaada mkubwa wa sheikh yahaya kwa kuwa alikua ana nguvu sana kwa wakati ule.
  11. D

    Waandishi wa habari Iringa wamgomea Robert Manumba!

    huyu mc ni nani vileeeeee! oooh yes nimekumbuka yaani ni kisehemu nyuma ya mlima kilichodidimia kwa ndani kidogo ambacho watu wanaweza kulima ua kupata mahitaji ya maji kinahitwaje hicho? kibo...de.
  12. D

    ADC - Kitaweza kuvunja ngome ya Chadema, CUF?

    kuna chama cha upinzani na chama cha ushindani sasa mimi naona adc ni chama cha ushindani na vyama vya upinzani sio chama cha mlengo madhubuti wa kisiasa.
  13. D

    Mauaji ya Daud Mwangosi: Mkurugenzi wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Aongea...

    ni ngumu kuamini kuwa jeshi la polisi ni walinzi wa raia na mali zao, hapa naweza kusema ' ni mainzi kwa raia na mali zao' kwa kuwa ni wachafuzi tu.
  14. D

    Mauaji Nyororo - Trivia Question - Michael Kamuhanda yupo picha zote mbili?

    hamna huruma kabisa ndugu yangu kamhanda jaribu kuvuta taswira kuwa huyu marehemu ameacha watoto wake wenye umri sawa na wakwako au wadogo zaidi ya wa kwako na yeye ndio alikua kila kitu kwenye familia je unajisikiaje? Hivi na wewe unajiita baba mwema mbele ya watoto wako? Watoto wako watakula...
  15. D

    Chadema, Igunga Itufunze kuwa na heshima

    namfahamu sana tundu lissu kuliko wewe unavyomfahamu, najua uwezo wake tokeo tukiwa darasa moja pale mlimani ni miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kuufanyia kazi ubongo wake kwa kutoa maamuzi sahihi na yenye uhakika pasipo shaka kawaida ni mtu anayesimama kwenye ukweli na usawa.
  16. D

    CHADEMA: Watanzania puuzeni propaganda za udini...

    we majebere acha uzuzu, hivi unaweza kutuonyesha idadi ya viongozi na dini zao ndani ya ccm? Haza hoa wa ngazi za juu? Kama utakuta idadi kubwa ni ya waislam nayo utasemaje kuhusu udini ndani ya ccm? Fikiri kwanza kabla ya kutoa maoni yako.
  17. D

    Spika Makinda: Marufuku wabunge kuzungumzia hoja ya kupokea rushwa majimboni...

    nasikitika kwa sababu katika zuio lake hakuna kifungu cha sheria kinachokataza kimsingi kuongelea hiyo issue na hata hao wabunge wataongea tu kwa sababu wanamjua udhaifu wake na ndio maana hata ndani ya bunge huwa wanampinga waziwazi.
  18. D

    Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    acha kuonyesha upumbavu wako, unamsema mwalimu aliyefika form IV na hawa jamii ya proffesa majimarefu ambae hata shule ajui na analipwa mshahara mnono unasemaje? je wabunge wanastahili malipo makubwa kushinda ya walimu?
  19. D

    ndugai..;‘Msiandike mabaya tuuu, andikeni mazuri pia’

    mheshimiwa sana ndugai! Kinyesi ni kinyesi tu hata kama kilitoka kwenye tumbo la mtu aliyekula pilau, kwa maana hiyo hata kama ccm na serikali yake emefanya mazuri machache bado uozo uko pale pale kwa kuwa ufisadi na rushwa bado vipo mikononi mwenu na mioyoni mwenu.
  20. D

    Hivi unajua M4C ni nini?

    CCM= CHAMA CHA MAPINDUZI ( REVOLUTIONAL PARTY) Mmeiga wapi na nyinyi?
Back
Top Bottom