Search results

  1. AggerFirminho

    Ratiba Mgao wa maji

    Kwenu dawasco. Hivi mlipotoa ratiba za MAJI kugawa kwa maeneo ya Dar. Mlitoa ilimradi kujifurahisha muonekane mnamfanya kazi au? Mbona hamuifuati hata kidogo. Yaani tangu jumanne hakuna maji mitaa ya Africana na huku ratiba ilisema Alhamis na Jmsi tutapata maji. Lakini naamka Leo naona bomba...
  2. AggerFirminho

    Kufunga Barabara bandari/Kurasini

    Sasa hivi ni saa 1 na dkk 15 tangu saa 11 jioni. Barabara imefungwa wanaruhusu wanaotoka mjini tu. Hata kama kupunguza magari. This is not right kabisa. Massaa mawili straight mnatuweka barabarani.?? Matrafiki wa hili eneo either wabadilishwe kama hii sio amri kutoka juu. POLISI MAKAO MAKUU NI...
  3. AggerFirminho

    Rafiki wa kike to Mchumba to mke anahitajika

    Mimi ni kijana 36 years. Nimeajiriwa.... Somewhere (utajua baadae) Mkristo Maji ya kunde 173cm. 82kg. Mtu wa Mara. Niko Dar. ANAYEHITAJIKA: Age 24-29 au hata 30 sio mbaya. Dini mmh sio ishu Sana maana zote zimekuja na WAKOLONI. Ila kama ni Islam uwe tayari kunitetea kwa wazazi Wako wakiamua...
  4. AggerFirminho

    Umri sahihi wa ufahamu

    Ngoja niende moja kwa moja kwenye swali ambalo kidogo linafikirisha. Upi UMRI SAHIHI WA kusema huyu ni mtoto mdogo? Kisheria mtoto ni miaka 18. Chini ya hapo huyu ni kiumbe ambaye hajui alitendalo so ukilala nae umembaka na utafungwa miaka 30. Lakini UMRI msichana kuolewa Tanzania ji miaka...
  5. AggerFirminho

    Nina 8mil nahitaji Toyota IST

    Nina 8 millioni. Nahitaji Toyota IST Cc 1290 Namba kuanzia DK na kuendelea Hali nzuri ya gari...isiwe na mashida shida. Sihitaji habari za dalali Majina ya kadi ya gari yafanane na majina ya kitambulisho chako cha nida. Karibuni!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom