Search results

  1. Strong Side

    Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

    Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
  2. Strong Side

    Msaada kwa wenye uzoefu wa friji kati ya BOSS na Mr UK

    Natumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji? Nahitaji kununua friji na sina uzoefu nazo kabisa Wakuu msaada tafadhali [emoji120]
  3. Strong Side

    Nakuomba wewe mwanamke uliyetayari kuolewa uje tuyaanze maisha

    Mwanamke naye muhitaji naomba awe na sifa hizi. 1. Umri miaka 22 mpaka 28 2. Mcha Mungu 3. Awe ameajiriwa serikalini / sekta binafsi au mjasiriamali. 4. Kabila lolote 5. Dini yoyote (hapa tutakaa chini tuzungumze) 6. Umbo lolote 7. Asiwe na mtoto 8. Awe serious na mkweli. 9. Awe...
  4. Strong Side

    Naomba kufahamu kuhusu ugonjwa wa lymphoma

    Kuna ndugu yangu kaambiwa ana ugonjwa wa lymphoma. Ndio ugonjwa gani huu na unatibikaje. Tafadhali wataalamu naomba majibu yenu hapa na msaada.
  5. Strong Side

    Msaada chochote ukijuacho kuhusu kozi ya TOUR GUIDE naombeni mnijuze

    Wakuu nahitaji kusoma certificate ya tour guide kwa mwaka mmoja nipo Arusha. Naombeni kujua yafuatayo kuhusu hii kozi Chuo kizuri kwa hapa Arusha Gharama zake Soko la ajira likoje Asanteni.
  6. Strong Side

    Nahitaji kujifunza udereva ni chuo gani kizuri na chenye gharama nafuu mkoani Arusha

    Wakuu poleni na majukumu, naomba kujuzwa chuo kinacho toa mafunzo ya udereva kizuri cha uhakika na chenye gharama nafuu mkoani Arusha. Asante sana[emoji120]
  7. Strong Side

    Kwa bajeti ya 180,000 napata simu gani mpya dukani iwe Samsung au Xiaomi nipo Arusha

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo sema nina 180,000 nahitaji simu mpya sio used iwe Samsung au Xiaomi au infinix nipo Arusha.
Back
Top Bottom