Search results

  1. L

    Mtikisiko! Serikali, CCM wahamia Dodoma. Pinda, Kagasheki watoleana uvivu

    Naona wote hapa tunaandika kimalalamiko. Sioni hata uzi mmoja ambao tutajikita kujadili mpangomkakati wa nini cha kufanya iwapo Bunge litatusaliti. Wenzetu wa Burkinafaso juzi wametumia mitandao hii kupanga mikakati,bunge lilipowasaliti wakafanya walichokifanya. Tuamke Watanzania:tusiishie...
  2. L

    Sasa Rasmi Escrow yataka kuchakachuliwa

    Wakihongwa PAC,tutatumia nguvu ya Umma huku nje
  3. L

    Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

    Ningekuwa Mchewa wa Malawi ningesema hivi: "mufune musafune,Lowasa ndi president wa dziko lino". Tafsiri isiyo rasmi: "mtake msitake,Lowasa ndo Raisi wa taifa"
  4. L

    A serious-girl needed urgently!!

    Ninatafuta mdada wa miaka kati ya 20-30 wa elimu ya angalau kuanzia Form-4,Mkristo wa dhehebu lolote isipokuwa Sabato,aliyetayari kuanzisha mahusiano na mimi ambayo yatapelekea uchumba na hatimaye kuoana. Awe tayari kupima HIV. Mimi ni mkaka wa miaka 33 sasa,ni graduate na nimeajiriwa...
  5. L

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    ...nina imani na panel (wale majaji-3),siyo aina ya majaji wanaojipendekezaga ikulu. Cdm mnaweza kushinda leo,sisi Ccm tunategemeaga sana uwoga wa majaji. Lakini kwa hawa daah,nina wasiwasi km watatubeba!!
  6. L

    Nimeanza kazi New Habari Corporation jana, nikatambulishwa leo

    ...umechagua fungu jema. Umehamia kunakokufaa,nenda katumikie kazi ya kulamba soksi za kina Kinana!!
  7. L

    Jaji Ihema, Kumbe Tundu Lissu alikuwa sahihi...

    ...jamani huyu IHEMA mkumbeni kuwa ndo huyu alotajwa na Tundu Lisu kuwa hakuwa na hata tu uwezo wa kuandika hukumu alipokuwa Mahakama Kuu. Je vp angekuwa na uwezo wa kuandika ripoti nzuri leo? Wenye akili ndo mtaanza sasa kumkubali Tundu-Lisu. Mind you: dhaifu ni dhaifu tu!!
  8. L

    Teophil Makunga umejidhalilisha mno kutumiwa na Nchimbi

    ...jamani huyo JAJI MSTAAFU aitwaye IHEMA ndo huyo aliyetajwa na Tundu Lisu kuwa alishindwa hata uwezo wa kuandika hukumu alipokuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Na huyu Teophilo MAKUNGA ndo huyo anayetuhumiwa kuwa ni gasho wa siku nyingi wa A. Kinana. Je hawa wadhaifu wawili mlitegemea kupata nini cha...
  9. L

    SAUTI HURU: "CUF yaingia kwa kishindo, yazoa 3,000 wa CHADEMA Arusha!"

    ...mngemfahamu anayeitwa Mhariri wa gazeti hili msingejisumbua kuukosoa ujinga wa gazeti hili (maana na yeye wanayemwita mhariri wao siyo well-tuned). Msiomjua mnakaribishwa kwenye kaklabu ka gongo hapa Kimara-baruti (Dsm) karibu na Bahama-mama. Mtakapomjua anayeitwa Mhariri ndipo mtakapomua...
  10. L

    Waraka wa Tambwe Hizza kwa watanzania

    ...aaah Hiza,naona ushammisi Mwarabu wako aliyekuwa anakupumulia mgongoni. Tumepata habari kuwa alisharudi Uarabuni,naona sasa mnduku unakuwasha maana umekosa basha mbadala.
  11. L

    Prof. Abdallah Safari, uzalendo wako ni wa kupigiwa mfano ndani ya CHADEMA

    ...tumeona mchango wa Godbless Lema (CHADEMA) aliyevuliwa ubunge wa Arusha. Vipi mchango wa Aeshy (CCM) aliyevuliwa ubunge Sumbawanga mjini? Karibu Kafumu usaidie kuiimarisha CCM yetu inayozidi kuporomoka kila kukicha
  12. L

    Wizi wa wanyama kutumia ndege ya kijeshi: Hili ni suala la Rais kutueleza kilichojiri

    ...raisi yupi unayetaka atuambie kilichojiri mpaka wanyama wetu wakatoroshwa kwenda Quatar? Unamaanisha huyuhuyu mhongwa suti tano ili kuuza Kilimanjaro Hotel?
  13. L

    Lusinde: Mimi mbunge nina laini moja, 'Mama Ntilie' ana laini nne za nini?

    Mama-ntilie wa hapa Ukwamani (Kawe-Dsalaam) wanamshangaa. Hapa ndo ambapo tunaomfahamu Lusinde ndipo alikuwa anakula kwa hao anaowakebehi leo. Hawa mama-ntilie lilikuwa ndo kimbilio la Lusinde kwa kujipatia chakula wakati ule alipokuwa anafanya kazi ya kushona na kung'arisha viatu (shoe-shiner)...
  14. L

    Niandikeje mabango ya kubeba kesho kwenye mkutano wetu (CCM) pale Jangwani a.k.a. Chadema-square?

    Nduguzanguni wanaJF, Nimeteuliwa kuwa mmojawapo wa waandaaji wa mabango ya kuyabeba kwenye maandamano ya Chama chetu hapo kesho. Naombeni ushauri wa maneno ya kuyaandika kwenye mabango ya mkutano wetu wa CCM hapo kesho.
  15. L

    I am looking for a job.

    ...hawa ndo wasomi wa enzi za kasi mpya!! Msomi gani unajianikaanika tu na contacts zako kwenye public? Kazi kwelikweli,wasomi wa kasi mpya ya ******,mumepwaya km yeye mwenyewe alivyopwaya kiutawala.
  16. L

    Watuhumiwa wa mauaji ya Mwenyekiti wa CDM USA River watajwa

    ...nadhani kuna vigogo waliwatoma kutekeleza mpango huo. Tunaomba miwani ya polisi itanuke kidogo ili kuwapata walohusika kwa ku-engineer mauaji haya!!
  17. L

    Mchujo wagombea urais chuo kikuu mwenge-moshi umemalizika na chadema kuteka ngome.

    ...kwani kuna wanafunzi wa vyuo ambao bado ni CCM kwa sasa??
  18. L

    Katika hili siyo siri mh. Jk hapa umechemsha.

    ...JK kwa kumteua Mbatia ametekeleza masharti ya Donald Cameroon kwa vitendo!!
  19. L

    kama ni kweli ulitumia njia hii kupata ubunge, baasi Mbatia umechemka..

    ...JK anatekeleza masharti ya Cameroon ya kuzitambua haki za watu wa aina ya Mbatia. Msiumize vichwa bure,JK anataka misaada toka kwa Waingereza. Walisema asitambua haki za hao watu watakata kutoa misaada
Back
Top Bottom