Search results

  1. wadzelino

    Nani aliona Pumzi ya Injinia Hersi Hilal waliposawazisha goli?

    Ilikuwa kwa Mkapa, asee Hilal waliposawazisha, Kamera ilimuonesha Injinia Hersi akivuta pumzi ya Moto!
  2. wadzelino

    Vipers siyo poa, kamng'oa Mazembe

    Mazembe "nje" kwa matuta 2 dhidi ya 4 za Vipers.
  3. wadzelino

    Hii ndiyo maana ya "Unbeaten record"

    Hebu ona hii Tumewekeza kuliko Al Hilal. Manara kaja na siri ya ushindi wa Simba. Raha yetu kuwafunga Simba. Nabi: Mechi za kirafiki za kimataifa kwetu hazina kipaumbele. Tathmini: Mwenye akili timamu kati ya hao yupo kweli? Je, kitaalamu hiyo timu inaendeshwa kwa mfumo rasmi au inaendeshwa...
  4. wadzelino

    Bibi Harusi mtarajiwa aingia mitini baada ya kupelekwa saluni

    Dunia imebeba mengi sana na Ukistaajabu ya Musa Hujayaona ya Firauni. Hii imetokea Kijijini kwetu huku. Baada ya Utambulisho na maridhiano ya pande mbili. Mahari ikatolewa, Mil 2.5 hivi, na mipango ya harusi ikaanza. Ee bwana ee siku zimesonga, hatimaye siku ya harusi ikawadia, mapema kabisa...
  5. wadzelino

    Msaada wa kupata kazi

    Husika na kichwa cha Habari hapo juu. Mimi ni Mwalimu wa masomo ya Literature na History, nina uzoefu wa kufundisha masomo hayo kwa miaka miwili hivi. Naomba mwenye connection ya kazi anisaidie. Pia nina Uzoefu wa kufundisha English Medium schools kwa muda sasa, masomo ya English, Vocational...
  6. wadzelino

    Kuamua Kuwa Mdhamini Mwenza wa Ligi ya NBC, Ilikuwa ni Kutaka kupooza Machungu ya Kushindwa Kesi dhidi ya Morrison na si Vinginevyo

    Ni baada tu ya CAS kutoa hukumu ya Kesi ya Mwamba mwenye akili kuwazidi Kile kikundi chote, ndipo waliamua kutangaza kuwa wadhamini wenza wa NBC premier league, ukweli ni kwamba walitaka kujifariji tu, sasa faraja imeisha na Machungu yameisha. Uchungu wa taasisi kushindwa dhidi ya mtu mmoja...
  7. wadzelino

    Soka la Bongo ni pasua kichwa

    Binafsi huwa siwaelewi bodi ya Ligi wala TFF. Yani timu hizi mbili hasa wale wa ngumi mkononi Ratiba ikipangwa wataambiwa waanze mechi kumi nyumbani ili wapate hela ya kusafiria. Sasa hiyo ni Ligi au ni Ligi ya timu mbili tu? Au wengine wacheze saa nane mchana ilihali wengine siyo, pana usawa...
  8. wadzelino

    Bado Ratiba Haipo Fair Kwa Simba na Yanga

    Wasalaaam! Wana JF popote mlipo! Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya Kariakoo, mwisho upande fulani unajinasibu una timu nzuri kumbe siyo ni ujinga tu, Ipangwe Ratiba iliyo...
  9. wadzelino

    Watesekao Juu Ya Simba

    Kama walitaka kukutana na timu mbovu wangekomaa wavuke raundi ya awali, Sasa raundi ya mwanzo imekushinda, Unabeza mafanikio ya mwenzio, hii ni ajabu, roho mbaya isiyo na maana, halafu binafsi naona kama wanateseka bure, maana hawa hawashindani na mtu bali timu yao, utasikia Ooh watafungwa, Ooh...
  10. wadzelino

    Kuna wakati Yanga na Simba Zitakuwa Kama Twaha na Dulla

    Ni jambo la kusubiri tu,anaejua anajua tu, hata watoe mafungu kuihujumu Simba, Itafika Wakati watakubali kuwa hawajui, na hawatatakana tena kama ilivyotokea kwa wazee wa Vitasa, Twaha Kiduku na Dulla Mbabe. Povu ruksa.
Back
Top Bottom