Search results

  1. Fyengeresya

    Arena maana yake nini?

    HEBU SOMA HIYOOO> Arena -a level area surrounded by seating, in which sports, entertainments, and other public events are held - a place or scene of activity, debate, or conflict.
  2. Fyengeresya

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Haina ukweli wowote hiyo uliyoiandika, Ukristo, Uislam na Jews zinaitwa Abrahamic religions unajua kwa nini? kwa sababu aliyeanzisha kuabudu "Mungu mmoja na Mkuu" ni Abraham/Ibrahim. Huyo Abimelek unayemsema umeokoteza kwa kuwa si kweli kwamba Mungu Mkuu ndiye aliyemwambia suala hilo. Aidha...
  3. Fyengeresya

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Neno uislam halikuwepo limeanza wakati wa Mtume Muhammad (SAW), mengine ni kuungaunga
  4. Fyengeresya

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Umeshahama kwenda mada nyingine. Tulikuwa kwenye Jerusalem ya Wayahudi naona umeenda kwingine
  5. Fyengeresya

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Hamna kitu hapo ni kuokoteza, Mohammad ndiye mwanzilishi wa uislam period
  6. Fyengeresya

    Je, kwanini Jerusalem kuna vurugu kuliko Makka?

    Mmiliki halali ni Myahudi hao wengine ni wakorofi kuvamia vya watu
  7. Fyengeresya

    CHRISTMASS ni ya kina Pope Julius I au ni yetu sisi na Yesu wetu?

    Itakuwa unafikilia kugonga tu ndiyo maana unataka watu washerehekee mwezi wa mimba. Acha kusumbuana na watu wasiojulikana kama wakristo, Waislam au wayahudi. Hapa wanaleta ubishi ili wote twende usabato halafu eti ndiyo Yesu atalejea kuchukua kanisa lake. Kwamba kutoshika kwetu siku ya jumamosi...
  8. Fyengeresya

    CHRISTMASS ni ya kina Pope Julius I au ni yetu sisi na Yesu wetu?

    Itakuwa unafikilia kugonga tu ndiyo maana unataka watu washerehekee mwezi wa mimba.
  9. Fyengeresya

    CHRISTMASS ni ya kina Pope Julius I au ni yetu sisi na Yesu wetu?

    Kweli kabisa haiwezekani akazaha
  10. Fyengeresya

    CHRISTMASS ni ya kina Pope Julius I au ni yetu sisi na Yesu wetu?

    Hoja yako ni nini sasa? nimeandika kwamba kuhusu tarehe mwezi yawezekana ukawa sahihi lakini ulichokielewa kwenye Biblia ilikuwa ndiyo hoja yangu.
  11. Fyengeresya

    CHRISTMASS ni ya kina Pope Julius I au ni yetu sisi na Yesu wetu?

    Mtoa mada unaweza ukawa sahihi kwa upande mmoja lakini ukishindwa kuelewa maana ya maneno yaliyoandikwa kwenye Biblia itakusumbua kwa kushika kamstari kamoja tu na unenda nako utafiki fimbo ya kuulia nyoka. Katika kitabu cha Luka mlango wa kwanza kuanzia mstari wa 24 inaeleza mpaka hapo...
  12. Fyengeresya

    Mgogoro kati ya Armenia na Azerbaijan

    Sio kweli Kieneo Armenia - 29,743 sq km Azerbaijan - 86,600 sq km Idadi ya Watu Armenia - 3,038,217 (July 2018) Azerbaijan - 10,046,516 (July 2018) GDP Armenia - $28.34 billion (2017 est.) Azerbaijan - $172.2 billion (2017 est.)
  13. Fyengeresya

    Arab Muslim: World architecture of slavery in Africa

    Naona jiwe la gizani ......
  14. Fyengeresya

    Uchaguzi Uingereza

    Heri wameshinda Consevertive maana hao labour sera zao za hovyo balaa. Eti akitangazwa mshindi siku ya pili anaitambua Palestina kuwa nchi huru na makao makuu Jerusalem kama sio kuleta mtafaruku ni nini sasa?
  15. Fyengeresya

    India: Bunge lapitisha muswada unaowatenga Waislamu kupata uraia wa nchi hiyo

    Kwa mtazamo wangu India wapo sahihi kwa kuwa katika mataifa hayo (Pakistan, Bangladesh na Afghanistan) wanaopata shida ni wasio waislam kwa kuwa mataifa hayo yanaongozwa kwa kufuata mila na desturi za Kiislam. Haiwezekani ukakimbia toka huko kwenda kwa wanaoitwa makafir labda utake kubadili dini...
  16. Fyengeresya

    WAAFRIKA NA WAARABU: “Sisi wazuri, nyinyi waovu” au “Sisi wazuri, na nyinyi wazuri?”

    Wavaa vipedo ndo waharibifu balaa. Ningekuelewa kama ungesema tuachane na dini hizi za kuletewa kutoka mashariki ya kati ili tubaki na dini zetu za asili kuabudu misitu. Maana hizi zingine zimetuletea utumwa na ugaidi.
  17. Fyengeresya

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Katika vitu vinavyonisikitisha ni kuamini Uarabu ndiyo Uislam na Uzungu ni Ukristo, hivyo ukimgusa Mwarabu umemgusa Mwislamu na vivyo kwa Wazungu. Ni upunguani wa akili ambao sikuutegemea kwa Tanzania labda Tanganyika.
  18. Fyengeresya

    Tafakuri ya FaiizaFoxy 4: Historia. Professor Rudolph T. Ware III ni Mohamed Said wa USA?

    Kumbe ni maneno ya kiislam nilifikili yanawahusu hata wasio waislam. Nawatakia mjadala mwema
Back
Top Bottom