Search results

  1. Lelon Mush

    Gari yangu aina ya Toyota Cami inamis dakika chache baada ya kuwaka

    Habari, Gari yangu aina ya toyota cami nikiiwasha inawaka bila shida (jino moja) ila ikikaa sekunde 25 inaanza kumis kisha inazima na ikishazima haiwaki mpaka ipite nusu saa msaada shida unaweza kuwa ni nini?
  2. Lelon Mush

    Desktop HP Compaq inasumbua kuwaka

    Msaada desktop Hp compaq nikibonyeza batani ya power kinawaka kitaa kimoja kisha kinazima ila nikiipuriza na hot blower kwa dakika 1 au 2 nikiiwasha ina waka ila nitakapoizima tu haitawaka mpaka niipulize tena.
  3. Lelon Mush

    Msaada iphone 5s Inasumbua

    Habari nina iphone 5s nikiweka mtandao wa 4g ama 3g nikipigiwa simu inakuwa busy nakuwa siwezi kupiga wala kupigiwa ila msg natuma ila nikiset mtandao wa 2g simu zinaingia na kutoka kama kawaida.
  4. Lelon Mush

    Tatizo la no sevice kwenye iphone 6+

    Msaada ipho 6+ mnara haupandi inaleta huu ujumbe (your iphone cannot make and receive calls or access mobile data until it has been updated)
  5. Lelon Mush

    Dell optiplex 780

    Msaada nikiwasha kompyuta yangu inaishia hapo
  6. Lelon Mush

    Biashara ya chakula cha kuku

    Habari wakuu naomba mnijuze faida na changamoto za biashara ya kuuza chakula cha kuku.
  7. Lelon Mush

    Msaada: Printer yangu aina ya EPSON L382 ina tatizo

    Msaada wakuu printer yangu Epson l382 inawaka taa ya wino na paper na haifanyi chochote [emoji120]
  8. Lelon Mush

    Pes fifa 2016

    Msaada link ya kudownload Fifa 2016
  9. Lelon Mush

    Mafundi simu upande wa software tukutane hapa

    Msaada nataka kuflash Tecno F1 kwenye sp flash tools inaleta huo ujumbe kwenye picha[emoji116]
  10. Lelon Mush

    Mafundi upande wa sottware tukutane hapa

    Msaada wakuu nimeflash simu imekataa kuwaka na nikijaribu kuiflash tena inasoma kwenye computer kwa sekunde 3 then inapotea Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Lelon Mush

    Msaada: Nikipigiwa namba yangu ya simu anapokea mtu mwingine

    Naomba msaada, namba yangu ikipigwa nikichelewa kupokea simu yangu anapokea mtu mwingine ambaye simjui. Natumia Samsung J7 Pro Sent using Jamii Forums mobile app === Suluhu iliyomsaidia kuondoa tatizo ===
  12. Lelon Mush

    Mafundi upande wa hardware tukutane hapa

    Nina Tecno w3 na inapata moto na inaisha chaji ndani ya dakika 15 nimebadili betri bado mambo ni yaleyale nifanyaje?
  13. Lelon Mush

    Mafundi upande wa software tukutane hapa

    Kwanini nikidownload Firmware nikija kwenye sp tools nikitaka kuaadi file halionekani ila nikirudi kwenye download file naliona
  14. Lelon Mush

    Iphone 6s plus haingizi chaji

    Msaada nina iphone 6s plus nikichomeka chaji badala ya kuongezeka inapungua na nimeshsbadili betri na kibao ila bado tatizo lipo palepale Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Lelon Mush

    Jinsi ya kuunlock security code kwenye nokia 105

    msaada jinsi ya kuunlock security code kwenye nokia 105 Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Lelon Mush

    Msaada wa kupata notes za Form 1 Hadi 4 kwa PDF

    Msaada wa kupata notes za Form 1 Hadi 4 kwa PDF Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Lelon Mush

    Msaada FIFA 14

    Nikitaka kucheza FIFA 14 kuna ujumbe huu (FIFA 14 setup is damaged).
  18. Lelon Mush

    Msaada kuhusu Epison printer

    Ninampango wa kununua printer za Epison. Naomba kujua ni printer gani ya Epison nzuri yenye gharama nafuu?
  19. Lelon Mush

    nawezaje kuangalia channeli zote bure bila kulipia

    Nitawezaje kuangalia channeli zote bure kwenye king'amuzi cha startimes bila kulipia
Back
Top Bottom