Search results

  1. Hennah

    Album ya Harmonize yafutwa YouTube & Boomplay

    Apambane na vikwazo,Apige kazi, aepuke vijembe beef chuki atafika mbali.But naona kuna watu wanamsapoti sababu hawapatani na Mondi hii hatari sana maana hawa hawapo kwa mapenzi ya kweli wapo pale kumuumiza mtu flani awe nao makini maana muda ukienda na interest zao huweza kubadilika
  2. Hennah

    Reginald Mengi ana bahati hakufilisika kipindi cha uhai wake, la sivyo angejua binadamu ni watu wa aina gani

    Saidia kila mtu ndugu rafiki watu maskini wasiojiweza.Ishi na kuipenda familia yako.Weka mambo sawa before its too late maana atakayeumia ni mke na watoto wako.Ukiongelea kuhusu Reginald isingekuwa rahisi kumjua yupi ni yupi maana pesa nyingi huja na mambo mengi. Sio kila rafiki ndugu mtu baki...
  3. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Saa nyingine nahisi hao Regina na Abdiel wangekuw na familia /watoto Mengi aingehaika kuzaa tena. Angetembea na bidada tu na ingeishia hivyo.lkn mpk aamue vile ni fika kuwa ni jambo lililokuwa linampa mawazo sana. Maana kwa mtu kama Mengi alitaka jina lake libaki.Utasema kwani jina lake...
  4. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Aibu kuzaa na kutulia na mwanamke aliyeamua yeye? Au aibu kutembea na wanawake wengi hapa mjini?Umetaja hiyo list ya hao wanawake unajua chanzo cha Mengi kuachana na Madam?Most ya wanawake walioachana nae issue kuu ni alipokuwa akigundua anashare na mtu ndio kilichowacost. Jack alipoingia...
  5. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Kuna jamaa flani enzi miaka ya nyuma sana alitaka kumuoa but aliogopa sasa sjui ni tabia au pesa za baba yake
  6. Hennah

    Wanawake wekeni avatar zenu, au Kama sio zenu basi hata za wanawake mnaofanana nao

    Secretary POMPEO 😂😂umekuja kasi kama corona. Anyways wa pm kwanza ndio utatumiwa picha
  7. Hennah

    Jinsi navyoteseka moyoni. Nahitaji faraja yenu ndugu zanguni

    Boss Kiduku laki tano bajet ya mbuzi haitatosha Wanajf wote hawatashiba.Eka 2Million bhn 😂
  8. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Mbona mama Mercy alimpeleka Mengi mahakamani muda tu na watoto wake wanaingiziwa hela za maana kutokana na shares za mama yao. Hapo wanapigania haki ya baba yao so far I know lbd kama hizi info hazikuw za kweli
  9. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Unahisi tunaandika andika tu siyo? Unahisi ni kwa nini wanaenda kuomba kusimamia hiyo mirathi? Unajua fika madaraka aliyonayo msimamizi na ndio ambacho kila mmoja anakigombania hapo.
  10. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Ni kweli Regina na Abdiel wanahaki. Kama ni wosia kutenguliwa whatsoever ila kila mmoja apate haki stahiki.Tunachoongelea hapa ni kumchukulia huyu dada kama kikaragosi Wakati na yeye alikuwa mke. Kwani Mengi alipita na wangapi asiwaoea amuoe huyu?Jacky kaolewa na kuzaa kama wanawake wengine...
  11. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Muamuzi bora hapa ni mahakama. Maana Mengi angeacha wosia kwa watoto/mwanasheria wake wa siku zote possibility ya Jack kuumia ingekuwepo. Angewaachia ndugu wakina Abdiel, Regina na mke mdogo wangeumia. Mahakama itende haki watoto na mke mdogo wapate haki inayostahili.Maana kama baba mdogo sjui...
  12. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Mifano uliyotoa ni mizuri hao walikuwa ni"vimada"hawakuwaoa waliwaficha.lakini huyu Jacky mzee akimficha? Kuna ambae alikuwa hajui anaishi na mzee?Huyo mzee na mke wake walitibuana since wayback. Habari za mwanzo zinasema Huyu mama Mercy alimuwekeaga Mengi sumu kwenye chakula akaokolewa na...
  13. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Mkuu kwa wanawake hiki sio kitu cha kushangaza wanaomponda hapa hata wakati akiwa na Mengi walikuwa wanamsemaUkisoma between lines hata comments zimejaa chuki.Hii kesi kila mtu anavuta kwake ndugu wenyew hao nimeshangaa sana mzee kafa wanaomba usimamizi wa mali ilhali Regina na Abdiel wapo hai...
  14. Hennah

    Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

    Mtu ni waziri huko sjui posho anapata na ukute na double standard juu atawezaje kuona upande wa pili wa shillingi? Watu wanaongea tu but hawajui ni kiasi gani wengine wameathirika.Hao wazee wanaolia penshen? Makumpuni ya nje yaliyostopisha shughuli zake hapa ndani. Hao vijana wanaokesha mtaani...
  15. Hennah

    Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

    Nikiwafikiria hao maengineer kumi waliopigwa chini akili inachoka. Hii awamu kufukuzwa kazi ni sawa na kunywa maji. Makosa ya kufukuzwa kazi yapo lkn kuna mengine ni makosa ya kutoa onyo na kumrekebisha mtu. Hata yeye mwenyew siyo mkamilifu maana angekuw mkamilifu hali isingekuwa hivi. Jamani...
  16. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Ila Mengi why hakuweka mambo sawa na bayana kwa watoto wake wakubwa na mke mdogo. Sasa hivi haya makesi kungekuwa hamna kila mtu angekuwa na mishe zake.Akina baba mkijua kabisa kuna mke mdogo/ mkubwa /watoto wa nje au whatsoever ekeni mambo sawa mapema maana kuna mmoja lazima aumie
  17. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Kwenye wosia simetei at all ninachomtetea ni watu kumsema huyu dada as if yeye ndiye aliyemlazimisha Mengi kuwa naye. Kuwa treated kama a prostitute watu hawaconsidi kuwa huyu dada ameishi na Mengi in one roof na amezaa naye. She is a mother already. Ingawaje alichofanya Kwenye wosia hakikuwa poa.
  18. Hennah

    Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

    Nipo curious mbona ile ndoa haikuwekewa pingamizi na Mama Mercy alikuwa hai?
Back
Top Bottom