Search results

  1. M

    Sumaye amgwaya Lowassa!

    naona kwa pambeni kama sued kubenea, naye anaandika habari apeleke wapi? wakati gazeti lake limefungiwa?
  2. M

    Software

    nashukuru mkuu kwa ushauri wako, sasa hiyo programming language nitajifunzaje?
  3. M

    Ctc inataka kuanzishwa, inahitaji ushauri wenu

    Wakuu nahitaji kuanzisha computer training centre, so kwa wale wajuvi wa vigezo na mlolongo unaotakiwa na veta ili kujisajiri basi wanijuze.
  4. M

    Naanzisha computa training centre

    Wadau naomba mnisaidie creteria wanazoangalia veta ili kusajili kituo na kutoa mafunzo ya computa.
  5. M

    Software

    WADAU NATAKA NITENGENEZE SOFTWARE ZA MAHESABU, TATIZO SIJUI NIANZEJE NA SINA HELA YA KUMPA MTU ANITENGENEZEE SOFTWARE, SO MWENYE UTAALAMU WA KUTENGENEZA SOFTWARE NAOMBA ANISAIDI AU HATA LINK YA JINSI YA KUTENGEZA SOFTWARE.<br>ASANTENI SANA.
  6. M

    Intranet

    Wakuu naamini JF ndo kila kitu, Mm ni mjasiriamali na ktk ujasiliamali wangu natka kufanya mambo makubwa, So mwenye kujua kutengeneza INTRANET anisaidie maelekezo hata Links za kugoogle.
  7. M

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Wakuu wife amesumbuliwa na fangasi mda mrefu na anmimba kwa hiki kipindi, naomba mnisaidie atumie dawa au tube gani ili imusaidie? Hata kama ni ya kienyeji mm ntajitahidi nimtafutie, anasumbuka sana mazee.
  8. M

    Kwa hili, secretariet ya ajira Tanzania nimewakubali! Hongera sana!

    da mkuu umenivunja mbavu kwani umeeleza ukweli tupu
  9. M

    Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    Wife wangu analalamika anawashwa sana kila nnapopiga bao, yaani spam zinamuwasha sana, hivi tatizo litakuwa ni nini? Maana huwa anapigakelele sana za kuwashwa. Naombeni mnisaidie.
  10. M

    Sheikh Mustapha Shaban Rajab wa Dodoma: Wabunge watakiwa kuacha kutoa kauli zenye Kumfedhehesha Rais

    kwani viongozi wa dini ni akina nani? akina lusekelo hahaha, hao nao unawaita ni viongozi wa dini? dini kwa matajiri tu? hata wenyewe ni dhaifu kama mwenzao. baada ya kuwalaani UAMSHO wanazidi kumaliza makanisa yao wapo kimya wanamlaumu mnyika anaetetea maslahi ya wanyonge kwa kusema ukweli.
  11. M

    Tufanye biashara hii, yenye hela

    mkuu baadae nta ku PM tushauriane katika maswala ya ujasiriamali
  12. M

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Naomba niende tofauti na wewe kidogo, inshu siyo kuwa na idea coz kama mtu anaidea haina haja ya kuja kutafuta idea, ok Mtei alitakiwa atueleze interest zake(yaan yeye anapendelea bishara za aina gani), experience yake katika bishara, elimu yake, je yuko tayari kupata risk ya kiasi gani?, Je...
  13. M

    Kpmg interview

    we huju kpmg kuwa ni auditing firm?
  14. M

    Wahi laptop hp 630 bei nzuri

    cha mambo ya ajabu specification cyo inshu, ka nngemaind specfication ningeenda kariakoo, nshu tunayomaind hapa ni bei za hiyo mambo ili tuweze kukutofautisha na wengine. unless hakuna maana ya kununua kwako na tuache hao wengine........uwe mdadisi.
  15. M

    Ps2

    wa ,dau
  16. M

    Projector sony inauzwa

    ndugu bei ni kitumuhimu, naweza nkakpigia nkajikuta bei unayonitajia hata nusu yake sifikii, sasa si utakuwa umeniaribia vocha zangu bure.
  17. M

    FLASH DISKS - WholeSale

    atizo wadau mnapoandika matangazo hum mnasahau v2 vngi, eg,location.
  18. M

    Laptops and Mobile phones for sale

    specification hizo tunazijua, haina maana ya kuandika specification kama hujaambatanisha na bei.
Back
Top Bottom