Search results

  1. E

    Nini kifanyike kufanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi Tanzania

    Bahati mbaya zaidi awamu ya tano ina fufua kwa kasi sera za kijamaa ambazo zilianza kupotea taratibu. Kama JPM angeachana na sera za ujamaa, akasimamia mazingira bora ya biashara na kukusanya kodi angefika mbali sana. Lakini ndo hivyo tena. Ni wale waliokulia na kuaminishwa ujamaa.
  2. E

    Mwanaume kuishi ukweni na kwa shemeji kupi kuna afadhali ?

    Inategemea nani kamuoa mwenzake.
  3. E

    Umri wa kujitegemea, naombeni ushauri au ni mimi na kwama nini

    Wewe ndo unatakiwa kuondoka kutoka kwa wazazi wako. Kapange nyumba uishi huko.
  4. E

    Maombi yenu wakuu, nataka kutuma nauli kwa Mchumba wa nyuma ya Keyboard!!

    Hivi huwa mnasukumwa na nini hasa hadi kutongoza watu msiowajua? Ina maana katika pita pita zenu za kila siku na huko mnakoishi hakuna wanawake hadi uvamie mwanamke mtandaoni?
  5. E

    Uligunduaje kama mwanaume/mwanamke wako anachepuka, na ulichukua hatua gani?

    Hili la ukahaba wa mama mtoto wake naona kama ni WIVU tu
  6. E

    Usiolewe na mwanaume masikini

    You have no point at all. Hata ulichoandika hukijui. Unachanganya mambo
  7. E

    Uwekezaji uwekezaji (for positive mindset only)

    Unatoa nini kwa mtu anaye wekeza? Cheti, mkataba au nini. Ofisi yako iko wapi? Hizo fedha zinatolewa kwa njia gani? Account ya kampuni au account yako binafsi. Una kampuni na je imesajiliwa? Una leseni inayokuruhusu kufanya hiyo biashara?
  8. E

    Msaada wa haraka kuhusu kupata TIN number ya kampuni na kufungua account ya kampuni bank

    Mbona kila kitu kimeelezwa kwenye websites za taasisi husika?
  9. E

    Nahitaji mtaji wa 10 million. Sijui ni taasisi ipi ina masharti nafuu

    Huwezi pata mkopo kwa kuanzisha biashara ya uchuuzi. Anza taratibu taratibu kwa mtaji ulionao. Otherwise fanya kazi, vibarua ukusanye mtaji then uanze kidogo.
  10. E

    Adui namba moja wa wa wakulima ni hivi vitu vinaitwa vyama vya msingi na vyama vya ushirika

    Vyama vya wakulima vibaki kama platform tu za kuzungumzia maswala ya kilimo, kama vilivyo vyama vya wafanyakazi au wafanyabiashara. Mbona mishahara ya wafanyakazi haipiti kwenye vyama vya wafanyakazi?. Sijui ni nani alibuni huu ujinga. Halafu tunaendelea kuung'ang'ania as if hakuna njia...
  11. E

    Adui namba moja wa wa wakulima ni hivi vitu vinaitwa vyama vya msingi na vyama vya ushirika

    Kilimo ni biashara, kilimo ni kazi, kilimo ni ajira. Huu utaritibu wa uwepo wa vitu vinavyoitwa vyama vya ushirika na vyama vya msingi havimsaidii mkulima bali vina muangamiza. Huu utaratibu wa uwepo wa vyama vya ushirika ulibuniwa na Serikali ya awamu ya kwanza kama njia ya kuimarisha sera ya...
  12. E

    Richest 1% now owns half the world's wealth - CNBC.com

    Shughuli ambazo mtu/wananchi wanafanya katika kujiletea maendeleo zinategemea sana sera, sheria, miundombinu na uendeshaji na usimamizi wa jumla wa shughuli za kila siku za serikali. Kwa mfano unaweza kujitutumua ukalima zao fulani, ghafla serikali ika weka zuio la kuuza zao hilo nje ya nchi...
  13. E

    Jinsi ya kusafirisha mizigo mikoani na changamoto zake

    Nashukuru kwa mchango wako mzuri. Ukiacha Posta/EMS watu wa mabasi na malori hawana njia nzuri ya kukadiria gharama za usafirishaji. Je ni namna gani unaweza kufanya ili wasikupige bei juu?
  14. E

    Jinsi ya kusafirisha mizigo mikoani na changamoto zake

    Wandugu hongereni kwa kazi. Natarajia kuanza biashara ambayo itahusisha kusafirisha mizigo kwenda kwa wateja zangu waliopo sehemu mbalimbali hapa TZ yaani mikoani, wilayani na hata vijijini. Kuna njia kadhaa nimefikiria kwa mfano, kutumia mabasi, kutumia Malori yanayo beba mizigo n.k...
  15. E

    Natafuta mshirika wa kibiashara

    Views = 200 Replies = 1 Inbox =0
  16. E

    Natafuta mshirika wa kibiashara

    Mimi ni Engineer mwenye Elimu ya Kiwango cha Masters, Nakaa DSM Natarajia kuanzisha biashara ambayo partly inahusu fani yangu. Nimefashafanya kazi ya awali ikiwa ni pamoja na utafiti, mpango wa biashara na ujenzi wa miundombinu. Kimsingi kazi za awali zimekamilika kwa kiwango cha 60% Nahitaji...
Back
Top Bottom