Search results

  1. sundoka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    31B2EB3 3C7640B BETPAWA Acha tujaribu tuone
  2. sundoka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sasa si uweke code ili iwe rahisi kupunguza mechi unazoona ni ngumu mkuu??
  3. sundoka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi nimeikuta zimebaki timu 49. Zimekubali zote kasoro moja ya Besikitas nayo imeahirishwa. Asanteni sana waunhwana kwa kushea codes[emoji122][emoji122][emoji122]
  4. sundoka

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mnakataa kushea codes, mkishaliwa mnaleta mascreeshort yenu ili tulie pamoja. Shenzeeee[emoji57][emoji57]
  5. sundoka

    Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

    Wajenge uwanja wa ndege wa maana Bukoba. Waache kuendekeza ukabila na chuki dhidi ya watu wa Kagera. Kauwanja ka ndege kamebana mji wote na kapo mjini katikati, wamelazimisha hadi kamegawanya mji katikati, huwezi kwenda upande mwingine mpaka uzunguke. This is shame. Alafu baadae mnakuja...
  6. sundoka

    Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

    Ila twende mbele turudi nyuma Sure Boy ni noma[emoji122][emoji122][emoji122]
  7. sundoka

    Tukatae, tukubali Tanzania Bado inahitaji Rais kutoka Kanda ya Ziwa!

    Bahati mbaya sana uliyemnukuu na kumtolea mfano nae ni wa Kanda ya ziwa. Hebu ona aibu basi[emoji13][emoji13]
  8. sundoka

    Kwa takwimu hizi za sensa hapa Tanzania na duniani, agizo la Quran kuoa mpaka wanawake wanne halitekelezeki

    Tupe andiko la biblia linalosema mwanaume akioa wanawake zaidi ya mmoja ni dhambi. Nasubiri hapa
  9. sundoka

    Kwanini lawama zangu zote kwa huu ukame mkubwa unaoenda kuikumba Tanzania nazipeleka kwa Rais na Makamu wake?

    Kyoma naiwe oli wa nkaa si? Kwani anapolalamikiwa makamu wa Rais, kipindi kile cha Magufuli nani alikuwa makamu wa Rais? Kutetea uovu ni kazi sana[emoji2][emoji2]
  10. sundoka

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    HER PENIS???? WTF[emoji35][emoji35][emoji35]
  11. sundoka

    Je, nimuache au nimvumilie?

    Bila shaka atakuwa amelelewa na single mother. Narudia tena kutoa ushauri usijichanganye kuoa mwanamke aliyelelewa na single mother. Kwa.maneno mengine usioe mwanamke ambae mama yake ni single mother. Ukibisha shauri yako
  12. sundoka

    Yanga imekaidi agizo halali la Serikali, hatua kali zichukuliwe dhidi yake

    Ila kuna watu ni mattercall kabisa! 1. Yanga ilipotolewa safari hii ndipo ambapo mwaka jana Simba ilipotolewa na kwenda shirikisho na hatimae ikafika robo fainali ya shirikisho. Yanga kutolewa isiwe hoja sana kuwapanikisha wasemwe vizuri ili wafanye vizuri shirikisho hata zaidi ya Simba mwaka...
  13. sundoka

    Paza sauti Mtanzania Kocha Nabi afukuzwe kazi mara moja

    Kwa kufungwa mechi moja tu???[emoji13][emoji13]
  14. sundoka

    Katika nchi 35 zilizokataa kupiga kura suala la Urusi kuvamia Ukraine 50% ni za Afrika, ikiwemo Tanzania

    Naiunga mkono Tanzani 100%. Tuwaache hao nguruwe waupe wauane tu wao kwa wao na wao wajue raha ya vita na ukimbizi. On the other hand Zele kaiuza nchi yake kwa mabwana zake yeye mwenyewe. Ajitetee mwenyewe
  15. sundoka

    Elon Musk atahadharisha Urusi ina uwezo wa kuisambaratisha USA na Ulaya ndani ya Dakika 30

    Ndo mjue mrusi ni dude. Yaani USA na Europe wakiungana ndo wanaweza kutoa upimzani sawa na Russia. Alafu kuna mazezeta humu wanabwabwaja tu. Mnaijua Russia na USA kumzidi Elon Musk nyie? Amajua alichokutana nacho angani mpaka akaamua kuomba poo[emoji2][emoji2] Kifupi jamaa amemaanisha kwamba...
  16. sundoka

    Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

    Magongo yote ni mapya na ni ya mbao sampuli moja. Hata akili ya kuelewa hamna? Watu wametoa oda ya magongo kabisa[emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom