Search results

  1. H

    Jamaa hachukui mshahara lakini anaichuna nchi kisawasawa

    https://www.theatlantic.com/ideas/archive/2020/02/why-does-billionaire-charge-secret-service-650-night/606253/?utm_campaign=the-atlantic&utm_medium=social&utm_source=facebook&fbclid=IwAR3y_iyU3RnN2EFxwCwKcyEf9G4_tGJNo1u7cSjbUpfEEJCVZVE3mMdOAbY
  2. H

    Bongo Wajuaji wa Vijiweni Wamezidi

    Waungwana, niwashirikishe kwenye jambo ambalo huwa linanikera. Mara nyingi ninasoma watu wanabadilishana matusi makali hata ya nguoni kuhusu mambo mbalimbali. Aghalabu, wengi hujitambulisha kwamba wanajua zaidi na kuanza kwa kudai "wewe hujui." Mtu atang'ang'ania jambo utadhani kwamba...
  3. H

    Obama Derangement Syndrome

    Watching the Trump phenomenon from outside the United States is a strange spectacle. I am often asked to explain by puzzled observers how such a bombastic, obnoxious, moronic, misogynistic, chauvinistic, racist, and hustler businessman with a record of serial bankruptcies could ever be a serious...
  4. H

    Trump: Historia Moja ya Ubaguzi

    Watu wengi hapa Bongo wanamshabikia Trump na kuona kwamba madai juu ubaguzi wake ni ya kampeni tu. Kwa wale tunaomjua Trump toka siku nyingi tunadhani kwamba Wabongo wanaomshabikia Trump wanafanya hivyo kwa kufuata hadithi moja tu. Mwandishi Chimamanda Ngozi Adichie ameandika na kufanya...
  5. H

    Trump anashabikiwa kwa mambo ambayo hakuyasema

    Siwezi kuacha maneno yasiyo na busara yanayomsifia Trump yakapita bila kupingwa. Mmoja kamfananisha hata na Magufuli! Naona ni fedheha na matusi makubwa kumfananisha raisi wetu Magufuli na Trump. Na kabla ya yote jihadhari sana usipende kufanya ushabiki wa kisiasa kwa misingi ya jambo moja tu...
  6. H

    Trump? What makes you think he is winner?

    Kwa washabiki wote wa huyu bozo, hana rekodi nzuri huyo bwana. Cheki hapa. Top 10 Donald Trump Failures - TIME Soma mwenyewe
  7. H

    Mapinduzi ya Amani

    Kwa maoni yangu, nchi ina fursa ya pekee kufanya mapinduzi ya amani. Tukiacha mambo yaende ovyo kama ilivyokuwa hapo nyuma, basi mwisho wake itakuwa ni kuuana. Historia inatufundisha kwamba watu watu wakijilimbikizia mali hivi ilhali watu wengi wanaishi katika maisha mabaya, lazima utatokea uasi...
  8. H

    Dowans (Kumbukumbu)

    Hivi sasa tunavyotafakari juu ya kuacha kupambana na ufisadi, tujikumbushe tu magenge mbalimbali yanayohusika na hujuma kisheria kabisa. Who really owns Dowans? - News
  9. H

    Serikali imesema inaendelea kuwatunza wazee 13 akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Warioba

    Obviously you have taken leave of your senses.
  10. H

    Mizani mpya ya kupimia wanyama - Ugunduzi wa Kitanzania

    Kuna habari za kuaminika kutoka vyanzo vilivyo serikalini inayoelezea mabadiliko mazuri ambayo yako mbioni kufanyika mintarafu mizani na vipimo vya kupimia wanyama hapa nchini. Kufuatia mafanikio makubwa ya kufaulisha watahiniwa wa kidato cha sita kwa kubadilisha viwango vya ufaulu, serikali...
  11. H

    Umuhimu wa Muziki Katika Makuzi

    Ndugu, Kwa muda mrefu sana masomo kama muziki na sanaa kwa jumla yamepuuzwa sana katika mfumo wetu wa elimu. Wataalamu wa makuzi ya ubongo wanasema kwamba kujifunza kupiga vyombo vya muziki kuna manufaa makubwa sana katika kuboresha utendaji wa ubongo. Tafadhali, jisomee hapa kwenye hii link...
  12. H

    Maoni ya msomi wa kikoloni kuhusu nafasi ya Kiswahili katika Elimu (1930)

    Mtaalamu wa masuala ya lugha, Bwana G.W. Broomfield aliandika haya mwaka 1930. Makala yake ilikuwa na kichwa: The Development of the Swahili Language. Hebu tusome na tutafakari kama sisi Waafrika Mashariki tunajitambua kweli. Africa: Journal of the International African Institute, Vol. 3, No...
  13. H

    Masahihiso katika Kiswanglish

    Ndugu, Leo nataka ninyooshe lugha yetu tukufu ya Kiswanglish. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba, makosa yaliyo katika Kiswanglish ndiyo hayo yanahamishiwa kwenye Kiingereza, tunapojaribu kusema lugha hiyo. Tukizungumza na watu wanaojua Kiingereza, basi hapo inakuwa tatizo kidogo tunapoonekana...
  14. H

    Hodi hodi ukumbini!

    Nimefurahishwa na ukumbi huu, nikaona heri nami nijumuike ili tubadilishane mawazo, tupashane habari na tujiendeleze kwa namna mbalimbali. Asanteni kwa kunihimiza nijiunge. Hukulu wino
Back
Top Bottom