Search results

  1. mlima wa mizeituni

    Driver at Tabono Consult Limited January, 2024

    Asante kwa taarifa! Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  2. mlima wa mizeituni

    Mwanaume kugombania rimoti ya TV ni ushamba

    Una uhusiano gani na huyo mwanaume? Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  3. mlima wa mizeituni

    Je, vipofu huota ndoto?

    Hapa hapa Tanzania kuna jamii za watu hawajawahi kabisa kuona train! Unadhani kutoifahamu treni, kunaweza kumfanya ashindwe kujenga taswira akilini mwake? Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  4. mlima wa mizeituni

    Je, vipofu huota ndoto?

    Unaweza kuota unasikia kelele au hata mazungumzo fulani (kiini cha ndoto hizi ni sauti ). Unadhani mtu mwenye ulemavu wa macho hawezi kuota ndoto za namna hii? Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  5. mlima wa mizeituni

    Kama Condom zinagawiwa bure basi Pedi nazo zigawiwe bure

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Wasamehe mkuu!! Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  6. mlima wa mizeituni

    Hebu tuambizane, hospitali binafsi zimeanza mgomo baridi Kwa wanaotumia Bima za NHIF?

    Hospital ninayopeleka kijana, wamecancel bima ya NHIF kwenye orodha ya bima wanazopokea!! Hawakuishia hapo! Wameandika kabisa tangazo kuwa hawapokei bima ya NHIF!! Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  7. mlima wa mizeituni

    Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

    Mambo ni mengi! Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  8. mlima wa mizeituni

    Nimezinguana na askari wa Suma JKT Hospital ya Benjamin Mkapa

    Kumbe ni wewe ndiyo ulikuwa unajitetea huku umechuchumaa pale getini? [emoji38][emoji38][emoji38] Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  9. mlima wa mizeituni

    Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Vipi mkuu ulifanikiwa? Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  10. mlima wa mizeituni

    Nimepata mgeni yuko rafu sana

    Mkuu wewe ni aina ya watu wanaotaka kila kitu kifanyike kwa usahihi na ukamilifu wake.. Mbaya zaidi viwango vya usahihi na ukamilifu huwa unapanga wewe!! Hiyo hali itakusumbua sana kwenye kuchangamana na watu. Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  11. mlima wa mizeituni

    Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

    Kwenye huu mradi hata wangenunua mabasi ya wazungu bado yangekufa tu!!! Naanza kuamini nidhamu ya kutunza /kujali vitu inajengwa utotoni... Bahati mbaya wengi wetu hatukujengewa nidhamu hiyo! Tutabaki kunyoosheana vidole tu.. Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
  12. mlima wa mizeituni

    Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Uchaguzi ni mmoja tu mkuu! Acha nihuzunike ndani ya DISCOVERY 3 kuliko kuhuzunika kwenye daladala!!
  13. mlima wa mizeituni

    Yaani mtoto amesomeshwa mwaka mzima. Mzazi arudie kwa wiki moja.

    Kwenye hili hata wasingekwambia, ni lazima ufatilie na ujue maendeleo ya mtoto wako!! Nadhani lugha iliyotumika hapo haijakaa vizuri.. Lakini ni jukumu la mzazi /mlezi kuhakikisha mtoto anajiandaa vyema kwa ajili ya mitihani.
  14. mlima wa mizeituni

    BMW5: Naombeni Ushauri

    Inawezekana pia anazungumzia 5 series!! Tutajuaje? Ndiyo maana ameambiwa awe specific..
  15. mlima wa mizeituni

    Toyota wanawezaje kutengeneza magari zaidi ya Milioni 9.2 kwa mwaka?

    Sio universal mkuu ni Anniversary!! Cruiser J70 na 150 nyingi ndiyo zimeandikwa 70th Anniversary!!
  16. mlima wa mizeituni

    Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Mabichi mkuu! Pesa ya kuyapika unapata wapi? Jamaa aliandika kwa hisia sana..
  17. mlima wa mizeituni

    Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Jamaa mmoja aliwahi kuleta uzi humu kama sijasahau ni 2017! Alihimiza sana watu wale majani, siyo matamu ila atleast yanazuia njaa!!! Chakufurahisha zaidi, alisema yeye huwa anakula majani ya mparachichi kila anapoelemewa na njaa!! NB: sijaandika kukejeli, ila stori yako imenifanya...
  18. mlima wa mizeituni

    Natafuta kazi ya usimamizi wa maroli ya mizigo au yeyote kuendana na nilichosomea

    Unatumia mbinu gani kujua ratio ya diesel kwenye gari?
Back
Top Bottom