Search results

  1. N

    Dr. Slaa Unayajua Haya? Picha ya Chopa

    WildCard, Asante kwa maneno yako ya kutia moyo. Kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo na uelewa wa watu unavyoimarika juu ya jinsi CCM inavyowafukarisha kishenzi. Ni wazi hata wale mbumbumbu wa vijijini wanaoendelea kuwapa kura hao mafisadi wa CCM kwa kugawiwa t-shirt, khanga na visenti kidogo...
  2. N

    Open Letter to His Exclence JMK-Is it a Carrot and Stick Land Deal?

    Awamu ya pili ya Mzee Ruksa tulishuhudia sakata la Loliondo kutaka kuuziwa Mwanamfalme wa hukohuko Uarabuni. Awamu ya tatu ya Mkapa tulishuhudia mashirika ya umma na rasilimali za nchi kama madini vikiuzwa kwa wageni kwa bei ya kutupwa. Awamu hii ya nne ya JK inaanza kuonyesha dalili za kuuza...
  3. N

    Mkapa's memo that cost $2.5m

    Naomba mnisaidie: Hivi hii ASB haiwezi kuwa inashabihiana na ile ABSA ya Sauzi iliyopewa NBC na huyo huyo Che Nkapa licha ya kuwa aliyeshinda tender ya kununua NBC alikuwa mwingine? Duh! kumbe Che Nkapa aliamua kuiacha nchi kapa kwa kuuza kila kitu kwa wageni na nyumba za serikali kwa maswaiba...
  4. N

    Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

    Kama ni ajali, basi bahati mbaya. Ajali haina kinga. Sidhani kama ataweza kumgonga mtu kwa makusudi pamoja na jeuri aliyo nayo!! Tuwape pole wafiwa na kuwaombea furaha ya milele waliofariki. Hata Vijisenti tumpe pole kwa yaliyompata. Huo ndiyo uungwana.
  5. N

    Listening Audio Booth:John Malecela: Alichoongea

    Mzee (Jumanne) John Malecela, aliwahi kuwaambia watanzania waliokuwa wakilalamikia huduma mbovu za Shirika la Reli wakati yeye akiwa Waziri wa Mawasilano na Uchukuzi kwamba waende kuzimu "they go to hell". Sasa wakati umefika wa kumwambia "Mzee hovyo Malecela, go to hell" Sasa hivi hana la maana...
  6. N

    Dar es Salaam Giza Masaa Nane kwa siku

    Sasa, nimeelewa, nchi hii haina mwenyewe. Nchi ya wanamtandao hiyo. Hata la kuendelea kusema sina. Tishio la Dr. Idris wa Tanesco liko bayana. Si muda mrefu Boss wa Maji naye akasema vivyo hivyo. Si umeme ndiyo nguvu ya kusukuma maji. Wana-JF, haya!!!
  7. N

    Lijue Kabila halisi la Edward Lowassa

    Is it? Kumbe EL ni "bastard"??? Kumekucha!!!
  8. N

    Makamu wa Rais Shein is the Best in Leadership: (Picha)

    Dr. Shein alikuwa Makamu wa Rais wa Mkapa ambaye wakati wa utawala wake ufisadi ulijengwa na kuimarishwa kikamilifu. Sasa ni Makamu wa Rais wa Kikwete anayeendeleza ufisadi huo uliojengwa na Mkapa akisaidiwa na Shein. Hadi leo sijamsikia akikemea ufisadi kwa nguvu zake zote. Shein siyo...
  9. N

    Dk Slaa ataka posho za wabunge zipigwe panga ziongezwe waalimu

    Magufuli yupi? Yule aliyeshupalia kuuza nyumba za serikali akiwagawia hata ndugu na "washikaji" (wa kike) wake ambao si wafanyakazi wa umma? Aah!! tena siyo "kuuza" bali kugawiana, nyumba yenye thamani ya Shs. 150m/= inauzwa kwa bei ya kutupa ya Shs. 10m/= hadi 30m/=?! Wizi mtupu!!!! Dr...
  10. N

    Maisha Plus Tv Show ya Masoud Kipanya

    Naona Kijana Kipanya amejitahidi kufanya ubunifu. Kwa kweli kukusanya vijana wenye mfumo tofauti wa maisha (differing life styles) na kuwaweka pamoja katika maisha ya kijijini si jambo dogo. Naamini wale vijana watajifunza mengi kutokana na kuishi katika kijiji kile. Watakaporudi makwao watakuwa...
  11. N

    Kisa cha Rais Ali Hassan Mwinyi kipigwa kibao akihutubia

    Umesema kweli Mr. Zero. Nami huwa nashangaa kwa nini Sherehe za Kidini kama vile Baraza la IDD, MAULID n.k. wanaalikwa viongozi wa siasa kuwa wageni rasmi? Hivi kweli hakuna viongozi wa Dini wanaoweza kualikwa na kushiriki kutoa mawaidha yenye manufaa kwa Dini tukufu ya Ki-Islamu? Hao viongozi...
  12. N

    Wabunge wa Kigoma wana Matatizo gani?!

    Tatizo lao, ndugu KGM, ni kwamba Wabunge wa Kigoma hawana ushirikiano katika masuala yanayohusu maendeleo ya kwao Kigoma. Kama ulivyosema Serukamba ni mtetezi mkuu wa Mafisadi na alishiriki kwa nguvu zote kumsimamisha Zito bungeni wakati ule wa suala la Buzwagi. Ndugu yetu Msambya ni mwanasiasa...
  13. N

    Wasomi kubwagwa kwenye chaguzi ni hasira za wananchi?

    Wananchi kukataa kuwachagua wasomi sana kunasababishwa na pande zote mbili, wananchi wenyewe na wasomi. Enzi za Mwalimu, wananchi wengi hawakuwa na elimu na/au uelewa wa uwakilishi Bungeni. Na wasomi wachache waliokuwapo walikuwa na tabia ya kujiona kuwa watu wa daraja la juu katika jamii na...
  14. N

    Kitine: Nchi sasa yaongozwa kienyeji

    Jamani wacheni hawa CCM wajikaange na mafuta yao. Kwani 2010 iko mbali? Hata mtoto mdogo anajua kuwa CCM ni chama cha mafisadi. Mzee Kitine kasema ukweli na haupingiki. Uteuzi wa viongozi unategemea mtandao, uswahiba na siyo uwezo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu. TANU bwana kilikuwa chama cha...
  15. N

    Museveni amteua Mke wake kuwa Waziri!

    Nafikiri si jambo zuri Rais kumteua mkewe kuwa Waziri ukitilia maanani kuwa tayari ana wadhifa mkubwa katika taifa, 1st-Lady. Okey, kwa vile labda Katiba inampa Rais uwezo wa kumchagua yeyote kuwa Waziri, hata akiwa mkewe, mwanae, kaka yake n.k. (Kumbuka F. Castro wa Cuba na mdogo wake) basi M7...
  16. N

    Sitta sasa amekuwa dikteta bungeni

    Mhe. Sita angeweza kuwa Spika mzuri sana kama asingekuwa na kofia ya uongozi katika CCM. Wakati mwingine analazimika kuwa dikteta Bungeni ili kulinda maslahi ya chama chake kilichobobea kwa ufisadi. Wakati mwingine anaonyesha waziwazi kukerwa na ufisadi ndani ya chama chake lakini anakosa la...
  17. N

    Karume Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano

    Wana-JF, kuna anayefikiria hili zezeta la Zenj kuwa Rais wa Muungano? Jamani acheni utani. Pamoja na kinachoelekea kuwa umbumbumbu wa wapiga kura wa Tz, sidhani kama huyu "Rais wa Kulazimisha" wa Zenj ataweza kupata nafasi ya kuongoza nchi Tz!! Hivyo visiwa viwili tu vyenye watu chini ya...
  18. N

    Mbeya vijijini: Kampeni, uchaguzi na yatokanayo

    Wana-JF nielewesheni. Mbona kwa miaka mingi Makamishna wa Viapo hapa nchini ni Pamoja na Mawakili wa Kujitegemea na si Mahakimu pekee? Mbona nyaraka zilizoidhinishwa na mawakili hupokelewa na Serikali kama nyaraka halali? Vipi kwenye nyaraka za uchaguzi Mawakili si tena makamishna wa Viapo...
  19. N

    Kanisa kumuombea JK dhidi ya mafisadi

    Kinachoombewa hapa si JK dhidi ya mafisadi bali nchi ambayo tayari imekosa mwelekeo. Nchi iliyokosa viongozi wenye dira sahihi akiwemo JK mwenyewe. Nchi yenye viongozi waroho na wabinafsi na walio tayari kuiuza nchi yao kwa wageni ilimradi wajikusanyie mabilioni. "Wananchi kuleni majani, ni...
Back
Top Bottom