Search results

  1. N

    Nina Diploma natafuta kazi yoyote

    Samahanini kwa wale mnaonipm kua nilipie ili niunganishwe moja kwa moja kwenye kazi Ndugu zangu kweli na shida tena sana ya kazi ila PESA SINA Yani kama unaona kuniunganisha mpaka nilipie naomba usinipm maana SINA HELA
  2. N

    Nina Diploma natafuta kazi yoyote

    Habari zenu wakuu Mimi ni binti miaka 23 naishi Dar natafuta kazi yoyote ya halali mkoa wowote[emoji1431]. Hata ya kujitolea tu nipo tayari. Elimu yangu nina Diploma in Procurement and Supply Management. Nina imani nitasaidiwa humu. Asanteni.
  3. N

    Mwanamke kumbuka yafuatayo unapotoka na mume wa mtu

    Copy and paste hii mbona illishapostiwa humu muda[emoji846][emoji1426]
  4. N

    Producer Luffa Anaumwa.

    Wakuu habari zenu Kuna tetesi producer luffa anaumwa sana ila wanaficha ficha vipi kinamsibu nini Namkubali sana chalii Kuna kipindi waliomba msaada Instagram kwenye account jina nimesahau kidogo ila hiyo post ilifutwa ni kama vile wanaficha ugonjwa Mimi kama shabiki yake nambari uno...
  5. N

    For JamiiForums Mobile users

    Mobile [/COLOR]
  6. N

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Mimi ngozi yangu inareact haraka sana. Nilitumia manjano mabichi nachanganya liwa, asali na ndizi mbivu pia nikitoka napaka Botouer anti acne.
  7. N

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Dawa zipo nyingi ila inategemea na ngozi yako. Kuna ngozi ina mafuta sana na kuna kavu ama mafuta kiasi. Na kuna ngozi zinakubali dawa haraka na kuna ngozi zinareact taratibu. Kuna dawa za asili na za wazungu Dawa za asili 1. Changanya manjano, liwa, limao na asali ama ndizi mbivu. Unapaka...
  8. N

    Producer Luffa Anaumwa.

    Anaumwa nini huyu kijanae Maana wanasema anaumwa achanngiwe nini kina msibu
  9. N

    Zuu popote ulipo nakutafuta

    Uongo uliotukuka... sio hata mitaa hiyo
  10. N

    Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

    Kweli kabisa Mimi niliachwa nikiwa stand ya mabasi kilio chake sio cha kawaida Kuachwa kunauma sana haswa yule mtu ambaye unampenda na hujatarajia kuachana nae kwa wakati huo
  11. N

    Biashara ya m

    Habari zenu wakuu Kama kichwa kinavyojieleza’ hivi unahitaji mtaji wa kiasi gani ili kuanza biashara ya chakula? (Catering) ukitoa kodi la pango, I mean vyombo na nafaka Pia changamoto zake nahitaji kufahamu Na sehem ipi nzuri kwa dar (yenye unafuu) Na mchanganuo wake Asante!
  12. N

    Baada ya hizi toba na misamaha tutegemee haya yafuatayo

    Ongezeko la wachomoaji betri
  13. N

    Historia ya neno Msela na Baharia

    Bila connection ni ngumu kujua
Back
Top Bottom