Search results

  1. Daktari wa Meno

    Mshike mkono mwenzako

    Sitafuti watu waliokata tamaa na maisha, natafuta watu wenye kujihusisha na kazi ambazo wengi wetu hatujui kama zipo na hata kama tunajua ila kuna vitu ambavyo tungepata kujua zaidi kutoka kwao. Nimetoa mfano sehemu kwa sasa Tanzania inaendelea kupata wafugaji wa mende. Najua wewe au mtu...
  2. Daktari wa Meno

    Mshike mkono mwenzako

    Hebu naomba nitafute mtu wa kutafsiri kwa alama lugha zao kama nikimpata nitawasiliana nawe. Nashukuru sana.
  3. Daktari wa Meno

    Mshike mkono mwenzako

    Jambo la kipekee ni lile ambalo ukiliona lazima litakuacha na mshangao kidogo. Kuna kipofu mmoja nasikia anashona nguo huyu mtu anafanya jambo la kipekee. Nazungumzia masuala ya aina hii. Wajasiriamali wanaofuga mende wameanza kujaa Tanzania, huu ufugaji wa mende jamii inatamani kujua una...
  4. Daktari wa Meno

    Mshike mkono mwenzako

    Hii comedy wanafanya kwa vitendo au inakuwaje. Wapo wapi hawa vijana.
  5. Daktari wa Meno

    Mshike mkono mwenzako

    Nitoe shukrani kwa wote mliopata kuweka michango yenu kwenye huu uzi. Japo nimesikitika kwa jinsi ambavyo tumebeba kila kitu katika mzaha ambao mwisho wa siku hauna msaada wowote kwetu. Nina nafasi ya kuinua mtu kwa kumsaidia kutangaza kile ambacho anafanya tena bure BILA HATA KUNIPA SENTI...
  6. Daktari wa Meno

    Mshike mkono mwenzako

    Subiri akipatikana mtu atakuja kukupa ushuhuda.
  7. Daktari wa Meno

    Mshike mkono mwenzako

    Mimi ni Daktari wa Meno, nafanya kazi usafi majumbani kwa watu, nimeanza shughuli hii yapata miaka 7 na ninahudumia familia ya watoto 4 na wategemezi wengine 7. (Nitakusaidia kutangaza kazi yako ila iwe ya kipekee)
  8. Daktari wa Meno

    Mshike mkono mwenzako

    Habarini, Nina imani hamjambo, leo ninataka kushika mkono watu kadhaa ambao nitavutiwa na kile ambacho wanakifanya. Kama unaamini kazi/shughuli unayofanya ina upekee na jamii itapata kujifunza kupitia kazi yako unayofanya basi naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe...
  9. Daktari wa Meno

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Naweza kupata motherboard ya Lenovo A6000 pamoja na betri yake?
  10. Daktari wa Meno

    Naomba niwaage

    Karibu tena, nafurahi kukuona tena.
  11. Daktari wa Meno

    Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

    Mwenye uelewa wa masuala ya silaha anisaidie sifa za hiyo silaha aliyoshika huyo mama.
  12. Daktari wa Meno

    Kijana atumia hela ya kodi kuchora Tatoo ya Wema. Sasa hivi familia yake inalala nje

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Papamafido ametumia kodi ya nyumba na kulazimika kulala nje baada ya pesa hiyo kwenda kuchorea ‘TATTOO’ ya Wema Sepetu. Akizungumza na Bongo5, Papamafido amesema kuwa amelazimika kulala nje Miezi baada ya pesa za kodi kwenda kuchora ‘Tattoo’ ya Msanii wa...
  13. Daktari wa Meno

    Mwakyembe: Tunatunga Sheria ya kulinda hadhi za Watangazaji, kutakuwa na gharama za usajili kama kwenye mpira

    Hiyo ni media kubwa tu sioni kama itasimamia watangazaji wote nchini. Mtangazaji anatoka Kasibante Fm anaenda Kifimbo Fm na njaa hii mtaanza kufuatilia kama kweli kapewa ada yake? Hii tasnia ina njaa kali sana ni kama mpira wa miguu ulivyo hapa nchini. Mtangazaji atafanya makubaliano na kule...
  14. Daktari wa Meno

    Msaada jinsi ya kumtrack ama kumfatilia mtu

    Mkuu vipi? Naomba msaada wako kama hutojali njoo inbox kidogo.
  15. Daktari wa Meno

    Swali, sampuli za vipimo vya Covid 19 hupokelewa na Maabara Kuu toka wapi?

    Bado hujajua nguvu aliyonayo Rais au unajifanya hujui.
Back
Top Bottom