Search results

  1. double R

    Usafiri wa Umma Dar: Nafasi ya wanasiasa na watendaji

    Mara ya kwanza kufika Dar nikiwa mtoto mdogo nilipatwaa na hisia mchanganyiko. Niliona barabara pana kwa mara ya kwanza, magari mengi,magorofa mengi na taa za barabarani vilinivutia sana. Tatizo tu ilikuwa kero kusafiri kwa daladala na joto. Niliuliza maswali kwa mama mbona magari mengi lakini...
  2. double R

    Maswali kwa walimu na wahadhiri kuhusu namna ya utoaji elimu nchini

    Nimekuwa nikipitia mijadala ya wenzetu walioendelea kuna vitu vizuri nimeona na nimekuwa nikijiuliza kwa nini kwetu iko tofauti. Baadhi ya hivyo ni 1. Uwezo wengi kusimulia au kuelezea. Katika mijadala na hoja katika nyanja mbalimbali za maisha, kuna kundi kubwa wanajua kuelezea wakaeleweka...
  3. double R

    Kwinini(Quinine) kwenye soda ya Schweppes ya nini?

    Jana mdogo wangu kaleta hii soda. Akawa ananishawishi niionje na akanieleza kwamba sio kama soda za tonic water nyingine. Hii ni tamu. Nikaona niisome ingredients zake. Nkatekewa kuona kwinini ipo. Na hapo ipo kundi la antioxidants na kiwango chake wameandika ni 8mg/l. Nimejiuliza maswali...
  4. double R

    Mna nini ninyi CCM?

    Mlitukusanya viwanjani. Mlitutangazia redioni. Mlitutungia wimbo 'waache waisome namba'. Mlituita malofa na wa.pumbavu Mlituita nyumbu. Tuliwasikiliza. Tukapiga pushup wote. Tukaimba wimbo. Hatukuwapiga mawe. Mmetuita vilaza. Mmesema sisi wapiga dili Mmesema tutaishi kama mashetani Mmetunyima...
  5. double R

    Maswali kuhusu mifuko ya hifadhi ya jamii

    Nimekuwa na maswali kuhusu hii mifuko ya hifadhi ya jamii na nimesoma kidogo SSRA lakini nina maswali, naomba kueleweshwa. 1. Natambua ni mashirika ya umma, kwa nini sio moja au mawili kwa sababu lengo lake ni moja? Jana tu nimesikia tangazo la mfuko mpya 2. Nini faida na hasara za wingi au...
  6. double R

    Swali: Lini katiba tulooneshwa itapigiwa kura?

    Tuliahidiwa kwamba hiyo katiba walioandika tutaipigia kura, mara kabla ya uchaguzi baadaye nikasikia siku ya uchaguzi mkuu. Sasa siku nyingi sijasikia chochote. Je mpango bado upo au umepotelea hewani? Kama upo ni lini? Halafu mbona hawa wanaosimama kwenye kampeni hawasemi chochote? Msaada
  7. double R

    Aisee, kumbe ndo wanavyotuwazia hivi.

  8. double R

    Hivi meno ya tembo ni malighafi ya nini?

    Naomba mnijuze hayo meno ya tembo yanatumika kama malighafi ya kutengeneza nini? Au yana kazi gani? Wanapokamata hizo wanazoziita nyara hawaziharibu au huziharibu kwa kificho? Kama hawazihatibu huzipeleka wapi?
  9. double R

    Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi

    Nimesikitishwa sana hadi nimetoa machozi kwa hiki kilichokuwa kinaendelea kwenye uzi wa Wanawake wanajiuza. Wanaume mnataka nini? Mmekosa hata staha kwa hao wachache mnaowajali mkabaki mnashabikia haya. Najua watakuwepo wa rika mbali mbali na mmeonyesha ushirikiano mzuri kweli. Mmeona...
  10. double R

    Kunani wizara ya afya?

    Nimetafakari muda mrefu nimekosa majibu yakuridhisha kichwa changu. Hii ni baada ya kushuhudia kwa takrbani mwezi sasa(hii ni kipindi mimi nilipojua, ilianza muda mrefu), hospitali kubwa kukosa vipimo vya virusi vya ukimwi kwa kipindi chote hicho. Ni muda mrefu pia nilisikia kuwa vilivyoletwa...
Back
Top Bottom