Search results

  1. The FaMa

    Wimbo wa World Cup 2014..

    Mkuu, natumia simu hapa siwezi kuweka link, ila jaribu ku-google kisha u-download wimbo huu hapa, Shakira, la la la.mp3 (Official Fifa World Cup 2014).
  2. The FaMa

    Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

    Hapa ni kama vita fulani kati ya makundi fulani...anyway, muda haugandi, itajulikana tu.
  3. The FaMa

    Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

    Bw. Manyerere, una uhusiano gani na "ba nso"??
  4. The FaMa

    Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

    Jambo hili lilibandikwa hapa jana na member mmoja aitwaye 'ba nso' mida ya saa 4:11 usiku kuhusu kuugua kwa mmoja wa wagombea...nai paste hiyo habari hapa ... "salaam wanajamvi, ninatabiri ugonjwa kwa mmoja wa wagombea cheo cha mwenyekiti anayetazamwa na wengi kua mshindi adi...
  5. The FaMa

    Madudu katika ajira za TAKUKURU, baadhi ya watu waitwa kwenye usaili bila kufanya aptitude test

    Safi. Haya ndiyo niliyomuuliza mleta uzi hapa, je amepeleka hayo malalamiko yake huko Takukuru na kupata maelezo yao au amekurupukia jf tu?? Tusiwe wepesi wa kutuhumu pasipo ushahidi wa kutosha, inaweza kupelekea kujiingiza kwenye matatizo bila sababu za msingi.
  6. The FaMa

    Madudu katika ajira za TAKUKURU, baadhi ya watu waitwa kwenye usaili bila kufanya aptitude test

    Je, ulishaenda Takukuru kuwauliza juu ya hayo uliyodai kuyabaini na kupata maelezo yao au umekurupukia humu jf tu? Kama ulienda na ukapewa ufafanuzi/maelezo yao, hukuridhika nayo na hivyo umeamua kuleta huku jf ili na jamii iingilie kati? Nadhani, si busara na uungwana kukimbilia kutuhumu mtu...
  7. The FaMa

    Kuuliza sio ujinga

    Hii nimeitoa mahali, labda itasaidia... US System: billion 9 zeros trillion 12 zeros quadrillion 15 zeros quintillion 18 zeros sextillion 21 zeros septillion 24 zeros octillion 27 zeros nonillion 30 zeros decillion 33 zeros undecillion 36 zeros Source(s)...
  8. The FaMa

    Msaada, Utaratibu wa kufuata katika kubadilisha rangi ya gari (car paint) hapa Tanzania ukoje?

    Habari wakubwa. Samahanini, ninaomba kujuzwa juu ya utaratibu unaopaswa kufuatwa pale mtu anapohitaji kubadilisha rangi ya gari zima. Je, kuna gharama zozote kisheria katika mchakato huo-mfano inabidi kubadili na kadi ya gari husika? Natumai hapa ni jukwaa sahihi kwa suala hili, hivyo...
  9. The FaMa

    Msaada kwenye kona...

    Wakubwa, natumai mu wazima na Mungu anawapigania. Naombeni msaada wa kujuzwa na wajuzi wa mambo katika hili, kwanza samahanini kama nimekosea jukwaa sahihi la kuulizia. Ok, kwa raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), je wanahitaji VISA wanapotaka kuingia...
  10. The FaMa

    Mabasi ya Zambia yaliyoruhusiwa kupita mzani wa Kibaha bila kulipa yakamatwa tena Mbeya

    Hapa mi cjaelewa huu mwingiliano, kwani mizani wanapima nini, sio uzito?? Asa urefu umewahusuje? Na kama kwa urefu huo ilibidi kuwe na magari ya escort, je mamlaka ilopaswa kukamata kwa kosa hilo ni tanroad/mizani au ni polisi wa usalama barabarani?! Sijui, labda wataalamu wasaidie hapa.
  11. The FaMa

    Ushauri tafadhali

    Habari, Naombeni kujuzwa kisheria katika hili. Je, inawezekana kufungua kesi ya madai katika mahakama ya wilaya na kisha mimi mdai nikaweka wakili wa kuniwakilisha katika kesi hiyo pasipo mimi kuhudhuria mahakamani kila wakati wa kesi? Sababu ya kutohudhuria ni labda niko mbali na kesi...
  12. The FaMa

    JAMANI OPA D4 YANGU! Msaada wenu tafadhali!

    ...Pia inawezekana tatizo likawa ni kuisha kwa Engine Lead wires (zinavujisha moto/umeme) au Ignition coils zake zimeisha. Ukiwa gereji jaribu kubadilisha hzo lead wires uone au hizo coils uone. Lakini yote kwa yote, hilo ni tatizo la umeme, siyo mechanical... Pole. Usisahau kuleta feedback...
  13. The FaMa

    Nimekuta mahela kwenye account yangu ya banki,Nifanyeje jamani?

    Cha kufanya, kwanza nenda kaombe wakupe Bank Statement ya hiyo akaunti yako kwa muda wa angalau mwaka mmoja hadi say 28 May 2013. Ukishapewa, ichunguze uone miamala (transactions) yote ilivyofanyika, ukiona huielewi elewi, ndipo sasa unaweza kwenda kuwauliza kujua ni kipi kinaendelea kwenye...
  14. The FaMa

    Wizi wa ATM: Wanne wakamatwa Mbeya

    Samahani naiweka hii kwa kutumia simu...chanzo: Mbeya Yetu blog..... HII NDIYO TAARIFA KAMILI YA WALIOKUTWA WAKICHUKUA HELA KWENYE ATM YA NMB RUNGWE- JALADA LA UCHUNGUZI. MNAMO TAREHE 25.02.2013 MAJIRA YA SAA 20:40HRS HUKO KATIKA BENKI YA NMB TAWI LA TUKUYU LILILOPO TUKUYU MJINI...
  15. The FaMa

    UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

    Mkuu, ukiuliza hili swali mbele za watu wengi watakucheka, how come mtu uwe ni Naibu Katibu Mkuu Taifa, bara then usiwe mjumbe wa mkutano mkuu? /baraza kuu!?
  16. The FaMa

    Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

    Mi nauliza tu, huyu Waziri Profesa hana uhusiano wowote na yule wa kina Masanja wa Orijino Komedi maarufu kama "La' Profeseri"?! Nahisi kama jamaa huwa wanamgusa huyu! Mtu ni waziri wa nishati, wananchi wanamgogoro juu ya nishati, anaulizwa ye anasema hajui?? Kweli? Ningekuwa mwandishi...
  17. The FaMa

    Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    Mkuu nyondoloja, thanx kwa kushare ujuzi huu muhimu. Naomba niulize, kwa upande wa channels za dstv, ni channels ngapi unapata na ni zipi? Pia kwenye kutoa nyaya toka kwenye LNBs kwenda ndani kwenye receiver, unatumia disc switch ngapi au ya aina gani? Thanx.
  18. The FaMa

    Je, na hii nayo inaukweli au ndo yaleyale??

    Wakuu, habari. Kuna hii kitu kuhusu kujipatia ajira at home na kulipwa commission, je wajuzi wa haya mambo, vipi inahusika au ni miyeyusho tu? http://naturalpay.com/ref.php?page=act/ref&invcod=18575
Back
Top Bottom